Wadau,
Ni almost miezi Tisa tangu Tanzania ifanye uchaguzi wa serikali za mitaa. Kama mtakumbuka, uchaguzi huu uligubikwa na kila aina ya hila na vituko.
Matukio kabla ya Uchaguzi
Miongoni mwa matukio ya makubwa ilikua ni pamoja na kuenguliwa kwa Wagombea wa upinzani kwa kigezo cha kukosea...