uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanatisha! Pamoja na wauaji wa wananchi, Rais atajificha Zanzibar siku ya uchaguzi

    Imepangwa kwa makusudi kwamba siku ya uichaguzi rais atakuwa Zanzibar. Kama ni kweli ni kuogopa usalama wa Bara, hili nalo ni jambo la ajabu kwa sababu majeshi yanayolinda nchi, bara na visiwani yako chini ya mkuu mmoja. Yawezekana ni kuogopa maandamo, lakini ni hakika kwamba visiwani wao...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Askofu Gwajima amesema yupo tayari kushiriki Uchaguzi

  3. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji Ujasiri Mpya: Kwa Nini Wakati Umefika wa CCM Kuachia Madaraka kwa Amani. Je ni baada au kabla ya uchaguzi?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania TB Joshua alipita Tanzania kumpoza Lowasa baada ya kushindwa uchaguzi 2015

    Mnakumbuka jinsi TB Joshua alipokuja Tanganyika kumpoza Mzee wa kuzungusha mikono hewani. Baada ya kupigwa tukio
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Tanzania haikuwai kuwa na uchaguzi wa namna hii, anayebisha aje na hoja

    Haijatokea Tanzania kuwa na uchaguzi wa aina hii , naomba wauliza wazee wetu 1. Mzee Kikwete 2. Mzee Warioba 3. Mzee Butiku 4. Mzee wasira 5. Malichela na wengine, hivi katika taifa hili kuwewahi kuwa na uchaguzi wa namna hii , kwanini sasa leo hii na mpo hamjafa ? Hapana wazee wangu, hapana...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Samia anavotuma SMS za uchaguzi kwa nini na sisi tusitume za Maandamano?

    Kumekuwepo na Swali la Watu wa vijijini hawako kwenye mitandao ya kijamii, je watajuwaje kuhusu Maandamano? Je kwa nini tusianze kuhimiza watu wa vijijini na mijini faida za maandamano kupitia SMS moja kwa moja kwenye simu zao. Nawasilisha wazo teremshemi maeneo ya kimkakati ya kuhamasisha...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZAMECO yalaani hatua za kudhibiti Vyombo vya Habari, yatetea Haki ya kupata Taarifa kipindi cha Uchaguzi

    Kamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) inasikitishwa na hatua ya Tume ya Utangazaji ya Zanzibar kutoa taarifa inayoweka orodha ya Vyombo vya Habari vya Mtadaoni inavyovitaja kuwa vinafanya kazi kinyume cha sheria ambayo Tume hiyo inaisimamia na kutishia kuvichukulia hatua...
  9. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 SACP Richard Abwao: Wananchi puuzeni wito wa maandamano yasiyo halali

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii. Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wanaendelea na vitisho kwa raia, huko tabora wamefanya mazoezi wakidai kuimarisha usalama kwenye uchaguzi

    Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakiongozwa na SACP Richard Abwao, Kamanda wa Polisi mkoani humo wamefanya mazoezi ya kawaida ya mwendo wa pole na haraka katika viunga vya Manispaa ya Tabora yakilenga kujiweka tayari kulinda amani na usalama kwa wananchi hususani kuelekea uchaguzi mkuu...
  11. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia maigizo ya uchaguzi tumekuwa kichekesho cha dunia

  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ushukuru Suala la Tanzania kutoka kwenye nchi ambazo Uchumi unakua kwa Kasi EAST kuzidiwa na Uganda Limekutana na Uchaguzi Ulikua Umekwisha

    Tanzania kitendo cha kutoka kwenye nchi ambayo uchumi unakua kwa kasi. East Afrika Tanzania imetoka hamna GDP imeganda. Suala hili limekutana na uchaguzi watu wamepoa kwenye kulinda shilingi na dola umejitahidi Lakin jiangalie sana buana mkubwa tafuta washauri wazuri wa Uchumi kama Mpango...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuliwaambia huu Uchaguzi utavurugika. Kiko wapi?

    Nyie mnaotiki Mmeona Magari ya Polisi leo? Yatakuja kutawanya watu vituoni, kwa kuwa Tunaondamana na nyie mnaopiga kura hatuna alama usoni wote tutapigwa tutaumia, tutapigana wenyewe kwa wenyewe, Polisi wakiingilia tuna wachangia, nchi inaingia kwenye machafuko. Huwezi ukatawala nchi amabayo...
  14. Trainee

    JamiiForums Tanzania Wengine kila siku humu mnajidai kuponda uchaguzi na kuupinga lakini mtaani mmejazana kwenye harakati za kupambania 'kazi za muda'

    Timu maandamano bwana Yaani kimtu kinakomaa mishipa kupondea uchaguzi na kuupinga lakini kwenye foleni ya kuhangaikia kazi za muda za usimamizi na ukarani wa uchaguzi unakakuta tena kapo mstari wa mbele
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tumeshashinda Uchaguzi huu

    Mapema asubuhi Tu. Tunaandaa sherehe ya Uapisho Uwanja wa Amani
  16. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Walioandaa maandamano wana nguvu kuliko walioandaa uchaguzi Mkuu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo Uchaguzi hauzungumziwi kinachozungumziwa ni maandamano Tukimaliza kuchoma vituo vya kupigia kula tukutane barabarani...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mamlaka za maji kudaiwa kubambikia wateja bills imeanza kitambo, kwanini Samia achukizwe kipindi cha uchaguzi?

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akimnadi Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ndiye Rais wa Tanzania, ameelezea kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya mamlaka za maji kubambikia wananchi bili kubwa zisizo na uhalisia. Najiuliza kwanini hatua za msingi hazikuchukuliwa mapema...
  18. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni sahihi mjumbe wa nyumba kumi kunifuata nyumbani siku ya uchaguzi tuongozane naye kituo cha kura?

    Mgombea wa ccm jana alitoa wito kwa wazazi kubeba familia zao kuelekea kupiga kura. Zaidi akasema mabalozi wa nyumba 10 wahakikishe wanawapitia wakazi wake kwenda nao kuipigia ccm kura. 1. Nauliza, kauli hiyo ni sahihi? Kama mimi sio mwanaccm nitaenda kumpigia nani? 2. Kama sera za wale...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenye masikio na asikie sasa endeleeni kujidanganya kuwa mtazuia uchaguzi

    Wanaukumbi. Sina uhakika kama watu wengi hasa hawa washabiki wa wanaharakati wanaelewa uzito wa maneno haya kutoka kwa rais wa nchi. Sina uhakika kama wanaelewa anapofikia Rais wa nchi kutamka hivi wanaelewa nini kinatakiwa kufuata aunini maana yake kwa vyombo vya usalama vyenye jukumu la...
  20. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 DOKEZO Responded Uchaguzi Mkuu wa 2025 na uadilifu wa Vyombo vya Habari Tanzania

    Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zimebakia takribani wiki mbili kabla ya Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Hali ya uadilifu wa Vyombo vya Habari Katika jamii ya kidemokrasia, Vyombo vya Habari hutazamwa kama daraja kati ya...
Back
Top Bottom