Awali ya yote namshukuru Mungu Mwenyezi Mwenye Nguvu zote aliyotenda Muujiza ambao kila mtanzania mwenye macho aliona. Uhai wako ulikuwa kitu Cha thamani sana kwa sababu maalumu.
Kwaniaba ya Chama Changu Cha Kidemokrasia, Chama Cha Mapinduzi niseme maneno machache karibu CCM. Karibu uitumie...
Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe.
Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari.
=====
Katika Mahojiano ya Spika Job Ndungai na Clouds Media...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa siku saba kwa upande wa Jamhuri kuwasilisha majibu ya kiapo kinzani na maombi ya wadhamini Ibrahim Ahmed na Robart Katula wa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Julai 14, mwaka huu.
Wadhamini hao amefungua maombi...
Wanabodi,
Leo natoa somo linaliutwa Logical Progression kwenye kufanya analysis kwa Kuangalia kitu kwa Jicho la Tatu, ni kuliangalia jambo kwa critical angle kwa kutumia predictions based on logical thinking kwa kutumia critical thinking na kufanya logical progression kwa kupima the motive...
Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa;
Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi?
Je, misimamo yake na itikadi zake...
Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako.
Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya...
Ndugu na marafiki zangu mnaoniunga mkono kwenye safari hii ndefu na ngumu. Kazi hii inahitaji mikono na nguvu ya kila mmoja wenu. Hivyo nawaomba mnisaidie kwa kila mmoja kwa nafasi yake. Tafadhali tuma mchango wako kwenye namba zilizowekwa kwenye tangazo hili tu. Nawashukuru sana-Tundu Lissu on...
Nimepokea taarifa za kushambuliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe, kwa mshtuko na masikitiko makubwa.
Nitatoa kauli rasmi saa 7 mchana (EAT), 6 mchana (CET) na 4 asubuhi (GMT) kupitia live stream kwenye FB na Twitter.
Chanzo: Ukurasa...
Amani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.
Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza...
WHY I AM RUNNING FOR THE PRESIDENCY OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Fellow Countrymen and Women;
Fellow Citizens of the United Republic of Tanzania, at home and in the Diaspora;
Fellow leaders, members and supporters of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); and
Friends of the...
Hotuba ya Tundu Lissu, FULL TEXT:
KWANINI NAGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?
Wananchi na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote walipo, ndani na nje ya nchi yetu;
Wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA);
Marafiki wa Jamhuri ya...
Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Tayari kampeni nzito imeanza , bali...
The man is naive ameropoka toka mwaka Jana serikali haijamjibu chochote
Amezunguka akihamasisha mabaya yote ya nchi serikali imekaa kimya
Nadhani huyu jamaa anaichukulia poa sn Tanzania kwamba unaweza Fanya chochote bila kufanywa chochote .
Jamaa anasahasau kwamba anaowategemea tuliwafurusha...
Habari wakuu.
Hivi hii habari imekaaje maana naona kama Tundu Lisu sasa hiv kutokuwepo kwake kunaweza kusababiswa kushindwa kufanya vzr katika uchaguzi mwaka huu hasa kwa uapnde wake yeye mtia nia ya uraisi na isitoshe tayari chadema kama wameshapotena kwenye kasi za ubingwa wa uchaguzi msimu huu .
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye...
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira...
kupitia twitter,kada wa CHADEMA,Vitusi Nkuna leo ameandika kuwa Lissu katangaza nia ya kugombea uraisi kupitia CHADEMA.
Kama haitoshi,Mayor wa Ubungo, Boniface Jacob muda wa kama lisaa limoja lililopita, kaandika kupitia twitter maneno haya hapo chini huku akiambatanisha tweet yake na picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.