uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. econonist

    JamiiForums Tanzania Upinzani tusigeukane kwenye critical times baada ya Uchaguzi Mkuu

    Udhaifu wa vyama vya upinzani ni kugeukana kwenye critical times baada ya uchaguzi mkuu kupita. 1. Critical time ya kwanza ni 2015 baada ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar. Baada ya Tume ya uchaguzi Zanzibar kufuta matokeo ya uchaguzi chama Cha CUF kupitia Maalim Seif walipinga na...
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa upinzani baada ya Uchaguzi Mkuu

    Upinzani wa Tanzania huwa una udhaifu mmoja mkubwa hasa baada ya uchaguzi mkuu. Kugeukana na kumpa credit CCM kipindi ambacho mshikamano unahitaji. Tuchukue mifano mitatu mikubwa. 1. Mwaka 2015, baada ya uchaguzi mkuu Zanzibar matokeo ya urais na baraza la mawakilishi yalifutwa na tarehe ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha miradi wala mikataba, Tume Huru ya Uchaguzi ndio muhimu

    Tunawasikia CCM wakisifia mikataba ,ambayo Raisi wao anatiliana huko anapokwenda kutembea ,sio mbaya ,mkae mkijua Uchaguzi uliopita haukuwa uchaguzi na sasa wananchi wanahemea mlo mmoja kwa siku. hayo matembezi na mikataba haina faida kama ndani ya nchi hakuna utedaji wa haki,kuchagua kiongozi...
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Siasa za Kenya: Rais Uhuru Kenyatta atangaza rasmi kumuunga mkono Raila Odinga uchaguzi mkuu, August - 2022

    Ni ajabu na kweli... Na kwa wafuatiliaji wa siasa zà Kenya, hivi Kenyatta na Odinga wanatokea chama kimoja cha siasa au ni wanachama wa vyama tofauti...? Anyway, vyovyote iwavyo. Ila iko hivi; Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya habari ya leo saa 2 usiku huu ya ITV - Tanzania, Uhuru Kenyatta...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga atoa wimbo wakati kampeni za uchaguzi zikishika kasi

    Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi. Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
  6. J

    JamiiForums Tanzania Abdulla Ali Mwinyi: Ninagombea nafasi ya Naibu Spika, tuziache mamlaka husika zitimize taratibu kisha Wabunge wapige kura

    Mgombea wa nafasi ya Naibu Spika mh Abdulla Ali Mwinyi amesema yeye hana maneno mengi zaidi ya kumwachia Mungu mwingi wa rehema aweze kumvusha. Mwinyi amewataka waandishi wa habari waziache mamlaka husika ndani ya chama zitimize majukumu yake na kisha wabunge wakamilishe mchakato kwa kupiga...
  7. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakoloni walikuwa hawashiriki Uchaguzi?

    Ni kwanini Viongozi wa Ukoloni walikuwa wanaletwa tu kwa nguvu na siyo kushiriki Uchaguzi kwenye nchi walizotawala ? Wananchi hawakuamua chochote waliletewa Gavana kutoka mbali kuwatawala na huyo Gavana hakuwahi kushiriki Uchaguzi hata siku moja, ni kwa nini ?
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa kumpata Naibu Spika kufanyika Februari 11, 2022. Vyama vyakaribishwa kuwasilisha majina ya Wagombea

    Kila Chama chenye Uwakilishi Bungeni kinachokusudia kushiriki, kinashauriwa kuanza mchakato wa kumpata Mgombea miongoni mwa Wabunge wake Jina la Mgombea linapaswa kuwasilishwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi kabla ya Saa 10:00 Jioni, Februari 10
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania NEC yajipanga uchaguzi ujao kuaminiwa dunia nzima

    MKURUGENZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera ametoa wito kwa viongozi, wadau wote wa uchaguzi kuendelea kujipanga kikamilifu kuhakikisha uchaguzi ujao unakuwa bora, mzuri na kuaminika katika jamii na ulimwenguni kote. Alisema hayo juzi wakati akifungua kikao cha wadau wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Spika huenda usifanyike, kesi ya Mbatia juu ya ukiukwaji wa Katiba katika kupatikana Spika mpya inaanza kusikilizwa

    Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 itakuwa ni vita baina ya CHADEMA, CCM ya Samia na Muunganiko wa ACT Wazalendo na Sukuma Gang

    Hiki ndicho nachokiona na pia ndio nakisikia kwa habari za chini chini. Hata hivyo, coalition ya SUKUMA GANG + ACT haiwezi kuwa na nguvu unless wangeihusisha CHADEMA, ila tatizo ni vigumu kwa SUKUMA GANG kuomba ushirikiano na CHADEMA kwa uhalifu waliofanya dhidi ya chama hiki wakati wa...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Polepole mlivuruga uchaguzi ili kutokomoa wapinzani, sasa unaona yanayoendelea? CCM wenzako wamepanda kichwani wananchi

    Mlipotaka muwe na Bunge la WanaCCM kwa asilimia tisini na nane hamkujua umuhimu wa wabunge wa upinzani? Hili bunge lingekuwa hata na wabunge wa upinzani 40% hii dharau ya WanaCCM kulifanya bunge kibogoyo isingekuwepo. Mliharibu uchaguzi na kumbe mlikuwa mnaharibu maisha ya Watanzania...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mahakama ya Juu yamkataa Trump, yakubali rekodi za White House kutolewa

    Mahakama ya Juu Nchini humo imekataa ombi la aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Donald Trump la kuzuia kutolewa rekodi za White House kwa jopo linalochunguza vurugu zilizofanywa na wafuasi wake eneo la Bunge. Amri ya Mahakama inamaanisha zaidi ya Hati 700 zinaweza kutoa mwanga juu ya matukio...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania UN: Uchaguzi wa Libya waweza kusogezwa hadi mwezi Juni

    Mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia maswala ya Libya Stephanie Williams amesema anapendekeza kufanyika uchaguzi wa Libya ifikapo Juni, baada ya kushindikana kufanyika uchaguzi huo wa rais mnamo mwezi Desemba mwaka uliopita. Stephanie Williams ameliambia shirika la habari la...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

    Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki. Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Furaha Dominic, afunguka mazito kuhusu uchaguzi wa 2020

    11 January 2022 EXCLUSIVE THE BIG AJENDA USIKU WA LEO NA ALIYEKUWA MGOMBEA WA JIMBO LA KAWE, FURAHA DOMINICK. Baada ya ukimya wa kipindi kirefu ajitokeza kwa mahojiano ya kina. Furaha Dominic, mkemia na mbobevu wa elimu ya mazingira kwa fani alizosomea azungumzia pande mbili za uncle...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Somalia wakubaliana kuhusu Uchaguzi wa Bunge

    Viongozi wa kisiasa wa Somalia Jumapili wamesema kwamba wamefikia makubaliano ya kukamilisha uchaguzi wa bunge kufikia Februari 25 baada ya kucheleshwa kwa muda na kutishia udhabiti wa taifa hilo lililotatizika kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, hatua hiyo imefikiwa baada...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kulitoa meno Bunge ulianza kitambo, haya tunayoona ni matokeo tu ya process

    Tujikumbushe kidogo! Wakati wa spika Sitta,serikali ilisimamiwa ipasavyo na bunge!Ilipelekea mijadala mingi kupenya bungeni na kujadiliwa!Viongozi wa CCM walimlalamikia Sitta kwa kuiruhusu mijadala bungeni ambayo inaishambulia serikali!Sitta hakusikia na akaendelea kulisimamia Bunge kwa kufuata...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Zitto, baraza jipya la Mawaziri likufunze kwamba hakuna anayewaza tume Huru ya UCHAGUZI ,Watu wanawaza kupita bila kupingwa.

    Tulipoambiwa Kuna mabadiliko ya baraza kuwaruhusu wagombea Urais 2025 wakajiandae tulidhani wakitumbiliwa tutawaona Kwa sura zao na kusema hakika Hawa niwanamtandao wa Uchaguzi 2025. Lilipotangazwa baraza tumejikutwa tunashangaa Hawa ndio waliomkwamisha mama? Wakati tunàshangaa tukaona...
  20. Bondpost

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa bajeti ya Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

    Waungwana habari zenu. Hapo mwishoni mwa mwaka 2021 na mwanzo wa 2022 nchi yetu imepita kwenye sekeseke la mvurugano wa mihimili mikuu miwili ya nchi yetu ambapo Bunge kwa kupitia Spika limeonekana kumshambulia Rais ambaye ni Executive kutokana na yanayodaiwa kwamba hatupaswi kukopa pesa ingali...
Back
Top Bottom