ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heci

    Mwekezaji anayefichwa anayetaka kuinunua Sinza yote, ni mama mmoja wa Kizanzibari na kijana wake wa kiume, Master mind wa ufisadi wote.

    Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa jina la Muwekezaji. Taarifa tulizovujishiwa sisi wamiliki wa hizi nyumba, ni kwamba anayetaka kutwaa...
  2. M

    Bodi ya mikopo ya juu lipeni refund za wateja wenu,acheni ufisadi ,mnaichafua serikali .

    Kulingana na shida mbalimbali za watumishi wamekua wakiuza madeni yao ta bodi benk tofauti tofauti,miaka ya nyuma bodi iliweka kiwango cha juu na kulipwa na bank mfano NMB, Inapolipwa bodi inakuja na statement ya kiasi unachodai kama ziada iliyolipwa na bank NMB au CRDB,Kisha inakwambia andika...
  3. robinson crusoe

    Waziri Mkenda Anendesha Sera ya Wizi Kupitia Samia Scholarship Program

    Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia. Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua...
  4. Tlaatlaah

    Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  5. Zack Abdul

    CHADEMA: Heche Ahojiwe, Hakuna Kinga kwa Ufisadi

    CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi...
  6. Troll JF

    UFISADI CHADEMA, wanachama wamemkalia Kooni John Heche wamuomba Msajili kuingilia Kati wamtaka Katibu Mkuu Mnyika kuunda tume ya kumchunguza

    Shalom Makamanda, Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
  7. O

    Daniel Maanzo Adai Maseneta Walipewa Hongo ya KSh10 Milioni Kumuondoa Gachagua

    Seneta wa Makueni, Daniel Maanzo, amedai kuwa baadhi ya maseneta walipewa hongo ili kuunga mkono hoja ya kumwondoa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua madarakani. Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Maanzo alisema alifikiwa na watu waliodai kumtaka akubali kiasi cha KSh10 milioni kwa...
  8. Tlaatlaah

    Kwanini CHADEMA wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

    Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa? Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi...
  9. Tlaatlaah

    Tuhuma za ufisadi zimepunguza kasi ya uropokaji wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa.

    Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
  10. Tlaatlaah

    Huenda BAWACHA wakatoa neno kuhusu tuhuma za ufisadi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa wakati wowote kuanzia sasa

    Baada ya kujizolea umaarufu mkubwa zaidi hasa baada ya tukio la kuchoma vitenge mwaka 2024, hatimae Baraza la Wanawake Chadema taifa BAWACHA wanajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote kuanzia sasa, dhidi ya tuhuma mbalimbali za ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za chama zinazo...
  11. Tlaatlaah

    Tuhuma za ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa, zazorotesha hali na mwenendo wa uchangiaji fedha kwaajili ya baraza kuu taifa Sept.15,2026.

    Wana chama wengi wa chadema, pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa. Na, kwa mvurugano wa chini kwa chini...
  12. Troll JF

    UFISADI: Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA kanda ya Kati Amshauri Mnyika kuunda Tume kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho

    John Wegese Heche akiwa bado ananuka Ufisadi wa pesa za Tone kwa Tone uliofanywa akiwa makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Kanda ya Kati, Aquilin Claud ameshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aunde tume ya kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa chama...
  13. K

    Yaani watu wamekutunza jukwaani kwasababu umewakosha kwa nyimbo au stalii za kudensi Sasa hizo pesa ukizitumia ni ufisadi?

    Yaani Kuna watu wamekoshwa au wameopendezwa na msimamio au maelezo ya kiongozi fulani wakisiasa, Wakaona ngoja wamwekee mafuta kwenye gari yake na wampe na hela ya kula njiani yeye na wenzake ili na wenzao kutoka sehemu nyingine wapate huo ujumbe je juzitumia hizo fedha ni ufisadi? Kumbuka...
  14. Tlaatlaah

    Kwa tuhuma za ufisadi na rushwa zinazomkabili John Heche, ni wazi amekosa credibility ya kukosoa wengine kwenye masuala ya uadilifu.

    Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
  15. MakinikiA

    Kuna UFISADI NHC ila takukuru siwaamini kuwapa taarifa

    Kwa sasa naona kila mtu anajichukulia chake mapema before 2030. Takukuru kama mngekuwa na matokeo chanya kwenye kazi zenu ningewaamini na kuwapa taarifa juu ya kinachoendelea huko shirika la Nyumba la taifa (NHC). Kwa sasa limekuwa siyo shirika la nyumba la taifa bali ni ni shirika la nyumba...
  16. Tlaatlaah

    Unadhani Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa anaweza kua anapitia hali gani kisaikolojia baada ya tuhuma zake za ufisadi kutrend sana mitandaoni

    Je, anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili? Kwa maoni yangu, licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
  17. Idugunde

    CCM hamuwezi kuiangusha CHADEMA kwa propaganda za kishamba kama hizi. Ninyi ni wachafu maana mna tuhuma za ufisadi na mauji ya raia

    Mnatuhumiwa kwa tuhuma nzito sana za mauaji ya kimbari yaliyofanyika Oktoba 29 na mkakaa madarakani bila ridhaa ya wananchi. Mnatuhumiwa kuteka na kuua raia wema akiwemo Humphrey Polepole na wengine wengi. Kuleta hoja kuwa Heche amekula michango ya Chadema ni ushamba na upuuzi wa kisiasa.
  18. Roving Journalist

    ACT: Serikali imalize mgao wa maji Dar, Wananchi hawawezi kuendelea kubebeshwa gharama za uzembe na ufisadi

    ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
  19. figganigga

    UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  20. Pfizer

    Waziri wa Fedha amjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania

    Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei zikishuka hapa nchini
Back
Top Bottom