Ndugu zangu wanabodi..
Naomba kuuliza tu japo kuongelea watu sio vyema...
Hivi watu aina ya Baba levo wana tumia dawa ama?
Imagine mtu hana talent, hana elimu, hana historia ya mapambano... Ila anakuja kula maisha ambayo huenda hata masters holders hawatakuwa kuzigusa?
Baba levo, alianza...