uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wanavyowaona wananchi wajinga ni kiongozi gani wa CCM atashinda uchaguzi 2025? Wakurungenzi watadhibitiwa kupora uchaguzi

    Rais Samia ndio hana nafasi kabisa ya kushinda uchaguzi. Maana kwa muda mfupi tu amedhibitisha ni wa rangi gani. Na baada ya miaka miwili atawauza Watanzania kabiasa na rasilimali zao. Wabunge wa CCM wenyewe ndio hawatarudi karibu 80% maana aliyewabeba kuwaweka mjengoni alishatangulia mbele za...
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge 19 wa CHADEMA- Matokeo ya kughushi uchaguzi wa 2020

    Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote. Hata CCM wanalijua hilo. Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni. Kuanzia tume ya uchaguzi, wasimamizi hadi kura za mabegi za kughushi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: 2025 Wakurugenzi hawatawatangaza walioshindwa Uchaguzi kuwa wameshinda

    Uchaguzi utakuwa huru na wa haki. ==== "Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha hayati Magufuli kuwa moja ya ajenda kubwa uchaguzi 2025. CCM itapasuka na mengi yataibuka

    Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale. Ila kuna Wengi wana siri kubwa maana hata kama alikuwa mgonjwa nini ilikuwa sababu ya kuficha ugonjwa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi na Mei Mosi 2022

    Chama cha Mapinduzi kinawashukuru na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25, Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
  6. F

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Magufuli Haiwezi Kufutika kwa Siasa Uchwara

    Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea. Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukishindanisha Kaburi la Magufuli dhidi ya mwanasiasa yeyote nchini kwenye uchaguzi wa Rais bado watanzania watachagua kaburi

    Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa wanaomchukia Magufuli ni mafisadi na familia zao. Ni wale ambao hawakupata kabisa fursa ya kuendelea...
  8. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara ashiriki uchaguzi wa ndani ngazi ya shina Tarime. Mahudhurio ni hafifu kabisa dah!

    "Wenyeviti wa mashina na wajumbe wake ni watu muhimu sana kwa sababu wanakaa na wananchi, ndiyo wanaopokea changamoto na kutupa sisi taarifa kama viongozi wao hivyo tuendelee kushirikiana ili tuweze kuwaleta wananchi maendeleo" Mwita Waitara, mbunge wa himbo la Tarime vijijini.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TLS: Harold Sungusia huyakimbia mapambano nyakati ngumu

    Sungusia hana Uwezo wa kuongoza nyakati Ngumu! Huyakimbia matatizo! Historia ya Wakili Harold Sungusia inamuweka upande wa watu ambao hawana uwezo wa kukabiliana na changamoto ngumu pindi zinapojitokeza na badala yake inamuweka kwenye kundi la watu ambao huzikimbia changamoto hizo bila...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya uchaguzi ni kwaajili ya wanasiasa ; Katiba mpya ni kwa ajili ya Wananchi na ustawi wa nchi Kwa jumla

    Watanzania tume huru ya uchaguzi Ina lengo Moja TU kubwa la kupata viongozi wa kisiasa wanaopatikana kihalali kulingana na na ushawishi na kukubalika kwake na wapiga kura. Viongozi waliopatikana kupitia tume huru siyo lazima wakawatumikie Wananchi, kiongozi anaweza akapatikana kihalali lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi Ufaransa Vs Afrika

    1. Ufaransa wamepiga Kura Leo, matokeo Leo Leo. Na mpinzani kakubali kushindwa Leo Leo. 2. Afrika Sasa! Matokeo baada ya siku 14 na upinzani wanadai wameibiwa. **Tusubir kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake. Leo francophone kote Ni full shangwe
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Kinana ni habari nyingine huko Pwani, Watu mamia wakanyagana

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amepokelewa wilaya ya Mkuranga leo tarehe 24 Aprili, 2022 kwa ajili ya ziara mkoa wa Pwani ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea. Akizungumza na...
  13. JamiiForums Tanzania WanaCCM wamechukia na hawashiriki chaguzi za ndani za CCM

    WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea. CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji. WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM. Hayati JPM hachafuki. WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
  14. JamiiForums Tanzania Tunisia: Rais Saied aingilia Tume ya Uchaguzi, ateua wajumbe wapya

    Rais wa Tunisia, Kais Saied ameendeleza nia yake ya kujiimarishia Mamlaka baada ya kutoa amri ya kubadilisha Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na kuwaweka watu 7 wapya aliowateua mwenyewe Tume hiyo ni miongoni mwa Vyombo huru vya mwisho Nchini #Tunisia, na kubadilisha wanachama wake kwa amri ya...
  15. I

    JamiiForums Tanzania CCM Kimeumana, sasa Ubungo, Babati, Mbeya na Tabora kurudia Uchaguzi

    Chongolo: aagiza uchukuaji fomu za uchaguzi ndani ya CCM urudiwe === Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg Daniel Chongolo amewaagiza makatibu wa Wilaya zilizobainika kuwa na kasoro kwenye mchakato wa uchukuaji wa fomu katika uchaguzi ngazi ya shina kurudia uchukuaji huo maramoja...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kinana aungana na wanaccm wenzake kufanya uchaguzi katika shina lao Kinondoni

    KINANA AUNGANA NA WANA CCM WENZAKE KUFANYA UCHAGUZI KATIKA SHINA LAO - KINONDONI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana leo Aprili 19 , 2022 ameungana na Wanachama wenzake wa Shina Namba 9, Tawi la Masaki, Kata ya Msasani wilaya ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Deo Sanga: CCM ilishinda Uchaguzi Mkuu kwa kishindo, kura hazikuibwa

    Mbunge wa Makambako, Deo Sanga ameliambia Bunge "Nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nilishinda kwa kishindo na si kwa kuiba Kura. Wabunge wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa wizi. Rais alishinda kwa kishindo hakuiba Kura" Sanga amesema aliyezumgumza maneno hayo anataka kuwagombanisha na...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TLS: Prof. Hosea anatosha

    Uchaguzi wa TLS umewadia na sasa kuna wagombea watatu ambao watachuana kikamilifu kwenye kinyanganyiro hicho ambacho Kwa hakika mwaka huu kitakuwa NI mchuano wa kukata na shoka! Wagombea waliopitishwa ni Prof.Edward Hosea,Adv.Jeremiah Mtobesya na Adv.Harold Sungusia . Wapo wanafikiri kuwa Mzee...
  19. JamiiForums Tanzania Uchaguzi bora wa shule ya kumpeleka mtoto wako

    Habari wakuu. Leo ningependa tushirikishane jambo moja muhimu hususani kwa wazazi na walezi hasa wanapofanya maamuzi juu ya uchaguzi wa shule ya kumpeleka mwanafunzi au mtoto kwajili ya kupata elimu na maendeleo ya elimu kwa ujumla wa mwanafunzi. Awali ya yote ni kiri au ku declare interest...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere: Hotuba ya Karne uchaguzi wa kura tatu Tabora 1958

    Kushoto ni Brian Wills kutoka Conservative Party ya Uingereza akisimamia uchaguzi wa UTP huyo pembeni yake ni Sheikh Hussein Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa UTP.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…