ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chakaza

    GE2025 Hivi Baada ya Scandal Hizi Kuwekwa Wazi, Kuna Awezaye Kupanda Jukwaani Kujinadi? Wizi na Ufisadi ni Aibu!

    Hivi binadamu hawa wa Kitanzania aibu wamepeleka wapi? Aibu hizi za wizi na ufisadi wa mali za umma kutokea katika viunga vya ofisi kuu kama unavyo wekwa wazi na mtu mwenye hadhi ya Ubalozi, Katibu wa uenezi na itikadi wa chama tawala, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, na mtu wa karibu kabisa...
  2. Mwanamwana

    Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  3. B

    Wezi wa mali za umma tuoneeni huruma walala hoi. Ibeni halafu mfanye vitu vya kizalendo na vyenye tija ili roho zituume kidogo

    Suala la uzalendo kwa taifa ni cross cutting linalohusisha mambo mengi. Huwa naishiwa PAWA na inaniuma sana nikiona au kusikia kuna mtu katupiga halafu ananunua gari sijui la bilioni ngapi.Au mwingine anatorosha pesa kabisa nje ya nchi. That is not fair na mimi roho huwa inaniuma zaidi zaidi...
  4. ndege JOHN

    Kwanini skendo za ufisadi tunawatupia wanasiasa pekee ila WATUMISHI na watendaji wa serikali tumewakalia kimya

    Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
  5. K

    GE2025 Uchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!!

    Uchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!! yaani uchaguzi ambao kwasasa kila mtanzania anajua hautakuwa wa huru na haki. Wagombea wanazuiwa au kufungwa!!! halafu Tume ya CCM inagawa magari kwa wagombea Uraisi bure ! kama hongo pesa za walipa kodi wakati nchi yetu ni masikini kiasi hiki. Imefika...
  6. M

    Tuhuma za Ufisadi wa kutisha nchini zinazoibuliwa na Mange Kimambi katika vyombo vyetu vya Usalama zinahitaji ufafanuzi

    Hivi karibuni zimekuwepo tuhuma za ufisadi wa kutisha nchini. Mange kimambi, mwanadada aliyeko marekani kwenye channel yake ya Instagram ameibua tuhuma nzito sana zinazomgusa mtoto wa Rais Abdul, mwanamama mmoja aitwaye Anjela, na Wafanyabiashara wenye asili ya Asia. Mange amezungumzia tuhuma...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Kila siku zinavyoenda naona kama RAIS Wa MAWE ni mbeba lawama tu, mizigo yote ilikuwa inaguswa na BIG 3

    Nasamehe janja, ila kupiga ulikuwa unapiga ila sio kivile tulivyokuwa tunaaminishana kitaani. Siamini ulikuwa unagusa hata 1%. Huu ni msimamo wangu mwenyewe sio wa chama. No reforms no election. Unataka team moja tu na odds za kushiba??? Man U mpe goal 3 game uniyofuata, nimeona kapewa Odds...
  8. Subira the princess

    Ufisadi wa kutisha ccm: bilion 100 zimeshaliwa na kwisha

    Wasalaam. Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo. Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena...
  9. Nucky Thompson

    Hivi Magufuli aliwahi kumfunga Mkurugenzi yoyote kwa ufisadi? Serikali ya Samia yamfunga miaka 22 Mkurugenzi kwa ufisadi

    Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa, Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au...
  10. DuaZaMama

    Mkurugenzi Kigoma Jela miaka 22 kwa ufisadi

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha. Hukumu hiyo...
  11. mr mkiki

    Profesa Mussa Assad: Ufisadi umeshamiri kwasababu Mafisadi Hawaadhibiwi

    Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo. Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu (Mstaafu) wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad, amehusisha kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma na aina nyingine za ufisadi...
  12. DuaZaMama

    Aliyekuwa waziri mkuu wa Mali Choguel Kokalla ashitakiwa kwa ufisadi

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maiga ameshitakiwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma, kughushi na kutumia nyaraka za uongo. Maiga aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya mapinduzi ya pili ya kijeshi mwaka 2021, lakini alifutwa kazi baada ya kuikosoa serikali ya kijeshi...
  13. R

    GE2025 Mpina: Watuhumiwa wa ufisadi na ubadhilifu wa fedha za umma hawachukuliwi hatua badale yake wanapandishwa vyeo na kuteuliwa nafasi kubwa za maamuzi

    Mgombea na nafasi ya Urais ACT wazalendo na alieyekua mwanachama wa CCM, Luhaga Mpina akizungumza na wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam ameeleza kuhusu uwajibikaji wake kwa Taifa kwa kufichua vitendo vya ufisadi na rushwa kuwa kosa la yeye kuenguliwa kugombea Ubunge kupitia CCM...
  14. Roving Journalist

    GE2025 Mpina adai kuenguliwa kwa baadhi ya Wabunge kura za maoni CCM kunalenga kulea ufisadi

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
  15. Msanii

    GE2025 Bundi ameweka kiota CCM: Mpasuko, Visasi, Tamaa ya Madaraka na Ufisadi vinaimong'onyoa

    Rasmi, Haya matukio yanayojiri ndani cha CCM ni kiashirio dhahiri kuwa jambo kubwa linaenda kutokea kwa manufaa ya Nchi. Jakaya aliwahi kusema kuwa makundi ndani ya CCM ni afya. Lakini ukweli unadhihiri kuwa makundi yaliyopo ndani ya CCM yameendelea kuwa kitanzi dhidi ya lichama hilo. Kwa mfano...
  16. K

    Mama katika vitu alivyofanikiwa ni mawaziri wake na wakurugenzi wa mashirika ya serikali kuwa mabilionea

    Mama katika vitu alivyofanikiwa ni mawaziri wake na wakurugenzi wa mashirika ya serikali kuwa mabilionea. Siku hizi mawaziri ambao sio manilionea wanachekwa . Wakina Mwigulu wanashindana na wachina kununua nyumba masaki. Tenda kubwa kama za reli siku hizi hakuna ushindani wa tender Mama...
  17. S

    Kampeni ya kutakatisha fedha inakuja, ila ipo siku ufisadi wao na matumizi mabaya ya madaraka vitawekwa wazi

    Sina maneno mengi, ila niseme waacheni waendelee na maagizo yao ila wajue ipo siku kila kitu kitawekwa wazi. Pia, baadhi yao wanaweza kuja kufungwa baada ya uchunguzi kufanyika kama sio kulazimika kuomba radhi umma wa watanzania. Tuombe uzima tu kuja kuyashuhufia haya ambayo huko mbeleni...
  18. Mfilisti

    Je, ni Kweli Tumefika Mwisho wa Mapambano ya Ufisadi na Utawala Mbovu?

    Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi wagombea wa nafasi za juu katika siasa za leo wanavyonyamazishwa au kwa Maksudi kabida kutoonyesha msimamo dhahiri kuhusu mapambano dhidi ya ufisadi na utawala mbovu. Hoja hii muhimu inapuuzwa, hakuna Mgombea yoyote mwenye kuonyesha hatua atakazo fanya...
  19. winnerian

    Kwa lugha ngumu ni kwamba: MFUMO UMEKUWA MALAYA WA UFISADI KUPINDUKIA NA KUKOSA CHEMBE YA HAKI

    Na matokeo yake hata mtu mwema aingie kwa kutumia mfumo huu, cha kwanza unamuharibu na kumfanya mtu mbaya sana. MFUMO NI MCHAFU KIASI KWAMBA HATA UWE NA NDOTO NZURI KIASI GANI, HATA UWE NA NIA NZURI KIAS GANI HUWEZI KUTENDA LOLOTE. BADILISHENI MFUMO UWE MFUMO MWEMA IBAKI KUWA NI JUKUMU LA MTU...
  20. Carlos The Jackal

    Mh Polepole yupo Sahihi, Bararabara ya Mwanza -Musoma , tangu 2021 inajengwa na Kufumuliwa ! TANROAD Kwa Ufisadi imekithiri ! Serikali imelala

    Wakuu mnaweza dhania ni maajabu au ndoto ila huo ndio Ukweli. Labda nianze Kwa kuwaliza, Huko kwenu, Bararabara za kwenu zinaweza Kukaa miaka mingapi bila Kufumuliwa na kujengwa Upya?. Sasa hao ndio CCM, na hiyo ndio Serikali ya Awamu ya Tano ya Samia alowaambia watu wale Kwa urefu wa kamba...
Back
Top Bottom