tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Napinga pendekezo la tume ya Jaji Chande la kurudisha na kurasimisha mfumo wa nyumba kumi, haufai

    Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa nyumba kumi. Sababu alizozitoa ni za ajabu sana , zisizo na mashiko kama sio za uongo, kwamba eti...
  2. Zack Abdul

    Tume mpya ya uchunguzi: Hatua ya kuunganisha Taifa

    Na Mwandishi maalum Kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuhusu kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi itakayochunguza kwa kina yale yaliyobainishwa kwenye ripoti ya Tume ya Rais ya iliyoundwa kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea Oktoba 29, 2025...
  3. K

    PostGE2025 Uchaguzi ungekuwa wa Haki tusingekuwa na tume za michongo hivi

    Mama Samia ataunda tume kila siku bila haki ni kazi bure matatizo hayataisha kwa tume za michongo na kukusanya makada ambao ni machawa. Kama unataka kusaidia hii nchi ni kuweka katiba ambayo imeundwa kitaalamu na kuzungatia jamii zetu zote na uchumi. Uchumi inahitaji uwekezaji na uwekezaji...
  4. Mshana Jr

    Je tume ya Jaji Chande imekidhi matarajio ya Watanganyika?

    Baada ya kusoma matokeo ya tume hapo juzi ni muda sasa wa kuipigia kura
  5. Cute Wife

    PostGE2025 Odero avuliwa uanachama CHADEMA. Alikuwa akipigia chapuo maridhiano!

    Wakuu, Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29! ====== Mwanachama na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa 2015, Odero Charles...
  6. passioner255

    Hongereni watanzania kwa kuikataa hii report ya feki ya tume ya Samia

    Nawapongeza watanzania kwa kuikataa report feki ya tume ya Samuya.Nimeona mapokeo katika mitandao mbalimbali,ukiacha maraboti wengi wamekataa. Tumeonesha kwamba taifa haiwezi kuponeshwa kwa uongo.tumekataa Uongo. Na msijali kwa sababu huwa mshahara wa dhambi ni mauti...
  7. K

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania mwenzetu Mama yuko busy kujarabu kuficha mauaji na kutafuta kiki za machawa. Hii inaonyesha Mama...
  8. Wakusoma 12

    Je tume ya Chande itakutana na wanahabari baada ya rais Samia kusema ripoti ni mali yake binafsi na hapaswi mtu kuidai?

    Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
  9. Ileje

    Tume ya Samia ya Jaji Chande imefeli sasa Serikali iruhusu Tume Huru za Kimataifa

    Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo...
  10. Mwanamwana

    PostGE2025 Rais Samia: Vurugu hazikuondoa changamoto, bali zimeongeza

    Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa sana na ingetuchukua miaka mingi kuinuka tena. Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
  11. Zack Abdul

    Ripoti Ya Tume: Mwongozo Wa Mustakabali

    Kwa pamoja Watanzania wanaweza kujenga mustakabali imara. Ripoti ya Tume inatoa mwongozo wa kurekebisha na kuwajibisha wahusika. Mshikamano wa kitaifa ndio ufunguo wa amani ya kudumu.#RipotiYaChandeTume Ya Uchunguzi
  12. Pfizer

    Silinde azindua baraza la Sita la wafanyakazi tume ya taifa ya umwagiliaji, ahimiza umoja na uwajibikaji

    📍NIRC Dodoma. Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amezindua Baraza la Sita la Wafanyakazi la Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), huku akitoa wito kwa watumishi wa Tume hiyo kudumisha umoja na kutokubali kukatishwa tamaa na sauti chache za watu wasiothamini kazi nzuri inayofanywa na...
  13. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Ukijumulisha Jumla ya Vifo kwa mikoa ilochunguzwa ni 182+90+80+53=405 Vifo..... Tume inatuambia Jumla Vifo ni 518, mara 818

    Wajinga wakitamalaki ,Dunia inakua sehemu ya kichekesho. Hata hivo, HATUWEZI KAMWE KUSAMEHEE MAUAJI HAYA. Yeye amuombe Mungu msamaha, sisi hatusamehe, NA HILI LITAKUA JUU YAO NA VIZAZI VYAO HATA MILELE.
  14. K

    Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji?

    Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji? wakati tunajua watekaji wa wanasiasa na wanaharakati ni Polisi na wauaji wa vijana October 29 ni polisi na usalama
  15. H

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  16. Zack Abdul

    CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman

    Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii...
  17. Zack Abdul

    Jaji Othman awasilisha Ripoti Tume ya Amani

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma Muhtasari wa Ripoti ya Tume hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23, Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  18. Zack Abdul

    Ripoti ya Tume: Ghasia za Oktoba Zilipangwa, Z

    Tume ilibaini kwamba, ghasia na maandamano yale yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiriwa….na wale walio ratibu na kufadhiri, wali train pia watu wa kufanya ghasia zil Mfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha...
  19. Q

    PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

    Wanaume: 490 Wanawake: 28 Askari: 16 Watoto: 21 Kati yao, Miaka 15-17 walikuwa 15. Miaka 7-10 walikuwa 4. Chini ya miaka 5 walikuwa 2. Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani. Wengi...
  20. Allen Kilewella

    PostGE2025 CHADEMA nao waunde tume Yao ya uchunguzi

    CHADEMA nao waunde tume yao ya kuchunguza kilichotokea Oktoba29 na kuendelea kisha watoe majibu yake.
Back
Top Bottom