Majaji wa Rufaa : Jaji Ndunguru anaweka uchawa kuchukuwa kazi zenu!!! msiwe wajinga.
Tumefika wakati hata watu wenye akili zao wanajifanya wajinga ili wapande vyeo maana huu utaratibu wa udikteta mchara tulio nao huwezi kuwa na akili ukapendwa.
Ndiyo maana wafanyabiashara wengi na CEO kama...
Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu kaka yake, Wakili Alute Mughwai Lissu ambao umesomwa na moja ya watu wa familia hiyo leo Jumatatu, Novemba 9, 2026 mkoani Arusha.
Habari za leo Wana-JamiiForums (JF),
Natumai mko salama mahali popote mlipo nchini na nje ya mipaka yetu. Leo nimeamua kuchukua nafasi hii kuandika rasmi kuhusu huyu mtu anayejiita Yericko Nyerere—ambaye kwa mienendo yake ya sasa, bila kumung'unya maneno, tunaweza kumwita "LOSER" (Mshindwa) wa...
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Ni kwamba kwa kawaida Ilitakiwa chama kiisimamie serikali ili serikali isifanye ubabsishaji katika kuwahidumia wananchi, ila sasa hali ni tofauti kabisa kwani ccm pamoja na serikali wameingia kwenye ndoa tamu sana ambapo kila mmoja anatafuta namna ya kumbeba...
Chawa ni mtu anayejipendekeza Kwa kiongozi, mwanasiasa mfanyabiashara au kundi fulani Kwa lengo la kunufaika au kupata chochote.
Kwa maana rahisi chawa ni kama mwanamke malaya ambaye yupo tayari kufanya chchote ilimradi apate pesa.
Shida ni pale anayekutumia anapotimiza malengo yake harafu...
Wakuu, habari za wakati huu.
Hivi karibuni nimepata nafasi ya kusoma kitabu cha "The Invitation" kilichoandikwa na mwandishi Oriah Mountain Dreamer. Hakika kimenipa funzo kubwa sana ambalo nimeona si vibaya niklishirikisha hapa jukwaani kwetu, hasa kwa muktadha wa maisha na siasa zetu za kila...
Chief Mkwawa—ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga—anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
Rapa nguli wa Marekani na mmiliki wa lebo ya Maybach Music Group (MMG), William Leonard Roberts II (Rick Ross), amejikuta katikati ya dhoruba kali ya kisheria nchini kwake. Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya msanii huyo kujipambanua kama msifiaji mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Nini maana ya uchawa?
- UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha.
-UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile wawe wanamsafisha.
Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu.
1. Kwa nini Marekani...
As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?
Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
Kazi yangu mimi ni biashara ya genge, nauza mboga. Nilichogundua hapa kijijini kwetu ukiona noti mpya nyingi zinakuja gengeni kununua bidhaa ujue watumishi wamelipwa misharaha yao. Wingi wa hela hizi nyingi na mpya unapotea ndani ya siku 7 hadi kumi tu. Nikamuuliza mwenzangu anaemiliki glossary...
Insonekana mdomo siku hizi unalipa kuliko Elimu ya darasani, Jaku boy aporomosha bungalow jingine la kifahari. Tizama hilo dude la jaku boy
https://youtu.be/wLAM96wo7Bc?si=VBBhGihNMUkNwIz_
Kina doto magari wametoka kuwa wezi, sasa wanasafiri ughaibuni na kula maisha ya kifahari kuliko wasomi...
Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli?
Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini.
Wasomi kama akina Dk Sengondo Mvungi hawatatokea tena. Hawakujikomba wala kujipendekeza.i
Dk Denis kusifia uovu wote wa...
"Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera?
Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.