MAFURIKO ya Tundu Lisu, yaweza kubadili kanuni za uuwindaji. Yaani, Mbuni kuanzia kumuwinda Tembo. Au sungura kuanzia kumwinda mbwa!
Katika siasa Hakuna jambo linaloweza kutokea kwa bahati mbaya. Matukio yote hupangwa kwa njia za haki au hila! Hupangwa mchana au usiku! Sirini au kwenye Meza...