Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa nchini humo amesema madai ya Naibu Rais William Ruto ya Serikali kuzima Umeme na Mtandao ili kutekeleza wizi wa kura ni kejeli kwa kuwa wanaunga mkono Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuendesha na kufanikisha...
Zaidi ya waangalizi 18,000 na mamia ya waandishi wa habari wa kimataifa wamewasili Nchini Kenya kufuatilia Uchaguzi huo, idadi hiyo imetajwa kama kiashiria cha namna Uchaguzi huo unavyotazamwa Duniani kote
-
Uchaguzi huo una wagombea 16,098, wanne wakiwania kiti cha Urais na idadi inayobaki...
Mahakama ya Juu imebatilisha uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wa uandikishaji wa Wapiga kura kwa Kielektroniki pekee katika uchaguzi wa Agosti 9, na kusema kuwa sababu zilizotolewa na tume hiyo hazitoshi
Tume hiyo ilisema kuwa Usajili wa Wapiga kura kwa Makaratasi unaweza...
VICTORIA MWANZIVA AWAPONGEZA VIJANA WENZAKE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Hongereni sana Vijana wenzangu wote ambao kwanza; mmeshiriki mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Nawapongeza kwa uthubutu wenu; Nawapongeza kwa utayari wenu wa kuhudumia Vijana wenzenu...
Sisi wenye vigezo stahiki tumefanyiwa maagizo ya usaili hapa kata ya kivule wilaya ya Ilala na kufutiliwa mbali wakati namba 174. Yusuph Nyansika Getema (mtoto wa Diwani kata ya kivule) mwenye namba ya simu 0655 700 002 karani wa sensa ni miongoni wa wale watakaohudhuria sensa KESHO pale shule...
Ni wakati muafaka Sasa walimu waachwe wapumzike na mazoezi haya kama ilivyo kwenye sensa, post code na mazoezi mengine ya kitaifa serikali itumie Hawa vijana wasio na ajira ili kuinua vipato vyao.
Tuache kuwatumia walimu kwenye uchaguzi
Tutumie Hawa vijana wasio na ajira.
Mwisho.
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana.
1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi...
Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (IEBC) imesema kuwa Wakandarasi wa Smartmatic International BV wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta walipowasili kutoka Venezuela licha ya mamlaka kuarifiwa kuwa waliingia nchini kihalali.
Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema...
Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake.
Facebook imesema kuwa imeondoa machapisho zaidi 37,000 yaliyohamasisha chuki na 42,000 kwa kukiuka sera yake ya ghasia katika muda wa...
Baraza la Habari la Kenya (MCK), limewataka Polisi kuchunguza kwa haraka mashambulizi dhidi ya Wanahabari, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, siku chache baada ya kushambuliwa kwa Mwanahabari wa Nation Media Group, Ian Byron
Mwanahabari huyo mnamo Julai 10, anadaiwa kushambuliwa na watu...
Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi.
Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro.
Bila aibu tena kwa kujiamini.
Umekatisha tamaa wanachama wa jumuia ya wazazi...
Swali hilo najiuliza hadi leo sipati jibu.
Huenda alidhamiria kuua upinzani na kutawala milele?
Lakini hata hivyo Mungu Mwenyezi alikuwa na yake.
Halafu kama ni hivyo na baada ya CHADEMA kutotambua uchafuzi huo kwa kutangaza dunia nzima imekuaje tena Bunge hilo lisilotambuliwa na Chadema...
Niliwahi kusema hapa vyama vyama vyote vya siasa vimetokana na CCM. Ni kama vile madhehebu mengine ya dini ya kikristo yalivyomeguka kutoka Katoliki. CCM ni chama kikubwa sana barani Afrika, hivyo hakuna chama hata kimoja Tanzania kinaweza kukitingisha.
CCM ni kweli wamesema kwamba wanategemea...
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022, tena ukizingatia kuwa tangu uteuliwe kuwa Katibu mkuu wa CCM huu ndio uchaguzi wako wa kwanza, nenda Jimbo la Hai ukajifunze somo la uchaguzi wa CCM kutoka kwa Katibu wa CCM wa wilaya ambaye...
Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima, Bungeni leo Juni 21, 2022
"Inapotokea utawala mmoja unamaliza na kuingia utawala mwingine, na kwa sababu mtazamo wa utawala uliopita ni tofauti na unaokuja, inabidi viongozi wengi sana wabadilike kwa sababu inaonekana kwamba maono mapya yanaingia...
Nimekua kwenye mahusiano na mdada mmoja tangu 2009, kipindi hicho bado watoto wadogo kabisa ndo t umejuana then tukawa tunawasiliana tu kwa simu
Na kuna miaka tunapotezana, mwaka 2021 tukaonana baada ya miaka kama 8 hivi na mzigo ndo nikapewa kwa mara ya 1 tangu tumejuana, yeye anaishi Dar mm...
Watanzania si wepesi kuingilia Uhuru wa nchi nyingine Huru zinazoizunguka naweza kusema hivyo haijawahi kutokea Tanzania ikawa kinara wa mambo ya nchi nyingine siku zote wanaishi maisha yao na shida zao.
Ukimya huu wa Tanzania hata kwa Dunia ni nchi ambayo iliamua kutochagua upande wowote hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.