Nimerudi kuwasanua mwenye masikio na asikie: asiyesikia la mkuu uvunjika guu.
Kuna wahuni wanapanga kutumia mwanya wa maandamano kuchochea kuni zaidi kwa maslahi yao binafsi. Sasa hivi ni wazi kabisa ni Lissu anayekuwa mhitajiwa.
Kuna mpango unaosukwa, wanamtandao wanasema, baada ya kuona...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, aliwahi kuzungumza kuhusu maridhiano akibainisha kuwa wanasiasa wanaotawala wanataka tuwe na upendo na turidhiane. Hata hivyo, aliongeza kuwa wakati huo huo, waliofanya uhalifu waziwazi badala ya kuchukuliwa hatua, wanapandishwa vyeo. Maneno haya...
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote.
Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki.
Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu.
Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia.
Damu ya wenzetu haijamwagika bure na hakuna...
Hii miamba mitatu ndiyo kwa sasa ina "Public Trust" kubwa nchi hii kuliko yeyote yule katika nyakati hizi. Hawa ndiyo imani ya wananchi wengi iko kwao, neno lao lina nguvu kushinda yeyote yule!
Hawa ndiyo the only "Checkmate" wa kututoa kwenye hili sekeseke na kutuliza hali ya hewa ya nchi...
Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inahusu kuzuia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 October 2025. Wote tumeshuhudia uchaguzi feki uliofanyika kwa kuwa na mahudhurio duni, vurugu zilizosababisha mauaji ya mamia ya wananchi kwa bunduki za polisi, kura feki kupigwa, mali za umma na watu binafsi kuharibiwa kwa...
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam leo Novemba 12, 2025 akiteta jambo na John Heche, Said Kubenea (aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mbunge Mstaafu wa Ubungo kupitia chama hicho). sauti ya Lissu imesikika ikisema...
Leo Novemba 12, 2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Kesi hiyo iliahirishwa Jumatatu ya Novemba 10, 2025 baada ya upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Thawabu Issa kuieleza...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Tundu Lissu, ambayo ilipangwa kuendelea kusikilizwa tarehe 3 Novemba 2025, haikuweza kuendelea kama ilivyopangwa. Kesi hiyo iliahirishwa hadi 10
Novemba 2025, lakini hata tarehe hii ya leo Lissu...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu iliyoahirishwa kupisha uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, inarejea leo Jumatatu, Novemba 10, 2025.
Kesi hiyo inayosikilizwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam na jopo la majaji watatu...
Salamu kutoka gerezani Ukonga;
Tundu Lissu yupo salama, anawasalimia wote na kuwapa pole Kwa mambo mabaya yaliyotokea kuanzia tarehe 29.
Amesema CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua wao wenyewe.
Tusikate tamaa ushindi umekaribia.
Tukutane Mahakamani Kesho.
Ushauri wa Lissu wa kizalendo wa kusogeza uchaguzi mbele sasa ndiyo mnaulewa! tusipinge kila kitu
Lissu alitoa ushauri Samia aendelee wakati wa mchakato wa katiba ili twende kwenye uchaguzi tukiwa wamoja.
Badala ya kuchukuwa huu ushauri mzuri amekuwa akibezwa na kufunguliwa kesi za uaini...
..Kichwa cha habari chahusika.
..Raisi alipuuza ushauri wa Tundu Lissu na Chadema katika kila hatua.
..Na kibaya zaidi akamtengenezea fitina, na hila, za kumtesa.
..kosa la Tundu Lissu ni nini?
..Je, ushauri aliotoa Tundu Lissu usingeepusha haya yanayoendelea?
..Sasa mhaini ni Tundu Lissu...
CCM ilishajifia kitambo tangu mwaka 1995 ilizoea kushinda kwa kutumia vyombo vyao vya Dola na kupandikiza mimamluki mi Double Agents.
Kwenye vyama vikubwa vya upinzani nchini pamoja na kusajili vikaragosi vyao 17 CCM inavyoviita ni vyama vya upinzani. Vinavyolindwa na tume ya uchaguzi...
Hii siku nitafurahi kwa kulia machozi na ndiyo Tanzania itakapopata uhuru wake wa wa kweli.
Mungu akiamua kitu hakuna wa kumpinga imebaki muda tu.
Mungu nipe maisha marefu nikalishuhudie hili.
Tundu Lissu wapewa heshima ya kuwa bingwa wa demokrasia barani Afrika hii huwezi kuona machawa wakipost
lissu sio muhaini ni kesi za vitoto vya shetani
Leo Jijini Nairobi, Kenya, @dua_africa imemtunukia Mwenyekiti Tundu Lissu tuzo ya Demokrasia Afrika ya Nana-Akufo kutokana na mchango wake madhubuti wa kupigania demokrasia Tanzania na Afrika licha ya kukabiliwa na mazingira magumu na hatari.
Tuzo hiyo imetolewa na Rais Mstaafu wa Ghana Mh Nana...
Pamoja na kunusurika ktk jaribio la kifo, pamoja na mateso yote ya viongozi tulionao kwa sasa, na wafuasi wake kufuatiliwa kwa nguvu zote na vyombo vya dola, bado Tundu Lissu anaonesha anapigania haki za watanzania. Labda wengine wanaona kama mpigananji wa CHADEMA, lakini Huyu m-TZ anastahili...
Kitendo kinatokana na neno GO 🔥 buti ardhini 💪🏿
Na
👇🏿
ujasiri,
uthabiti,
Uamuzi,
kujitolea,
kuzingatia,
Itikadi,
Ustahimilivu,
Mwendelezo,
Chanya,
Umoja,
Umoja,
Mtazamo wa kawaida
Dikteta #Samia_Suluhu hastahili muda wa kujiandaa wala kupata kasi,,,kwa sababu tu alikataa kusikiliza...
Wakuu,
Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025.
Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.