Sponsors wa man city ni kutoka dubai, pesa za mafuta, kwa muda mrefu pesa hizo za mafuta zimetumika kudanganya ili man city apate mataji na kusajili wachezaji bila utaratibu.
Ilifika wakati hadi serikali ya UAE ili tishia kustopisha uwekezaji wake uingereza kama Man City ataletewa noma na hii...
Benki ya Dunia (World Bank) imeitaja Kenya kuwa miongoni mwa nchi zenye viwango vya juu vya ufisadi katika kundi la mataifa yenye kipato cha chini cha kati, ikionya kuwa rushwa, mikataba ya serikali yenye utata na usimamizi mbovu wa fedha za umma vinaendelea kuathiri uchumi wa taifa.
Katika...
Kwa kifupi , Meru Stadium ndio utakuwa uwanja bora kabisa na Makonda hakuna kitu ampiga na wabunge wanao hoji wapewe semina elekezi namna fedha zimetumika na zinatumika.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametoa ufafanuzi mzito bungeni jijini Dodoma kuhusu...
Benki ya Dunia (World Bank) imeibua maswali kuhusu gharama kubwa za umeme nchini Kenya, ikihusisha hali hiyo na mikataba ya gharama kubwa, ukosefu wa uwazi na changamoto za uongozi katika sekta ya nishati.
Katika ripoti yake ya Kenya Economic Update iliyotolewa Novemba 2026, Benki ya Dunia...
Katika muktadha wa kisiasa ambapo mara nyingi nidhamu ya vyama na hofu ya kukosoa mamlaka hutawala, ni nadra sana kumsikia mbunge akisimama kidete na kuhoji matumizi ya fedha za umma kwa uwazi na ukali usio na kigugumizi. Hilo ndilo alilolifanya Mbunge wa Kigoma Mjini, Mheshimiwa Revocatus...
Aliyekuwa Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, amehukumiwa kifungo cha miaka 13 gerezani au kulipa faini ya jumla ya KSh21 milioni katika kesi ya ufisadi na utakatishaji fedha za umma zenye thamani ya KSh588 milioni.
Hukumu hiyo ilitolewa Jumatatu, Novemba 2, 2026, na Jaji Harrison Barasa wa...
Rais Mwingine wa Division ya Waadventista Apoteza Nafasi Yake Katika Kashfa ya Kifedha Inayodaiwa ya Dola Milioni 63
Rais mwingine wa Division ya Waadventista anapoteza nafasi yake huku kukiwa na taarifa za kashfa ya kifedha inayodaiwa kuhusisha dola za Marekani milioni 63. Mchungaji Soon Gi...
Habari ya kuyimuka Wadau,
Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani.
Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
Unaweza kuona ni kama maajabu kwa kanisa la Roma kuwa very organized. Wana shule zinazotoa elimu bora na zinazongoza kitaifa, wana vyuo vizuri, wana taasisi zinazotoa huduma bora kwa afya, sehemu walizopo watu wengi wameelimika na kuna maendeleo, hii ndio maana halisi ya kuwa taasisi ambayo ipo...
Hii kitu ni nzuri kwa Watanzania watu CCM kugombana wenyewe kwa wenyewe.
Lakini mchengerwa ni fisadi na mwizi hawezi kumshutumu Mtanzania yeyote
Zile frem za mbagala pembeni ya kituo Cha mwendokasi atuambie ametoa wapi pesa za kujanga frem pale?.
Ni aina kubwa ya ufisadi mkubwa wa kutisha ambao katika historia ya Tanzania na nchi nyingine duniani labda haujawahi kutokea. Na tatizo kubwa ni kwamba unafanywa na viongozi wakuu wa serikali pamoja na ndugu zao.
Ni hivi. Kuna wakuu wa serikali na ndugu zao ambao wapo katika nafasi ya kuwa na...
Kuna slogan moja kama wamejipa CCM kuwa hakiwa raisi muislamu basi maisha yatakuwa kama ya marehemu mzee mwinyi au jakaya.
Ila huyu kila anacho shika kinakwenda vibaya sijui kama 2030 tutafika vipi.
Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala.
Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “ Upinzani sio Uadui”, sio uadui wakati watu wanauliwa, wanabakwa, chaguzi zinaibiwa, watu hawajazika...
Kila jambo lina mwisho wake. Mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado yapo kwenye mioyo ya Watanganyika.
Huko mbeleni Paul Chacha na wenzako mtakuja kuona na kutambua nini maana ya nguvu ya umma.
Mageti ya ikulu yatavunjwa kwa kutumia meno.
Habari wandugu.
Harufu ya UFISADI.
Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika .
Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika
Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe.
Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko.
Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi.
Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
Tunamlaumu Nasaoro Katuga kwa ku expose mali za kiongozi wa CHADEMA.
Wakili wa serikali yuko kwenye minyukano mahakamani tunategemea aje kusema Heche ni malaika wa Bwana ??? Anapiga kwenye mishono anapoona pana madhaifu.
CHADEMA tujenge utamaduni wa uwazi kwenye masuala ya fedha na mali...
Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kuwa moto huko CHADEMA. CHADEMA wanaendelea kuukataa Unyumbu. CHADEMA wanaendelea kukata minyororo ya Umbumbumbu na utumwa .
Sasa wameona kumbe walikuwa wanatumika kuwaneemesha viongozi wao . Wameona kuwa kuna ufisadi mkubwa sana unafanywa na viongozi...
Mimi niliwahi kuwa mkazi wa eneo linaloitwa Namanga Makangira, ni karibu sana na Oysterbay na Msasani Makangira.
Enzi hizo, miaka ya 2000 mpaka 2011, eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na Ubalozi wa Marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.
Ubalozi ulikuwa tayari kuwalipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.