tundu lissu

  1. Q

    GE2020 Tofauti ya Edward Lowassa wa 2015 na Tundu Lissu wa 2020

    Lissu na Lowassa ki utendaji, ki maadili, ki makuzi na ki umri ni watu wawili tofauti kabisa, Lowassa ana uwezo wa ukwasi Lissu ana uwezo wa akili 'genius'. Lissu ni mwongeaji sio muoga, hana ukwasi lkn hana bei, anajiamini hasa eneo lake la kujidai la sheria tofauti na Lowassa, hivyo ana...
  2. ACT Wazalendo

    GE2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

    Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
  3. Dam55

    GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
  4. S

    GE2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

    Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii. - Tundu Lissu
  5. Dam55

    GE2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

    Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho. Lissu amenukuliwa akisema ataingiza Watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake...
  6. Sky Eclat

    Tuna show love kwa Mheshimiwa Tundu Lissu

  7. M

    GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  8. Sky Eclat

    GE2020 Hotuba ya Tundu Lissu kuwania Urais: Neno wajumbe limepata maana mpya 2020

    Kabla siajaenda mbali sana, ninaomba nianze kwa kusema kwamba nimepata fadhaha kubwa jinsi ya Kuwaita nyinyi wote mliokusanyika hapa katika ukumbi huu kama baraza kuu la Taifa la chama chetu. Katiba yetu ya chama inawaita wote wajumbe wa baraza kuu la taifa. Hata hivyo, tangu kura za maoni...
  9. GENTAMYCINE

    Mheshimiwa Tundu Lissu hivi kule Dodoma 'uliposhambuliwa' hukuweza 'Kumkariri' hata 'Muuaji' Mmoja pekee?

    "Namshukuru sana Rais aliponiamini na kuniteua kuwa Mkuu wa DSM, mpaka leo hii nakabidhi ofisi kwa RC mpya,...nitaamka hata saa tisa za usiku katika mapambano ya kumlinda Rais,..sio vizuri kumchezea Dkt. Magufuli mkahisi Makonda hatamtetea kwa kuwa hayuko kwenye kiti cha ukuu wa mkoa,..ingekuwa...
  10. Masokotz

    Je, Watanzania tunamtaka Tundu Lissu agombee Urais?

    Habari za wakati huu; Tundu Lissu ni mtundu Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea Urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea Urais Tundu is very smart Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa John Pombe...
  11. R

    Tundu Lissu ni mjanja sana. Tafadhali msimguse. Mwache ashindwe au ashinde kwa haki

    Niwajulishe tu wenzangu na mimi kuhusu Lissu na namna ninavyoweza kumchukulia. Iko wazi kuwa Tundu Lissu ni kijana/Mzee mwenye uwezo mkubwa kiakili. Hili linaweza kuthibitishwa na watu wanaofanya nae kazi na hata sisi watu wa siasa. Huko kwenye taaluma yake mambo ya haki, sheria na wajibu ndio...
  12. Erythrocyte

    Mlimani City: Vikao vya CHADEMA kumchagua mgombea Urais

    Siongezi neno
  13. Nigrastratatract nerve

    GE2020 Tundu Lissu haijui vizuri siasa, wamjenge kisaikolojia asije kupata tena maumivu mengine

    TUNDU LISSU akae chini atulize kichwa ajiulize kuwa kwa nini chama hakimpi heshima anayoistahili ya kupita bila kupingwa? Chama kinajua ukweli kuwa Tundu Lissu amepoteza sifa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa nafasi yoyote ya kisiasa kwa kukiaka masharti ya watumishi wa umma baada ya kuvuliwa...
  14. Mzalendo2015

    GE2020 Wachangiaji wa DW wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto kali kwa Rais Magufuli

    Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli. Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango...
  15. Yericko Nyerere

    GE2020 Tundu Lissu ni mwarobaini wa Upinzani kumng'oa Magufuli

    Chadema kama cha Kikuu cha Upinzania Tanzania kimeiva na kiko tayari kuongoza nchi, Umma kwa asasa unakiamini, na hata wafanyamaamuzi kwa sasa wanakiamini chama hiki. Kisiasa Chama cha siasa katika Uchsguzi hutembea katika madaraja makuu MATANO hadi kufikia kushika madaraka ya nchi (Kushika...
  16. MAHANJU

    Tundu Lissu twende na ajenda hizi umalize kazi mapema ili CCM iwe historia

    Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka 1.Ajira kwa vijana 2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6% 3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo...
  17. Roving Journalist

    Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020

    Salaam Wakuu, 0911HRS: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hajatokea Mahakamani kama ilivyotarajiwa kwenye kesi inayomkabili namba 123 ya 2017 mbele ya Hakimu Mheshimiwa Enock Matembele. Wakili wa Utetezi Peter Kibatala, ameiambia Mahakama kwamba Tundu Lissu alikuwa mgonjwa kwa kipindi...
  18. Sky Eclat

    The Citizen: My body is full of braces and a bullet, says Tundu Lissu

    Monday July 27 2020 Chadema deputy Chairman (Mainland), Tundu Lissu has said his body is full of braces, scars plus one bullet that is still lodged in his bone. IN SUMMARY Mr Lissu, who is former Singida East Member of Parliament (MP), said that the bullet that is lodged in his body could not...
  19. Sky Eclat

    Tundu Lissu awajibu Polisi waliomfukuza kwenye mazishi ya Mzee Mkapa: Sisi si wachawi

    Tundu Lissu baada kutua kwenye ardhi ya Tanzania alijawa na furaha ilichanganyika na huzuni, utamu na uchungu. Hakutegemea idadi ya Watanzania waliokwenda kumpokea na mapenzi waliyomuonyesha hakutegemea na yalimfariji sana. Uchaguzi mkuu huu utakua ni referendum juu ya miaka mitano ya Urais...
  20. Masokotz

    Is Tundu Lissu a Moderate?

    Nimemsikiliza Tundu Lissu akihojiwa na mwandishi wa BBC Nimeshtuka sana baada ya kugundua kwamba TUNDU LISSU ninayemfahamu sio niliyemsikia katika maongezi yake.Je anafikir atapewa zawadi ya Urais kwa sababu tu alipigwa RISASI?Kwamba tutamzawadia URAIS kama kumpa pole kwa masahibu aliyoyapata...
Back
Top Bottom