uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel: CHADEMA wanajua Lissu hataweza kushindana na Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel akizungumzia kuhusu ushiriki wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu katika siasa ya sasa pamoja na kudai kuwa hana uwezo wa kushindana na Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Hakuna chama chenye mamlaka ya kuzuia uchaguzi

    Chama cha Mapinduzi CCM kimesema hakuna chama chochote ambacho kina mamlaka ya kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika October mwaka huu na siyo matakwa ya chama hicho kufanya uchaguzi bali wanafuata kanuni na sheria za katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kutaka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba, ikiwa Serikali, Tume ya Uchaguzi na CCM hawataki kukusikiliza, kinachofuata ni nini, unaacha uje useme niliwaambia hamkusikia?

    Mfano wa matokeo ya kiburi cha kiongozi wa Bangadesh, mama Hasina Hakuna mtu anakataa kwamba ushauri na jitihada za za Jaji Warioba kutafuta suluhu kutokana na kinachoendelea hapa nchini katika suala la uchaguzi ujao, kutia ndani na hizi kesi za kisiasa dhidi ya Lisu na hata kupotea na kutekwa...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu inapigia promo uchaguzi wetu ujao kufuatiliwa kimataifa na kutegewa sikio na inamsogeza Lissu karibu na Ikulu

    Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
  5. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Kila la heri makadnali 133 wanaotarajia kuanza uchaguzi wa Pope tarehe 7/05/2025

    NA MUITA KRISTO BWANA ATAKAYE NI HUKUMU , ASHUHUDIE KWAMBA KURA YANGU IMETOLEWA KWA YULE AMBAYE KULINGANA NA MUNGU NAAMINI ANA FAA KUCHAGULIWA. Hayo ni maneno ambayo kila kadnali anayerusiwa kupiga kura ya kumchagua Papa hutamka mbele ya altare akiwa amesimama na karatasi ya kura yake kabla...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inashuka daraja kipindi cha uchaguzi? Hizi hasira za wanayanga watazielekezea kwa utawala uliopo

    Nasemaje...? Ole wake hili liwe kweli, utawala huu uliopo utajutia, utajiongezea upinzani zaidi kwa wanachi hasa mashabiki wa Yanga watauchukia na kuwa sehemu ya upinzani Naiomba serikali isiruhusu hizi akili za kijinga TFF kuishusha daraja Yanga! Na ikiruhusu hili litokee, basi kile...
  7. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Samia na CCM mnatumia nguvu ya dola kulazimisha uchaguzi ufanyike jinsi mnavyotaka, Je, hamuoni mnahatarisha amani ya nchi? Je, hii ni Haki?

    Maoni yametolewa, Ukweli unaonekana hata na mtoto mdogo anaweza kutambua changamoto kubwa inayoipa doa tume ya uchaguzi na kuifanya kuwa batili na isiyoweza kusimamia haki. TEC wametoa maoni yao, Waziri mkuu mstaafu Warioba ametoa msisitizo huo, vyama na taasisi mbalimbali wamesisitiza kwamba...
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Jaji Warioba asema CHADEMA kususia uchaguzi ni kujifuta kwenye Ramani ya siasa

  9. M

    JamiiForums Tanzania Leo. Lissu angekuwa Rais, akiwa chini ya sheria hizi za Uchaguzi, Raisi Samia, angeongoza wana CCM kupinga sheria za upendeleo kwa chama kimoja!

    Huu ni ukweli ulio wazi, Leo kama Lissu ndiye angekuwa ni Rais wa nchi na kuwa chini ya sheria mbovu za uchaguzi zilizopo sasa, nina uhakika, wana ccm wakiongozwa na Samia ambaye ndiye Rais wetu, wangeingia barabarani kupinga sheria hizi mbovu pamoja na tume inayoundwa na Rais zinazokibeba...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Itikadi na siasa CCM Ruvuma, amesema nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria, hakuna wa kuzuia uchaguzi

    John Forteo, Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenenzi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ameitaka Jamii na Vyama vya Siasa nchini kuhakikisha wanafuata sheria za nchi zilizowekwa . John Forteo ameyasema hayo wakati alipomuwakilisha Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Ruvuma Hemed Chale...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Chadema ndio wanapaswa kulaumiwa na wanachama wao kwa kukataa kusaini kanuni za maadili na sio kuilaumu Tume Huru ya Uchaguzi

    Nimemshangaa sana mzee wetu Warioba Kuishangaa Tume na kuzishangaa Kanuni za uchugazi badala ya kuwashangaa Viongozi wa Chadema (Katibu Mkuu) ambaye kwa Jeuri tu walisusia kusaini kanuni hizo za uchaguzi na huku wakitambua kufanya hivyo kutawazuia wao kushiriki uchaguzi Mkuu. Jambo hilo sio tu...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi na kupandisha mishahara kwa walimu ni kama mtego 2025

    Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo. Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi kwa kuwa ndio wanakuwa kwenye uchaguzi wamuunge mkono kwenye magoli ya mkono.
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mtanda asisitiza amani kuelekea uchaguzi mkuu

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa wito kwa wafanyakazi nchini kuhakikisha wanadumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu, akisema amani ni nguzo muhimu ya upatikanaji wa haki na ustawi wa jamii. Mtanda ametoa kauli hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TUCTA Rukwa yawataka wananchi na wafanyakazi wote kushiriki uchaguzi

    Shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) mkoni Rukwa limetoa wito kwa wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi ili kupata viongozi bora watakaojali maslahi ya wafanyakazi na kuleta maendeleo ndani ya nchi. Hayo yamebainishwa na mratibu wa TUCTA mkoani...
  16. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, yaanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu la pili

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC Jaji Jacob Mwambegele amesema tume hiyo imeanza awamu ya pili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ikihusisha mikoa 15 mzunguko wa kwanza huku huku akiwataka wananchi ambao hawakuboresha taarifa zao awamu ya kwanza watumie nafasi...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Enyi Watanzania Mna uhakika Mwaka Huu 2025 Kuna Uchaguzi?

    GT Nimepiga hesabu zangu zinakataa katakata uchaguzi haupo, Nimepiga ramli, nimeongea na wazee lakini wapi mababu wanasema mwaka huu mgumu sana. Sijui huko Mbeleni kitatokea nini ila uchaguzi utakuwa ni mgumu na wenye sintofahamu kubwa in case utakuwepo. Hapa ndo naikumbuka kauli ya...
  18. cutelove

    JamiiForums Tanzania Sherehe ni za Mei mosi au kampeni za uchaguzi

    Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Hakuna kikao kilichopitisha suala la kuzuia uchaguzi

    Na John Mrema kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR. RUGEMELEZA NSHALA, GROUP LA MASWALI MAGUMU Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam. Nimesoma maoni yako ambayo yamejaa uchungu na maumivu ,lawama na kejeli . Umesema kuwa uongozi mpya...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Hoja ya kutakiwa kufanyika mbadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA ni hoja ya umma

    "Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa...
Back
Top Bottom