uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

    Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa. Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa. ======...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi kuna dhambi gani kuunda Serikali ya Umoja Tanzania?

    Mpaka sasa CCM na CHADEMA vina wafuasi wengi sana kwenye mikutano yao ya kampeni. Kama wingi wa watu ni mojawapo ya viashiria vya kuungwa mkono na watu wengi basi ccm na chadema vinaungwa mkono wa watu wengi. Nionavyo mimi hamasa ni kubwa sana kwa vyama vyote, hivyo mtu atajidanganya mwenyewe...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Dkt. Magufuli arejea Makao Makuu ya nchi Dodoma, aserebuka wimbo wa Zuchu mbele ya wananchi

    Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa. Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wimbo wa 'Tanzania ya sasa'...
  4. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu na maadili ya Uchaguzi Mkuu

    Binafsi nimepata wasaa wa kumsikiliza mheshimiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kuna baadhi ya kauli na shutuma zake kwa mawazo yangu nadhani sio sahihi sana Ukisoma sheria ya Taifa ya uchaguzi sura ya 343,pamoja...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama vita vimehamia kwenye "Nyomi" hakuna uchaguzi ambao Wapinzani wamefikisha nusu ya nyomi ya CCM

    Tangu 1995. Kila uchaguzi idadi ya wahudhuriaji wa mikutano ya urais ya CCM ni kama 3/4 ya wanaokwenda kwenye mikutano ya mgombea wa upinzani. Enzi za Mkapa, Kikwete hata JPM awamu ya kwanza mfano tu CCM Kirumba ilikuwa inatapika. Wakati nyomi ya upinzani ilikuwa ikibanana pale furahisha...
  6. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Vitendo vinavyokatazwa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi namba 6 ya 2010

    Kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010; Kifungu cha 24, kifungu kidogo cha 2 kinaeleza kuwa; Mgombea yeyote, awe yeye mwenyewe au wakala wake au chama chake, akifanya kitendo ambacho kimekatazwa kama ilivyoelezwa sehemu hii, atakuwa amekosa sifa ya kushiriki kwenye...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yatoa Tathmini ya Mchakato wa Uchaguzi 2020

    Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora - THE COMMISSION FOR HUMAN RIGHTS AND GOOD GOVERNANCE (CHRAGG) anazungumza kuhusu uchaguzi huu wa 2020. Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu aliteuliwa na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli mwezi Oktoba 2019...
  8. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ya majimbo sio ya CHADEMA, ilipendekezwa kwenye rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba

    Wasalaam, Huwa inashangaza kwa mtu msomi mwenye akili timamu anapoamua kwa makusudi kupotosha jambo lenye maslahi kwa umma, ambalo linatambulika vema kwa jamii husika. CCM wameparamia kujibu hoja Lissu kuhusu sera ya majimbo eti tutarudi enzi za ukoloni, ukiisoma rasimu ya katiba ya Warioba...
  9. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Tutawaandikia NEC wachukue hatua dhidi ya mgombea Urais wa CCM kwa kukiuka maadili ya uchaguzi

    Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena. Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukimya wa Tume ya Uchaguzi na kauli tata za wagombea

    Tume yetu ya uchaguzi imekua kimya sana kuchukua hatua kwa kauli tata zinazotoka kwa Wagombea katika uchaguzi huu. chaguzi hasa Barani Afrika hazijawahi kuwaacha salama waafrika na bila ya mifakano ya kutosha. Inawezekana Imeshatoka miongozo mbalimbali lakini kadri tunavyozidi kufanya chaguzi...
  11. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana kuwahi kutokea

    Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu sana kuwahi kutokea kwa sababu hizi chache tu; 1. Tundu Lissu ni Mwanasheria mbobevu na makini kiasi kwamba utampa haki yake kiuhalali kabisa. 2. Mpaka sasa CCM pamoja na kutumia wasani wengi na mabango kila kona, bado kampeni zao na ujazaji wa watu uwanjani...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zimesababisha anguko kuu la CCM mwaka huu wa Uchaguzi ambazo zimepelekea kupoteza dira

    Sasa si siri tena anatafutwa mchawi ndani ya CCM,kila uchwao utasikia Chakubanga na Bushiri wanalalamika ,wakipiga makelele kila kona ya Tanzania kuwaonya CCM wasiojulikana. Jamani hivi yupo asiezielewa sababu ya CCM kukataliwa na wananchi walio wengi, Chakubanga na Bushiri wanajikuta wanazidi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mtazamaji (observer) katika uchaguzi ni nani, ana majukumu gani na yana faida gani kwa nchi?

    Mtazamaji wa Uchaguzi ni Nani? Katika chaguzi zote Duniani huwa kuna watu wanaitwa WATAZAMAJI(OBSERVERS) hawa wanaweza kuwa watu Binafsi kutoka ndani na nje ya Nchi. MAJUKUMU Jukumu kuu la watazamaji ni kutazama matendo na shughuli zinazoendelea katika mchakato wa Uchaguzi na kuhitimisha...
  14. Mathayo Fungo

    JamiiForums Tanzania GE2020 UDASA yatoa tamko kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia Kanuni, Sheria, Katiba

    TAREHE: 19 SEPTEMBA 2020 Ndugu Wananchi na Wanahabari, Mnamo Tarehe 26 Agosti 2020, Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) ilitoa tamko ambalo pamoja na mambo mengine lilitoa rai kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2020 kuzingatia kanuni, sheria...
  15. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna kila dalili huenda mwiko unaenda kuvunjika

    Wasalam, Pamoja na mazuri yote aliyofanya Mh magufuli bado wingu jeusi limetanda ndani ya ccm kutokana na uasi wa baadhi ya wanaccm. Kuna kila dalili kwamba ccm inaenda kushindwa kwa fedhea ktk uchaguzi wa Oct 28. Dalili moja mbaya ni kwamba wananchi ambao ni wapiga kura wamekata tamaa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Moja ya mambo mazuri aliyofanya Rais Magufuli kuhusu kodi

    Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015, kodi ya majengo (property tax) iliyokuwa inatozwa kila mwaka na serikali za mitaa (LGA) kwa kila nyumba/jengo ilitegemea thamani ya nyumba. Kodi hiyo ilitozwa kwa asilimia 0.1. Hivyo watu wote wenye nyumba/majengo mijini katika maeneo...
  17. ryan riz

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi huu watu wengi hawawajui wagombea wao wa Udiwani na Ubunge. Je, sababu ni nini?

    Kichwa cha habari chajieleza, uchaguzi mkuu wa mwaka huu kiukweli nje ya wasanii kujaza watu au watu kuja kushangaa mtu aliyepigwa risasi nyingi kwenye kampeni,ni uchaguzi ambao kampeni zake hazivutii wala kusisimua kabisa. Hii imepelekea viongozi wa nafasi za Urais wa hivi vyama viwili...
  18. Mtu wa Pwani

    JamiiForums Tanzania ZEC yawaengua wagombea wengi wa ACT-Wazalendo. Je ACT-Wazalendo itashiriki Uchaguzi?

    Naam kumekucha tume ya zanzibar ya uchaguzi imetangaza haya yafuatayo:- Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imewaengua wagombea kumi na watano (15) kati ya hao kumi na mmoja (11) ni wa Chama Cha ACT-Wazalendo, CCM mmoja (1), CUF mmoja (1), UPDP mmoja (1) na Demokrasia Makini mmoja (1), waliokuwa...
  19. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi Dkt. Bashiru ataendelea na nafasi ya Katibu Mkuu?

    Heshima sana wanajamvi, Katibu Mkuu wa chama chochote ukiondoa vile vyama vya msimo wa uchaguzi ndiye mtendaji mkuu wa shughuli na utendaji wa chama za kila siku.Chama tawala CCM kimewabadili makatibu wakuu kwasababu mbali mbali lakini nyingi kati ya hizo sababu ni kushindwa kwenda na wakati au...
  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheria ya Gharama za Uchaguzi inasemaje? Nimepata mashaka baada ya CCM kufika Kigoma

    Hili swali halikuwahi kunifika mpaka mgombea urais wa CCM kufika Kigoma. Mambo yalikuwa hivi: *Magari kama Coaster na mabasi yalikodiwa kuchukua wananchi kutoka vijiji mbalimbali. Nina rafiki yangu ambaye gari zake zote zilikodiwa kwa kazi hiyo! * Wananchi wote waliopakiwa kwenye magari hayo...
Back
Top Bottom