Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Nakusudia maandamano yale yenye lengo la kupinga zoezi la uchaguzi
Kama ni hoja watu wametoa hoja zao sana na kama ni elimu watu wametoa elimu ya kutosha juu ya jambo hilo.
Sasa tufanye tathmini ndogo hapa kila mtu aoneshe upande wake anaochagua kwamba anaunga mkono au haungi mkono maandamano...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania Gilead Teri amesema hamasa ya wawekezaji kuwekeza nchini imeendelea kuwa kubwa hata katika kipindi ambacho nchi yetu ipo kwenye uchaguzi jambo linaloashiria imani kubwa ya wawekezaji hao kwa serikali. Teri ameyasema...
Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida?
Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
Vyama vinavyoshiriki uchaguzi bandia vifutwe , wagombea wote wa vyama hivyo wakamatwe na kuhojiwa hawatufai.
Viongozi wa dini wanao support uchaguzi bandia waondolewe kwenye nafasi zao kushiriki kwenye uovu kwa viongozi hao kunapoteza nafasi ya wao kuendelea kuwaongoza wengine kwenye haki.
Samia itakuwa aibu kwetu na kwako, kama wananchi au askari wako wakikutoa kama mwizi.
Kwa heshima, watu wako watakufikishia hizi karibuni kutakuwa na majibizano ya Risasi kama CCM itaacha kuwasikiliza Wananchi na sisi wenye masikio marefu.
Tarehe 29, Polisi na Askari wa JWTZ hawatatii amri...
Kuna Mwanajeshi kataka Tanzania isifanye uchaguzi.
Je, Yupo peke yake au nyuma yake kuna wenzie. Kama katoka hadharani na kisema, huu mwezi wa kumi 2025 utakuwa ni mwezi kona.
Anaitwa Kapteni Tesha kutoka Shule ya Anga ya Jeshi. Amesema katafakari sana..
Amesema, "JESHI LICHUKUE NCHI HARAKA...
Mkoa fulani umeachia majina ya watakaosimamia Uchaguzi Mkuu 2025.
Wengi wao ni walimu. Watafanya interview kuanzia week inayoanza jumatatu.
Oktoba imeanza kuchangamka
Vitisho vya kuua watu 29 Oct 2025 ndio imekua faraja ya Viongozi wa chama tawala Kwa Sasa baada ya kuona Hali ni ngumu na halisi.
Wamepoteza matumaini kabisa na hofu imewajaa.
Hua najiuliza hivi Hawa Viongozi hua ni Viongozi wa watu ama Ni Viongozi wa kuongozana wao Kwa wao?
Mbona hawawajali...
Baada ya uchaguzi serikali itakua na kazi kubwa sana watu wengi hawana imani na serikali ya Mama huo ndo ukweli mchungu hata CCM ndani wengi tunajua ndo maana Lissu yuko jela CHADEMA hawako kwenye uchaguzi huo ndo ukweli mchungu tetesi za Ufisadi kwenye awamu mama uwajibikaji kua mdogo...
1. Pamoja na kwamba uchaguzi wetu umekuwa haramu siku zote ila kuandamana Kwa wakati huu inaweza leta matatizo makubwa.
A. Nguvu itatumika kubwa kuyazima hivyo kupelekea watu kuumizwa sana.
B. Kuna matukio ya kitaifa yatakayofwatana mfululizo kwenye wiki la mwisho la October na wiki la mwanzo...
Tofauti Kati ya Mwana Siasa na Kiongozi ni kwamba Mwana siasa anafikiria uchaguzi ujao wakati Kiongozi anafikiria kizazi kijacho... Hivyo akija mwana siasa kwako muulize mwana siasa , Mtoto wako atafaidika vipi na sera zake.
Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia.
Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele.
Leo wenda vijana wetu katika...
Nyinyi WATIAMA, Niambieni Baada ya Hayati Magufuli Kufa, kitu gani Samia kawafanyia?.
Barabara ni Magufuli.
Hospital ni Magufuli.
Ujenzi wa Chuo Kikuu ni Magufuli.
Magufuli angalau alijitajidi sana, angekua hai Maji yangekuwepo 24hrs.
Miaka Minne ya Samia, Hata Maji safi na Salama yamemshinda...
Kwa mara ya kwanza Zacharia Obadi, Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria – anaweka wazi kuwa wao kama chama hakuna walichopoteza kwa kutoshiriki uchaguzi zaidi sana wamerudisha Imani kwa Watanzania.
Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Sikonge, Felix Lyata amesema kama uchaguzi ukifanyika kwa mazingira ya sasa tutegemee kuiona Tanzania iliyo gawika kwasababu itatokea kundi la watu litasema huyu ni Rais wetu, mbunge wetu kwa sababu tulimchagua sisi na wengine watasema huyu hatukumchagua sisi kila mtu...
Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Felix Lyata amesema uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepoa kwa sababu ajenda ya 'No Reforms no Election imeeleweka kwa wananchi huku akisisitiza kwamba ili uchaguzi uweze kuitwa uchaguzi ni lazima kuwepo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.