Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli.
Hatuwezi kushiriki uchaguzi ukawa wa haki ikiwa hata maamuzi ya uchaguzi ufanyike vipi umeegemea tu upande mmoja, kama ni haki na huru twende tukafanye mabadiliko kwa...
🔹. Kuongeza uwakilishi – Wananchi wengi zaidi wanapata wawakilishi wa karibu wanaojua changamoto zao.
🔹. Kuhamasisha ushiriki wa wananchi – Inarahisisha wananchi kushiriki katika uchaguzi na masuala ya maendeleo.
🔹. Kusogeza huduma karibu – Majimbo mapya hurahisisha upatikanaji wa huduma za...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, Moza Ally, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya CHADEMA, akilalamikia ukosefu wa mwelekeo wa kisiasa ndani ya chama hicho na kukosekana kwa mkakati wa wazi kuhusu ushiriki kwenye uchaguzi mkuu...
Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi
Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia kazi za vyama, hasa vya upinzani. Kulingana na Sheria ya Vyama vya Siasa (Cap 258 R.E 2019), Msajili...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Wanasiasa wote nchini kutoka vyama vyote vya siasa kuhakikisha wanalinda na kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025...
Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli.
Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni Uchaguzi.
Haya ngoja tuone yafuatayo sasa kwenye uchaguzi huu baada ya kauli hiyo ya Spika wa...
Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya.
Tanzania imepatwa na...
Majimbo Mapya
1. Mkoani Dar es Salaam-majimbo 2
(a) Jimbo la Kivule lililogawanywa kutoka Jimbo la Ukonga
(b) Jimbo la Chamazi lililogawanywa kutoka Jimbo la Mbagala
2. Mkoa wa Dodoma-jimbo 1
Jimbo la Mtumba lililogawanywa kutoka Jimbo la Dodoma Mjini
3. Mkoa wa Simiyu-jimbo 1
Jimbo la Bariadi...
Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
Ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba Radhi Askofu wa Anglikana Maimbo na pia kumtaka Naibu Waziri Mkuu kumuomba radhi Askofu Maimbo kwa kutomjibu kikamilifu, hivyo kupotosha msimamo wa Kanisa la Anglikana juu ya uchaguzi wa octoba 2025. Na pia ningependa kumpongeza Spika Kwa kumjibu...
Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi,
1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini.
2. Kanisa la...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
Salamu naomba wajuvi wa mambo mtusaidie hili kuna jumbe zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na link ya ajira za tume huru ya uchaguzi nimejaribu kuingia kwenye link tajwa ila naona kama inakuwa na utaratibu ambao sio wa kawaida kwani kuna sehemu inasema share to your contacts...
Mkurugenzi Mkuu LATRA wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo amewaasa Wanahabari kutumia kalamu zao vizuri kuandika habari zinazohusu uchaguzi mkuu na kuepuka habari zinazopotosha Jamii pamoja na kuandika kwa umahiri habari zinazohusu sekta ya usafiri nchini.
Amesema...
Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,
===
Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania...
Hospitali hakuna madawa, vitanda wala vifaa tiba
Mashuleni hakuna madawati, vitendea kazi, walimu pamoja na vyoo.
Vijijini na mijini hakuna maji pamoja na miundo mbinu mibovu ya barabara pamoja na usafiri.
Makazini mishahara haitoshi na weledi umepungua kwa kiwango cha lami.
LAKINI PAMOJA NA...
Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka:
Unaoa lini?
Kwanini hujaoa/hujaolewa?
Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini?
Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa?
Unasubiri nini?
Huko kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.