uchawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    Ukweli usemwe: Hayati Magufuli ndio alileta siasa za "Uchawa" kwa kupenda kusifiwa na kutotaka kukosolewa

    Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote. Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri"...
  2. G

    Madhara ya "uchawa" sasa yameanza kudhalilisha na kuumiza

    Kama taifa tumefanya kosa kubwa sana kuruhusu na kuulea uchawa. Kwamba mtu anayesifia na kujipendekeza kwa rais anaonekana ndiye mwema na mzalendo sana kuliko yule amabaye anapongeza kimya kimya ama anayekosoa. Matokeo yake watu wengi wakaanza kuwa machawa na kuanza kushindana vikundi vya...
  3. R

    Tuwaombee TBC wanapita wakati mgumu, rasilimali watu ina tatizo la fikra lililozalishwa uchawa

    TBC wamekuwa reporter kwa muda mrefu. Madhara yake kila wanachoambiwa na viongozi wa nakipeleka hewani kama walivyoambiwa hakuna kuongeza wala kupunguza. Hakuna analysis wanaoruhusiwa kufanya wala critics yoyote waliyopewa nafasi kuifanya. Wameaminishwa kwamba wakifanya analysis wataonekana...
  4. Yoda

    Maslahi duni katika sekta nyingi ni chanzo kikubwa cha uchawa

    Pamoja na malalamiko makubwa sana kuhusu mfumo mpya wa maisha ulioshika kasi siku za hivi karibuni ni vyema kufahamu pia chanzo kikubwa cha mambo haya. Ukweli ni kwamba katika nchi yetu maslahi sio mazuri katika sekta au tasnia nyingi. Na ushahidi ni mwingi sana, mfano angalia watu maarufu na...
  5. ChoiceVariable

    PreGE2025 Gazeti la Mwananchi: Sekretarieti ya CCM Imejaa Watu "Machawa"

    Kwa mujibu wa maelezo ya gazeti la Mwananchi wakinukuu maoni ya Luqman Moloto anasema Sekretarieti ya CCM Imejaa Watu "Machawa" au Tegemezi ambao wanakitegemea chama kuliko Chama kuwategemea wao ukilinganisha na Wapinzani. My Take CCM ni chama Pendwa, maoni haya yanaonesha Mwananchi ni...
  6. Mmawia

    PreGE2025 Wana Ruangwa tunajua kushukuru, wanawake wagalagala mbele ya Majaliwa kama shukrani kwa utendaji wake!

    Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao. Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao. Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa shukrani kwa watawala wetu. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
  7. P

    PreGE2025 Tunategemea mwandishi kama huyu atasimama kuibua maovu nchini kama ananunulika na minofu ya nyama tu?

    Wakuu heri ya mwaka mpya, Kweli tunategemea mwandishi kama huyu atasimama imara kuibua maovu nchini? Kweli mwandishi wa hivi atakuwa mstari wa mbele kuibua kero zinazowakumba wananchi kama nyama tu mefanya kuwa chawa kiasi hiki? Mwandishi unasifia kununuliwa viatu vya gharama? Sijui kununulia...
  8. Analogia Malenga

    PreGE2025 Kwa staili hii tutegemee nini kuelekea uchaguzi?

    Huyu muandishi kapewa nyama ya mbuzi za kula siku mbili tatu anaanza kuongea maneno ya kusifia huyo mbunge wake Tabasamu. Je, tasnia ndio inakufa kwa kupata waandishi ambao hawatajua kazi zao za msingi na kujipendekeza kwa wagombea. Kama hali inakuwa hivi je waandishi watafanya kazi yao ya...
  9. N

    Watanzania wanawaza kumtukuza mtu au Rais kuliko taifa lenyewe

    Huwa nakaa najiuliza nani alituletea hili balaa maana imefika kipindi unaona kabisa jinsi gani watanzania wanashindwa kujali na kathamini taifa lau zaidi ya umaarufu binafsi wa kiongozi mkubwa wa nchi. Tabia ya viongozi kujenga umaarufu binafsi kuliko hata taifa lenyewe limezaa balaa kwenye nchi...
Back
Top Bottom