tundu lissu

  1. Mganguzi

    Mwambieni tundu lissu siasa ni kumfarakanisha adui ili umnase kwenye mtego wako ,ccm ya sasa imeungana sana inahitajika mkakati wa kuwafarakanisha.

    Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
  2. The Watchman

    Jiji la Dodoma 2025 limetenga milioni 300 kuweka kamera za ulinzi barabarani (CCTV ) yakitokea matukio kama la Tundu Lissu 2017 zinachakachuliwa

    Badala ya kubana matumizi/ kuondoa matumizi mabaya wakati huu ambao misaada imesitishwa mathalani sekta ya afya kutoka USAID fedha kama hizi zingesaidia kuziba gaps zinanunuliwa CCTV camera ambazo ukitokea uhalifu hazitoi msaada wowote na kukaa kama mapambo tu... mfano tukio la Lissu 2017...
  3. Common Folk

    Prophet Denis: Tundu Lissu ni chaguo la Mungu, akiwa Rais atalifanyia makubwa Taifa la Tanzania

    Msikilize mwenyewe hapa chini.... https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=yDdIPiWbPnwjTXpg
  4. The Palm Beach

    Prophet Denis Tanzania: Tundu Lissu amebeba ajenda ya Mungu ndani yake. Asipopewa nafasi, hasara sio yake bali ni ya taifa na nchi...!!

    https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=h2rmCO7VUQwe_PWb ➡️Huu ni unabii mwingine kumhusu Tundu Lissu kutoka kwa nabii aitwaye "Prophet Denis wa Tanzania...." ➡️ Nimemsikiliza na kumtazama hadi mwisho ktk video clip hiyo. Nimemwelewa na kumuamini kwa kiasi kikubwa.. ➡️Anasema kuwa, Mungu ameweka...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel: Amuomba Lissu kuhakikisha Conchesta Rwamlaza anarudi Bungeni tena

    Akijibu swali la nyongeza Bungeni leo Feb. 7, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya ampigia debe Conchesta Rwamlaza, Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kuwa angetamani kumwona Bungeni kwa mara nyingine tena
  6. B

    Ukipambana na Lissu ujue hutakaa ufanikiwe, huyu Mtumishi anaombewa sana

    Nawashauri tu wanaoppteza muda wao kudhani kwamba wanaweza kupambana na Tundu Antiphas Lissu. Sauti kutoka Within inasema kamwe hamtafanikiwa mtapoteza muda na rasilimali zenu. Kwani huyu Mtu anaombewa sana na Sala na Dua zao Malaika wa Mbinguni wanazipokea na Mungu ana muhifadhi. Wakati...
  7. Mindyou

    Video TBT: Tujikumbushe jinsi Tundu Lissu alivyomkaanga Balozi Masilingi live akiwa studio za BBC. Masilingi yuko wapi siku hizi?

    Wakuu, Nimekutana na interview hii ya Tundu Lissu BBC akiongelewa tukio lake la kupigwa risasi. Kitu interesting kuhusu hii interview ni namna ambavyo Masilingi alishindwa kupambana na hoja za Tundu Lissu. Masilingi alikuwa mpole kama piritoni kwenye hii interview baada ya kupigwa spana za...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: Lissu aje, tufanye Mdahalo halafu Watanzania waamue, adai CHADEMA kwasasa imekatika

    Wakuu Nani awe Mwamuzi wa mnyukano huu? Mzee Stephen Wasira, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, amemwita mezani Tundu Lissu kufanya mdahalo ili Watanzania waweze kutoa maoni yao na kufanya maamuzi bora katika uchaguzi ujao. "Lissu sio size ya Rais, Lissu ni mdogo na Rais ni mtu mzito...
  9. figganigga

    PreGE2025 Kumekucha CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu waanza kazi rasmi

    CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Lissu, Waanza kazi rasmi. Wajipanga na kujikoki kwa uchaguzi ujao. Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5% Bon yai na Sugu mambo ya kususa na manung'uniko...
  10. Mwanamwana

    PreGE2025 UWT: Tundu Lissu zungumza na Rais kwa staha, vinginevyo...

    Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) umesema utapambana na chama chochote ama mtu yeyote atakayeeneza kile ilichokiita dhihaka ama propaganda ovu dhidi ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kuhusu kauli ya Lissu soma > Tutaongea na Rais...
  11. B

    Tundu Lissu azidi kujipatia Umaarufu, Aibukia kwa Shekh Othman

    Hii sasa ni balaa, speed inatisha. Leo ni siku ya tatu nimeona video clips tatu za wasanii Mbali mbali wanaoigiza Sauti ya Adv Tundu Lissu. Kinachofurahisha zaidi ni wasanii hawa kuigiza maneno ya kizalendo, ya kiutu na upenda kwa Taifa la Tanzania. Ni ukweli usiopingiza Tundu Lissu ameingia...
  12. B

    PreGE2025 Tundu Lissu: Tunawaalika wasio wanachama wa CHADEMA waje wajiunge na Chama chetu cha Haki, tupiganie maendeleo na ustawi wa Nchi yetu pamoja

    Kipenga kimepulizwa, wito umetolewa. Shime kila mtanzania anayechukia wizi, ufisadi, uuzwaji wa rasilimali za umma kwa wageni, utawala usiozingatia haki na heshima anaombwa kwa unyenyekevu kujiunga na Chama chenye mwelekeo chanya. Ni Mh Tundu Lissu Mwenyekiti Taifa Chama cha demokrasia na...
  13. Crocodiletooth

    PreGE2025 Tundu Lissu, achana na misimamo misimamo ya kipuuzi, ingia kwenye uchaguzi upiganie wabunge 20 na madiwani

    Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo wowote wa unaoweza kuzorotesha uchaguzi ujao wa mwezi October, jipange sasa andaa wabunge na...
  14. Gabeji

    PreGE2025 CHADEMA chini ya Lisu; Watanzania wana matumaini makubwa sana na nyie, mlete ajenda nzito nzito

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya wapinzani wenu. Rushwa Ufisadi Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana Kutowajibika kwa viongozi...
  15. Kipenzi Changu

    Je, hii ni sauti ya Rais wa Mioyo ya Watanzania?

    Kuna ugumu mkubwa kumzuia Tundu Lissu kusambaa kwenye mioyo ya Watanzania
  16. The Palm Beach

    Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

    Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania... Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja...
  17. The Watchman

    Tundu Lissu kumtetea Dkt. Slaa kama wakili, anaruhusiwa kutimiza majukumu ya kiwakili licha ya kuwa bado hajahuisha leseni yake

    Soma: PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo Nimeona hii issue watu wanaipost sana humu Leo kuhusu Senior Wakili Tundulisu kuwa mmoja wa mawakili waliomtetea Dr silaha huku wakati Kwenye Tovuti ya E- wakili ikionesha...
  18. M

    PreGE2025 Wassira atawasumbua sana Lissu na watu wake

    Kama CCM imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa. Wasira wanawajua zaidi chadema. Wasira akiongea neno moja CHADEMA 100 mjadala wanauhamishia huko. Pia Wasira hamungunyi maneno kwa CHADEMA kitu ambacho zinatumika nguvu nyingi kumjibu. Wasira akibonyeza kitufe CHADEMA yote...
  19. M

    Swali kwa Tundu Lissu? Na uongozi wa chadema

    Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
  20. B

    Tundu Lissu anaweza kutoa mbinu na namna bora za kumaliza Mgogoro wa DRC. Apewe nafasi ana kipaji cha kuleta majibu

    Miongoni mwa Binadamu wenye kipaji sana. Ana calibre ya kuwa mshauri mwema na mwenye uwezo. Uwe unakubali au unakataa inabaki kuwa shida zako. Alipotoa ushauri kuhusu Mgogoro wa Israeli na Palestina Donald Trump amepita mule mule. Kule Ukrain na Russia hawatatulia mpaka wafate ushauri...
Back
Top Bottom