uchumi

  1. M

    Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  2. Tanzania iko mbioni kupata mkopo wa takribani TZS trilioni 1.165 kutoka Shirika la fedha duniani (IMF)

    Tanzania iko mbioni kupokea mkopo wa takriban shilingi trilioni 1.165 kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya shirika hilo kukamilisha tathmini ya mwisho ya utekelezaji wa programu za mageuzi ya kiuchumi nchini. Fedha hizo zitatolewa kupitia Mpango wa Mkopo...
  3. BSS mmehujumu uchumi wa nchi kupeleka mil.50 nje ya Nchi.

    Nchi zinazojitambua zinajitahidi Kutunza mitaji ya ndani na hivyo kila fursa inayopatikana inatunzwa kwa faida ya Nchi. Kirando cha kumnyima Mtanzania (alistahili) Sofia (So-Fire) zawadi ambayo ingekwenda kuchechemua uchumi wake, familia yake na Jamii yake si Uzalendo mliofanya. Kama Mtu ana...
  4. T

    HII YA LEO NIMEIPENDA SHUGHULI ZOTE ZA UCHUMI ZASIMAMA. ORGANISER TUNAHITAJI TENA MAANDAMANO TAREHE 8.8

    Leo ndo nimeamini akili ndogo haiwezi kushinda akili kubwa. Maandamano yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mauaji yameandamana yakiwa na mitutu ya bunduki kwa niaba yetu na kusimamisha uchumi.
  5. E

    Vijana watatu wabeba Sh100 milioni Vijana Uchumi Challenge, Serikali Yasisitiza Ushiriki wao katika Uchumi

    Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali. Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
  6. F

    Rostam 'kupewa. tuzo ya juu kwa kuchangia uchumi nani anajidanganya na kumdanganya nani?

    Taarifa kuwa Rostam Aziz kapewa tuzo ya juu na waziri mkuu Lameck, ni matusi kwa taifa. Eti kapewa tuzo kwa kuchangia kukuza uchumi! Anachangiaje kwa kutuibia? Je, kuna wakubwa nyuma yake hasa bi mkubwa mwenyewe au ni kuzidiwa akili kwa watawala wetu tokana na ukosefu wa ubunifu, udhu, na...
  7. Ukweli mchungu usioambiwa kwenye biashara za mijini

    Ndoto Za Wengi Ni kuwa Na Biashara Mijini Hasa Kwenye Frame Ila Ukweli Mchungu Biashara Nyingi Hasa za Uchuuzi Haziendi Zimebaki Ni Za Misimu, Biashara Nyingi za MIjini Hazina Faida ya Moja kwa Moja Zimebaki ni Sehemu Za kutunzia Mitaji/Pesa Kwasababu Ya Gharama kubwa Za Uendeshaji Kama Frame...
  8. Natabiri uchumi wa Tanzania utashika kwa kas ya 4 g 2027

    Nikitumia concept ndogo sna ya kiuchumi ya money supply na inflation Kwa bahat mbaya sna serkali hii katili imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei sas kitacho tokeaa by 2027 serkali itadondoka siyo kwa sabbu ya upinzani bali kwa kishindwa kuzibiti uchumi hal itakuwa mbaya sna hakuna mtu atatak...
  9. Naomba majibu sahihi kutoka kwa wataalamu wa Uchumi

    Pendekezo jipya la Serikali ya Tanzania kuruhusu kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limezua mjadala mkali. Serikali inasema hatua hiyo itasaidia kukabiliana haraka na upungufu wa mapato unaotokana na matukio yasiyotegemewa. Hata hivyo, wakosoaji wanaibua maswali muhimu...
  10. Tafakuri: Haya ndio mambo yangetokea kama watanzania wote wakiwa CCM

    Wakuu, maafande wi Baada ya kushiba kipolo cha wali na chai ya maziwa hapa nimewaza mambo mengi sana ... Hebu fikiria kama watanzania wote million 70s tungekuwa na ideology au tungesuport falsafa za chama tawala .....bila upinzani nafikiri Tanzania tungekuwa mbali zaidi kiuchumi hapa Africa Kwa...
  11. Kenya Vs Tanzania: Wenzetu Kenya baada ya kuzidiwa na madeni hii ndio njia mpya walioichagua kujenga uchumi wao.

    SASA KENYA INAJIELEKEZA KWENYE SEKTA BINAFSI ZAIDI KATIKA UJENZI WA TAIFA LAO, Mfano, Katika bajeti ya Kenya ya mwaka wa fedha 2026/27, serikali imeweka mkazo mkubwa wa kimkakati kwenye Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP). Hali hii inatokana na kubana kwa nafasi ya kifedha kutokana na...
  12. Wadau hivi deni LA taifa lina effects kweny uchumi WA mtu binafsi kama huyu mdau alivyoeleza Facebook kwenye hiyo comment yake baada ya Prof Tibaijuka

  13. Uchumi: Kama unaogopa kuchukua RISK basi fahamu unajenga ndoto za aliyekwisha chukua, na sahau kuhusu hela

    Maskini akitaka kufanya biashara anajiulza vipi kama nitapoteza? Then anagairi. Wakati matajiri hua wanajiuliza vip kama itafanikiwa?then anachukua hatua. (rudia tena kusoma hiyo sentensi) Ukweli ni kwamba kila kitu unachoona kimefanikiwa kilianza na uncertainty. Yaani hakikua na uhakika ama...
  14. Wanaripoti Bloomberg Business : Tanzania Yaongeza Bajeti ya Miundombinu na Huduma za jamii Licha ya Kunyimwa Misaada

    Katika Hali ya kushangaza,Jarida Maarufu la Biashara kutoka kubwa la Mabeberu USA limeripoti taarifa ya kushangaza kwamba Licha ya Tanzania Kunyimwa misaada ila Serikali ya Tanzania imeongeza Bajeti Kwa asilimia 10% huku ikipeleka pesa nyingi kwenye miradi ya miundombinu na Huduma za jamii...
  15. Kwa Heri Dar (Mkoani) Karibu Dodoma HQ. Serikali Kuifanya Dodoma kuwa Kitovu Kikuu Cha Uchumi wa Nchi

    My Take Sasa Dar inaenda kuwa kama Mombasa na Dom kuwa kama Nairobi. Siku zote anakolala Baba ndiko taulo linatunzwa.Pia soma Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa Kimbilio la Biashara ya Kupangisha Nyumba za Kuishi na Biashara (Frame) | JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma Laipiku Dar na Kuwa...
  16. Ethiopia & Tanzania Zina Uchumi Mkubwa(GDP) Kuliko Uganda Lakini Bajeti Zake ni Ndogo Kuliko ya Uganda.Hii Inatokana na Nini Kiuchumi?

    1.Kenya 2.Uganda 3.Tanzania 4.Ethiopia 5.Rwanda 6.Burundi. My Take Wachumi tusaidieni kudadavua.
  17. Uchumi, Elimu, Nishati: Nguzo za Maendeleo Tanzania

    Singapore imepita katika njia ile ile ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaiongoza Tanzania leo kwa kuwekeza katika uchumi, elimu na nishati kama nguzo za maendeleo ya Taifa.
  18. Uchumi: Hakikisha kila ukiingiza 20,000 tumia 400 tu

    Siri ya mafanikio ni kuhakikisha unabana matumizi kwa nguvu zote, usitumie utumie pesa bila utaratibu, kabla hujanunua kitu jiulize hili swali, hivi nisiponunua nitakufa? Kama jibu hapana, achana na hiyo kitu. Wanauchumi watanielewa. Kila 20000 tumia sh 400 tu
  19. Unatakiwa Kuelewa Au Kufahamu Kuwa Pesa Ya Halali Hapa Duniani Haipo

    Habari wana jamiiforums!!, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝. Kwa yeyote anaeamini kuwa anapata au atapata pesa ya halali katika harakati zake hiyo sio kweli, zaidi zaidi utaendelea kuwa maskini wa kutupwa na mtu wa kutumwa tumwa kila iitwapo leo. Hili ni wazo la kifalsafa na kidini ambalo...
  20. Tathimini ya uchumi wa Tanzania 2026 - 2030

    Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu". Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama Taifa Sio sahihi Hasa Kuegemea Zaidi Upande wa China na Urusi kwasababu 1.China Ni Wazee Wa Loans Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…