tundu lissu

  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Hashim Rungwe atuma salamu za pongezi kwa Tundu Lissu kufuatia ushindi alioupata kwenye uchaguzi wa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Hishim Rungwe Spunda ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu kufuatia ushindi alioupata kwenye uchaguzi wa ndani ya chama hicho uliohitimishwa leo, Jumatano Januari...
  2. Heart Wood.

    Kwa ushindi wa Tundu Lissu, sasa inabidi Peter Msigwa utafute mwelekeo Mpya wa Kisiasa

    Kama ni kweli ulifanyiwa figisu kwenye uchaguzi wa Kanda ya Nyasa nikupe pole sana ndugu Msigwa. Yote kwa yote, wazo la kuhama kwako CHADEMA kwa maoni yangu ni kuwa ulifanya maamuzi ya haraka kutokana na Jazba ulizokuwa nazo. Ulistahili kuwa mvumilivu ili kulinda status yako kisiasa uliyoijenga...
  3. Nzelu za bwino

    Kazi kubwa tatu muhimu zilizo mbele ya uongozi Mpya wa CHADEMA

    Salaam wana jukwaa, Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kushuhudia UCHAGUZI WA kihistoria ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo. Pia nichukue nafasi hii kumpongeza mh Tundu Lissu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CHADEMA. Nampongeza mh John Heche kuchaguliwa kuwa makamu...
  4. Kusini pride

    Nimeumizwa na ushindi wa Tundu lissu

    Kiukweli nimeumizwa na ushindi wa TUNDU LISSU hapa mjini Dar eSalaam tutaishi vp?je pombe na nyama tutapata wapi? Je pesa za kutanua kitambaa cheusi tutapata wapi? Madili yangu yalikuwa yanategemea connection za mwenyekiti aliyepita aisee wajumbe mliwaza sisi familia zitaishi VP? 🥺🥺 Leo siku...
  5. Keynez

    Sipendezwi na mbinu zinazotumika kuchochea hali ya wasiwasi kwa Tundu Lissu

    Kwenye sayansi ya tiba na saikolojia kuna kitu kinaitwa "anxiety" na "Post-traumatic stress disorder' au PTSD. Hizi ni hali zinazomkabili mtu baada ya kupitia tukio fulani linaloacha kumbukumbu katika saikolojia yake. Mtu aliye na tatizo hilo anaweza kupata kiwewe pale kichocheo fulani...
  6. M

    Lissu acha Utani, tunataka kumuona Lema akiwa na nafasi ya maana hapo CHADEMA

    Ndugu Lissu. Tumeziona teuzi zako, lakini hatuoni kuwa iko sahihi Lema kubaki bila kuwa na nafasi yoyote nzito ya kiuongozi hapo CHADEMA. Huyu mtu alikuwa critical kwenye ushindi, ni kichwa makini, na ni strategist wa nguvu. Haiwezekani akabaki kuwa mjumbe wa kamati kuu tu. Mtafutie huyu mtu...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Umeme umekatika tena wakati Tundu Lissu akiongea wakati wa kufunga Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA

    Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho. Walinzi wameimarisha hali ya usalama kwa kuzunguka meza kuu mpaka umeme uliporudi. Soma Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika...
  8. B

    Nusura ya CHADEMA ilikuwa ni LISSU kushinda tu

    NUSURA YA CHADEMA ILIKUWA NI LISSU KUSHINDA TU. Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Isingekuwa rahisi kwa watu wa Lissu kuungana na Mbowe kama Mbowe angeshinda lakini ni rahisi kwa watu wa Mbowe kumuunga mkono Lissu, na huenda wameshamuunga mkono hadi sasa. Lissu, Heche,Lema na watu wao...
  9. Lord Denning

    Niliacha kumuunga mkono magufuli na kujitenga na CCM baada ya jaribio na kumuua Tundu Lissu

    Amani iwe nanyi wanabodi. Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii. Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
  10. DogoWaNjombe

    Wakili Peter Madeleka amtumia Ujumbe Tundu Lissu kuhusu kesi ya Dkt. Slaa

    Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA hiyo." =================================== Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumatano...
  11. L

    Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

    Ndugu zangu Watanzania, Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake. Ushindi huo umeniumiza,kunisikitisha ,kunihuzunisha na kunisononesha sana. Ni ushindi ambao unaiweka CHADEMA...
  12. Minjingu Jingu

    Kachero wa Team Tundu Lissu aliyehatarisha Maisha yake Kuishi Upande wa Mbowe

    Hili limeleta maswali mengi pande zote mbili. Kuwa kuna pandikizi la akina Tundu Lissu lilikuwa upande wa Mbowe. Watu wengi wamejiuliza je alikuwa Bonny Bonge au nani?
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Ntobi ampongeza Tundu Lissu licha ya kumtukana na kumkejeli mitandaoni kabla ya Uchaguzi CHADEMA

    Emmanuel Ntobi, kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ametoa pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho, Tundu Lissu, kutokana na ushindi wake wa nafasi ya uenyekiti wa taifa. Kupitia chapisho lake katika mtandao wa X, Ntobi pia amemshukuru Freeman Mbowe, Mwenyekiti aliyemaliza...
  14. U

    Tundu Lissu, hatua ya kwanza kabisa teua kamati maalumu ya kuhakiki mali zote za chama washughulikiwe

    Wadau hamjamboni nyote? Unaweza mshauri uonavyo Mimi langu nimemaliza. Tafakuri ya kina kwa wenye elimu.
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  16. Joseph Ludovick

    Karibu Lissu, kwaheri CHADEMA

    Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole. Kwaheri CHADEMA.
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Lissu aongea baada ya ushindi CHADEMA, asema Mbowe aliahidi uchaguzi wa huru na haki na ametenda

    Mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa kauli yake ya kwanza baada ya Mpinzani wake Freemn Mbowe kukubali matokeo hata kabla hawajafika ukumbini, kwa kutweet. Lissu amesema wameweka a golden satndard, ambapo chama chochote nchini wameambiwa kama wanawaweza wafikie...
  18. chakii

    Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa,... Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia . Wadau mnaoitakia mema...
  19. mtetezi wa MAGU

    Lissu umeshinda, ioshe mioyo ya timu Magufuli tukukabidhi nchi

    Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA. Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 ACT Wazalendo yampongeza Tundu Lissu kwa Ushindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Chama cha ACT Wazalendo kimeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kumpongeza Tundu Lissu kufuatia ushindi wake kama Mwenyekiti wa CHADEMA, nafasi ambayo pia inamfanya kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Pia, Soma: Pongezi mbalimbali za viongozi kwa Ushindi wa Tundu Lissu kuwa...
Back
Top Bottom