uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na watoa huduma ya habari mitandaoni

    Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa kikao cha Tume ya Taifa ya UIchaguzi na watoa huduma ya habari mitandaoni katika ukumbi wa Mikutano wa Mwl. J. K. Nyerere 15 SEPTEMBA, 2020 Wakurugenzi & Wakurugenzi Wasaidizi wa Idara, Watoa huduma ya habari...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi mwaka huu umepoa kuliko chaguzi zote

    Kinachofanya uonekane unakashikashi ni mitandao tu ya kijamii. Ila huko kwenye uhalisia utadhani hatuko kwenye Uchaguzi. Napita mitaani hakuna anayezungumzia. Ukiacha mabango ya CCM ambayo yametapakaa jiji zima LA DSM, yaani hata Bango la diwani ni kali kuliko la mgombea Rais yoyote wa...
  3. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Tume ya Taifa ya Uchaguzi inashiriki mchezo wa kuvuruga Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa CHADEMA leo tarehe 14, aneongea na waandishi wa habari na kuwajulisha kuhusu hali ya kuenguliwa kwa wagombea wao kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge na Udiwani. Mnyika amesema kuwa kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali ambavyo Chadema inavyo ndani ya tume, mchezo ambao tume inafanya ni wa...
  5. Kamakabuzi

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi fafanua hili haraka

    Katika taarifa yenu ya tarehe 11 September 2020, kipengele namba i Imekubali rufaa 34, kata ta Kamgambo (Karagwe) imetajwa mara mbili. Rekebisheni kosa hilo maana yawezekana mlikusudia kutaja kata nyingine iliyo Karagwe na hivyo muhusika wa kata hiyo (Kamagambo ya pili} hajajulishwa au soma...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera ZEC kwa maamuzi ya akili. NEC ni tatizo katika Uchaguzi wa Bara

    Nilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba, kosa la ujazaji halikuwa na lengo la kunufaisha mgombea au kuufanya Uchaguzi usiwe wa haki n.k...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sauti ya Umma (SAU): Ilani ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    YALIYOMO; 1. UTANGULIZI 2. VIPAUMBELE VYA SERIKALI YA SAUTI YA UMMA(SAU) 3. AFYA 4. ELIMU 5. MAJI 6. KILIMO MIFUGO NA UVUVI 7. MALI ASILI 8. MIUNDO MBINU 9. VIWANDA NA BIASHARA 10. SANAA UTAMADUNI NA MICHEZO Kwanza Kabisa Nimshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Kutuongoza Na Kutusimamia Katika Safari Na...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amefuta mauaji ya Albino nyakati za uchaguzi

    Ukweli lazima usemwe na utasimama. Kati ya mambo muhimu ambayo Watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi ya albino. Kwa miaka mingi na kwa chaguzi zaidi ya tatu Tanzania ilishuhudia mauaji ya albino au...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maswali magumu kwa Tume ya Uchaguzi NEC

    1. Nini tathimini ya Tume kuhusu mchakato mzima wa kupokea na kurudisha fomu za wagombea, mapingamizi na rufaa kwa wagombea hasa kwa nafasi za Ubunge na Udiwani? 2. Nini tathimini ya Tume kuhusu mapingamizi yoote yaliyowakiliishwa Tume kutoka kwa wasimamizi wa uchaguzi (Wakurugenzi) kwamba...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kuwaengua baadhi ya wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha kumewaongezea umaarufu maradufu wagombea hao

    Siyo siri kuwa hizi njama zilizofanywa na hawa wasimamizi wa majimbo, ambao ni makada waaminifu wa CCM, kuwaengua kihuni wagombea wa vyama vya upinzani, kwa wingi na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha, kutakuwa kumewaongezea umaarufu mkubwa hao wagombea wa upinzani Ni lazima hivi sasa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Uchaguzi, (NEC), Lawamani Kuwaengua Wagombea Kwa Hoja Nyepesi Nyepesi, Je ni Ukiukwaji wa Haki za Binaadamu? Jicho Letu

    Wanabodi, Naafuatilia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kila Jumamosi asubuhi, kwenye kipindi cha leo, kutoka Mwanza, kinaongozwa na mkongwe, Doto Bulendu, na wageni wake waandishi wakongwe, Moses Mathew na Odero, na Dar es Salaam yuko Katibu Mkuu wa Jukwaa la...
  13. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Taasisi iliyokusanya maoni ya mgombea wa CCM kushinda uchaguzi mkuu kwa asilimia 85, inachekesha na kusikitisha

    MAANA YA UTAFITI Utafiti ni njia ya kupata utatuzi wa suala fulani katika jamii na mazingira ya binadamu kwa njia ya uchunguzi unaotumia nadharia za kitaaluma na kisayansi. Aidha utafiti ni njia maalum inayofuatwa ili kufikia ujuzi au taarifa muhimu inayokusudia kuchangia katika usomi wa kina...
  14. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi anastahili kulaumiwa katika hili, tulimshauri sana amkate Lissu, yeye akaona hana madhara

    Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu. Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio...
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

    Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na mwingine unaongozwa na Kassim Majaliwa, sisi hatutumii chopa." - Humphrey Polepole. Mzee Jakaya Kikwete...
  16. Maboso

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA: Kuweka madini kama dhamana ya mikopo kunaleta ukakasi

    Nikiri wazi sikuwa nimeisoma ilani ya Chadema hasa baada ya kuona mgombea wao hana mwelekeo mnzuri na kuisadia nchi hii. Leo baada ya kumsikia ndugu Polepole nilishtushwa na kipengere kinachohusu madini wakati anafanya mrejeo wa ilani ya Chadema. Baada ya kuitafuta hiyo ilani na kukisoma hicho...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif ateuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuwa mgombea Urais Zanzibar

    Hatimaye Mwenyekiti wa ZEC amethibitisha kuteuliwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar. ===== ZEC YAMPITISHA MAALIM SEIF KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imempitisha Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif kuwa mgombea wa Urais baada...
  18. Faith Luvanga

    JamiiForums Tanzania Rais Trump: Tiktok haitaongezewa muda Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa tarehe ya mwisho iliyopagwa kwajili ya kampuni ByateDace ya China kuuza programu nukushi ya Tiktok nchini humo haitaongezwa. Trump ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kabla hajaondoka kwenda Michigan kuendelea na kampeni yake na...
  19. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Ileje na Songwe tunaanza kushinda kwa mbinu, kabla ya kupiga kura

    ILEJE NA SONGWE TUMESHASHINDA KWA TECHNICALITIES, SASA TUNAENDA MOMBA........ Na Elius Ndabila Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, macho na masikio ya watanzania wote ni kuelekea OCTOBER 28 ni nani atashinda? Lakini wakati Watanzania wanajiandaa kujua ni nani wataibuka kidedea kwenye uchaguzi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Uchaguzi ya NCCR Mageuzi: Vipaumbele ni Katiba Mpya, Elimu, Muafaka wa Kitaifa, Afya na Ustawi wa Jamii, Mazingira na Makazi

    UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
Back
Top Bottom