uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe: Polisi wote ni CCM, tunahitaji tume huru ya Uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, ametoa kauli inayotia msukumo kwa mchakato wa kuboresha demokrasia nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa demokrasia ulioratibiwa na TCD hii leo, Rungwe amesisitiza umuhimu wa kuhakikisha kuwa uchaguzi...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi iwe na mfuko wake na fedha zake

    Katika mkutano wa wadau wa demokrasia nchini ulioandaliwa na TCD. Joseph Selasini amesema Tume ya Uchaguzi iwe na fedha zake, iwe na watu wake na namna yake ya kuajiri badala ya kutegemea fedha kutoka hazina. Aidha amesema suala la uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ufanyike kwa siku...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kinana: Demokrasia Inaendelea Kukua Tanzania

    Dar es Salaam, Agosti 22, 2023 Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake kuhusu maendeleo ya demokrasia nchini humo. Akizungumza na katika mkutano wa wadau wa demokrasia...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa wadau wa Demokrasia: Lipumba asema Demokrasia iliporomoka sana awamu ya tano

    Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 === Demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania ilianzishwa mwezi Julai 1992. Tangu wakati huo, serikali imejitahidi kukuza utawala wa...
  5. fullcup

    JamiiForums Tanzania Nafasi za muda za kusimamia uchaguzi mdogo Mbarali

    Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mbarali ametangaza zaidi ya nafasi 1200 za kusimamia uchaguzi mdogo utakao fanyika tarehe 19/ 09/ 2023. Chonde chonde wapinzani msisusie uchaguzi vijana tupate posho.
  6. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo wa mbunge Mbarali

    Habari na poleni na majukumu! Mchakato na Harakati za UCHAGUZI mdogo wa mbunge Mbarali umekamilika baad ya vyama shiriki kuteua Mgombea wao CCM Wana BAHATI NDINGO ACT WAZALENDO MBUNGE WA ZAMANI MH.KIRUFI N.K Swali Je Mbarali anatakiwa kuwa mtu wa namba gani ? Hilo swali ndo Mbarali wanakosea...
  7. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao ni kizungumkuti nguo kuchanika

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikiutazama uchaguzi ujao haki vile nabaki mdomo wazi. Mimi ni shabikia mkubwa sana wa serikali iliyopo madarakani. Nampenda sana Rais SSH. na katika ndoto zangu ninazoota naamini ipo siku nitapeana nae mkono🙆{sijui kama ndoto hii itatimia🤣🤣🤣} Lakini Kila nikitazama...
  8. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Kisa Maji, Madiwani Ilemela Mwanza, wahofia kukosa Kura Uchaguzi mkuu Ujao

    Swala la Ukosefu wa Maji katika halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imekuwa sugu kiasi kwamba wananchi wanakosa walalamike kwa nani kutokana na kero ya ukosefu huo wa maji safi na Salama. Kijografia Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria lakini upatikanaji wa maji safi na salama kwa...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Ukraine ni mwakani, Zelensky atawaambia nini wapiga kura wake?

    Uchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024. Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu udhuru huo. Na kama uchaguzi utafanyika raisi wa sasa, Zelenksy naye atagombea. Na kama akigombea...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ecuador: Mgombea Urais auawa kwa kupigwa risasi

    Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito. Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo umeshatangazwa CHADEMA msikimbie

    Nimeshamsikia mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ndugu Kailima akitangaza uchaguzi mdogo wa mbunge na madiwani. Chadema msijidai hamshiriki njooni uwanjani tutest mitambo.
  12. Ileje

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 bila katiba mpya

    Tundu Lissu amewarai wananchi kuichagua CHADEMA katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025 ili tuweze kupata katiba mpya itakayolinda rasilimali zetu na kumuwajibisha Rais asiyezingatia kiapo chake cha kulinda katiba na sheria za nchi. Hayo ameyasema alipowahutubia wananchi...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Kenya unaendeshwa kwa misingi ya Kikabila?

    Tangu kuanzishwa kwa siasa za vyama vingi Kenya, somo moja ambalo vyama vya siasa vimejifunza ni mpango wa kuungana ili kuweza kupata ushindi wakati wa uchaguzi mkuu. Uanzishaji wa miungano umekuwa msingi wa siasa za Kenya tangu uchaguzi wa 2002. Muungano wa kwanza ulikuwa wa National Rainbow...
  14. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Mkataba kati ya Tanzania na DP World ya Dubai na Uchaguzi 2025

    Heshima kwenu wana JF. Nimekuwa natafakari sana kwa muda sasa juu ya huu mkataba, kuna pande kama tatu hivi zinazozingana. 1: Kuna upande unaodai kuwa huu mkataba una madhaifu fulani hivyo hautakuwa na manufaa kwa taifa, na wameonesha baadhi ya vifungu vyenye makosa. 2: Kuna upande ambao...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Lema: Unapokuwa na viongozi mawazo yao ni uchaguzi na sio kizazi kinachokuja figo zenu zitasainiwa kuuzwa China

    Lema ameyasema hayo katika Mkutano wa kupinga Mkataba wa Bandari unaofanyika leo tar 23/7/2023 Temeke, ambapo amesema, Waarabu wanaangalia miaka 100 - 200 mbele wajukuu zao wataishije wabunge wenu wanaangalia 2025 watapata wapi pesa ya uchaguzi. Huku akiendelea kuwa, Unapokuwa na viongozi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uliwengu wa kidigitali katika kuongeza ufanisi wa kiutendaji(Sensa & Kupiga kura)

    MATUMIZI YA MIFUMO YA KIDIGITALI KATIKA UCHAGUZI & SENSA YA WATU NA MAKAZI. Miongoni mwa mambo mazito katika utekelezaji ususani kwa nchi zinazoendelea ni maswala mazima ya kuendesha na kusimamia zoezi la uchaguzi pamoja na sensa za watu na makazi. Gharama nyingi sana utumika kusaidia...
  17. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

    Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani. Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Rais aliyechaguliwa akifia Madarakani, makamu wake ashikilie nafasi hiyo kwa siku 90 tu kisha uitishwe uchaguzi

    Igweeeeeeeeee, Mambo vipi wakuu? Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu. Na kwa sababu sikumwomba ridhaa ya kufanya hiki nilichofanya, naomba anisamehe kwa sababu sitaweza kuweka...
  19. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Imejulikana, CCM wanategemea kupewa hela za kampeni uchaguzi ujao Toka DPW.

    Mara nyingi CCM hutegemea pesa za uchaguzi Toka kwa matajiri Ambao huzawadiwa rasilimali zetu kiholela. Wakati huu imekua ni zamu ya DPW ndio maana inatetewa kwa nguvu zote. Bibi tozo amehakikishiwa mpunga mrefu wa kampeni kwa chama chake ili waendelee kukaa madarakani na kuwalinda hawa...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kampeni za Uchaguzi wa Diwani Kata ya Magubike Kilosa

    MBUNGE NORAH MZERU ASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA UCHAGUZI WA DIWANI KATA YA MAGUBIKE WILAYA YA KILOSA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa Diwani Kata ya Magubike Wilaya ya Kilosa. "Nimesimama hapa kumuombea...
Back
Top Bottom