uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof_Adventure_guide

    Biashara Yako Inaanza? Pata Wateja na Matokeo ya Uhakika kwa Kasi Sasa!

    Kuanzisha kampuni mpya ni hatua kubwa, lakini changamoto kuu ya biashara nyingi zinazoanza ni kupata wateja wa kwanza haraka na kujulikana sokoni. Usipoteze bajeti yako ndogo kwa kubahatisha au kutumia njia za kizamani zisizo na mrejesho. Nasaidia biashara zinazoanza (Startups) kupiga hatua kwa...
  2. lord atkin

    Nina uhakika Tundu Lissu angeachiwa CHADEMA ingeingia kwenye maridhiano.

    Wakati Serikali ikitumia kumshikilia Tundu Lissu kama njia ya kushinikiza maridhiano, CHADEMA na Lissu wanachukulia kushikiriwa Tundu Lissu kama sababu ya kugomea maridhiano. Kumbe njia ilikuwa rahisi tu ni kumuachia Tundu Lissu halafu unaitisha maridhiano ya kweli ni wazi chadema na lissu...
  3. Dogoli kinyamkela

    KINU KIWE KISAFI NA MWICHI UWE IMARA UTAENJOY SANA Kuna raha kutwanga kwa mbwembwe hasa ukiwa na uhakika wa ubora wa kinu na mwichi una unene na urefu

    KINU KIWE KISAFI NA MWICHI UWE IMARA UTAENJOY SANA Kuna raha kutwanga kwa mbwembwe hasa ukiwa na uhakika wa ubora wa kinu na mwichi una unene na urefu fulani hivi unakita kwenye kinu kwa kishindo. Raha ya mwichi uwe mzito
  4. R

    Uhakika ni kuwa Majaji wana maelekezo kutoa hukumu ya hovyo maana nina uhakika wanajua maana halisi ya cognate offence

    A cognate offence is a lesser or related crime that shares several fundamental elements, class, or category with a primary, more serious criminal charge, even if it is not strictly a strict subset of it. Key Characteristics Shared Elements: It overlaps in core facts, intent, or statutory...
  5. Desierto

    Wakati wako unapokuwa kwenye uhakika na kipato kumbuka kesho utakuwa chini

    Hii ipo kwa watu wote kuanzia wanasiasa wanamichezo wasanii wafanyabiashara pia. Kwa mfano kwa kazi yangu hapa nilipo kwa sasa sina mpinzani ila nimeshajiandaa tayari muda wowote najua atatokea mpinzani sasa ninachopambana mm hapa ni kuboresha tu huduma yangu na kuhakikisha hata kama atakuja...
  6. Sifi Leo

    Hizi teka teka na kamatwa kamatwa ni hatari sana kwa CHADEMA, nina uhakika hii tume itawataja live na chama kitafutwa take my word

    Kutekwa kwa Twaha Mwaipaya, na kukamatwa kwa John pumbafu na viongozi wote wa CHADEMA hii.ni hatari kwa chama hicho. Lasivyo CHADEMA utafuatwa soon
  7. Dogoli kinyamkela

    KWAHIYO MNA UHAKIKA KABISA Hawa VIWETE Wanaponywa?? Mnieleweshe maana nina kiwete jirani hapa....

    KWAHIYO MNA UHAKIKA KABISA Hawa VIWETE Wanaponywa?? Mnieleweshe maana nina kiwete jirani hapa....
  8. M

    Muongozo wa kununua Spark Plug sahihi: Usibahatishe ! Fundi na Ai wanaweza kukosea, tumia katalogi hii ya DENSO.

    Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine. Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
  9. Hance Mtanashati

    Unajiitaje mtoto wa mjini (born town ) na huna mganga wa uhakika au huwajui waganga?

    Mtoto yeyote yule wa mjini hakai kindezi , lazima awe mtu wa kuchungulia huku na huku kuangalia michongo yake . Pia huwezi jua siku wala saa siku utakayoingia wavuni mfano kupata kesi kubwa na hujui namna ya kuipangua maana si kila kesi utaweza kutumia pesa kuizima, kesi zingine zinahitaji...
  10. Yoda

    Nimeshindwa matumizi ya Limao, ndimu kwenye supu, ladha inapotea.

    Tanzania karibia kila chakula ukiagiza kinakuja na kipande cha limao. Unaweza hata ukaletewa ugali maharage na kipande cha ndimu au limao. Matumizi ya limao au ndimu zaidi ya kwenye nyama na choma na Samaki wa kukaanga sasa yemenishinda kabisa. Huwa nayatamani sana malimao yanayoletwa na supu...
  11. bless on

    Njia za Uhakika za Kujihakikishia Umaskini

    Mwekezaji nguli Charlie Munger aliwahi kusema: "Nieleze tu mahali nitakapofia, ili nisikanyage hapo kabisa maisha yangu yote." Kama unataka hakikisho la 100% la kubaki kwenye umaskini bila kujali unalipwa mshahara mkubwa kiasi gani au unaishi nchi gani, fuata mfumo huu wa maamuzi ya kila siku...
  12. Tlaatlaah

    Hali ya ulinzi na usalama Tanzania ni nzuri na ya uhakika zaidi kuliko nchini nyingine yoyote katika eneo la maziwa makuu.

    Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na uwekezaji zimezorota sana kutokana na kudorora kwa usalama. Lakini pia uhakika wa usalama...
  13. Tlaatlaah

    Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  14. Design Your Idea

    Je una uhakika yale unayofunga na kuomba ndio GOD'S WILL aliyo nayo juu yako?

    “si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.” (Luka 22:42) Setfree Psalm_23 Psalm 103 StudentTeacher Ni ipi siri ya maisha, ni kipi kipo nyuma ya ukweli wa maisha yetu. Nani ni muendeshaji wa kila hatua na kuanguka katika maisha yetu? Je kila mtu amewekewa limits na amekuwa regulated hata afanye...
  15. alpha walk

    Ulinzi na usalama wa uhakika

    🔐 SMART EYE SECURITY SERVICES 📹 Usiache usalama wa nyumba, biashara au ofisi yako kwa bahati. Tunakufungia CCTV Camera kwa usalama na ufuatiliaji wa uhakika. 👁️📹 🏠 Nyumbani 🏪 Madukani & Biashara 🏢 Ofisini 🏭 Maeneo ya kazi 📍 Location: Dar es Salaam 📞 Piga/WhatsApp: 0622667749 SMART EYE...
  16. Boss la DP World

    Namtafuta Ndugu Humphrey Polepole. Mwenye taarifa ya uhakika ya mahali alipo tafadhali

    Naomba mwenye taarifa zaidi anijuze mahali alipo na majina ya waliohusika kumpoteza kuanzia aliyetoa wazo mpaka watekelezaji wake. Asanteni.
  17. Eli Cohen

    Ukiwauliza wana JF kumi kama uchawi upo, 8 kati 10 watakuambia upo ila ukiwauliza hao 8 kama wana uthibitisho 95% ya maelezo utagundua hawana uhakika

    Mshana Jr usiniroge bro ni maoni yangu tu na data za kutunga tunga😁
  18. Tlaatlaah

    Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  19. Yoda

    Kuna uhakika kiasi gani kwamba ni kweli Nchimbi mwenyewe amejiuzulu siasa?

    Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake. Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
Back
Top Bottom