Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Tanzania inaingia katika hatua muhimu ya maamuzi ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya kuunda Tume ya Taifa ya Maridhiano na Usuluhishi ili kuweka misingi ya kufanyia marekebisho Katiba ambayo iliahadiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM...
Ninaandika hivi kuwakumbusha wanasiasa na umma wa Watanzania kwamba Tume ya Jaji CHANDE ilipendkeza kuwa na Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa ,Kuwa na Katiba mpya ifikapo 2028 na kwamba chaguzi zijazo za 2029/2030 zifanyike chini ya Katiba mpya,Fidia kwa waathirika nk.
Lakini kwa...
Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu mashitaka yaliyowadilishwa kwenye hii mahakama ya kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu.
Je, mahakama hii haiwezi fanya uchunguzi na kuwashitaki wauaji wa mauji ya Oktoba 29 mpaka waone huu mchakato wa ndani unaendaje?
Je, ICC wana amini hii...
Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi.
Sasa hakuna...
Yaani tume imekaa na kupendekeza kwamba waunde tume nyingine. Muundo ni uke ule baada ya kula pesa za posho na ripoti imefichwa. Na hawa watasema iundwe tume nyingine
Ile ripoti kama haikumshauri mh rais na serikali yake, iwatibu wa majeruhi waliojeuliwa tarehe 25/10/2025, basi ile haikuwa tume ulikuwa ni "ushuzi" tu ulioundwa kupoteza muda wa watanzania.
Nimemwaga machozi baada ya kukutana na clip ya mtoto Anger kule the chanzo mtoto akilalamika kuanza...
Mchambuzi wa masuala ya siasa na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Profesa Azaveli Lwaitama, amezitaja tume zilizoundwa kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025, kuwa ni “mambo ya ujanja ujanja”, akidai kuwa zina lengo la kupunguza hasira za wananchi na kurejesha matumaini kwa...
Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober,
At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter...
HAta Israel hawana tume ya uchaguzi inayoaminika kwa wagombea wote. Netanyahu analalama kuwa waarabu wamemuibia kura.
Kule Marekani Trump na Biden wote kwa nyakati tofauti walilia na tume yao ya uchaguzi. Kule Kenya Raila na Uhuru waliliaga na tume yao.
Hapa kwetu tunauana eti kupata tume...
Jeshi la polisi limeonesha linao uwezo wa kugundua chanzo cha vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi, hivyo hakuna sababu kuendelea na uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Mhe Abbas Tarimba amewataka wananchi wa wilaya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa Wananchi wa Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja
Tume hiyo ya kimataifa inayoundwa na...
Ndugu Wana-JamiiForums,
Nimekuwa nikitafakari kwa kina kuhusu kiini cha matukio ya ghasia za Oktoba 29, 2025, na jinsi Ripoti ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman ilivyofikia hitimisho lake. Ripoti ile inasisitiza kuwa yaliyotokea yalikuwa na uratibu, ufadhili wa fedha (Sh 10,000 hadi 50,000)...
Tume inaenda kuzua taharuki kubwa ambayo hatujawahi kuiona nchini ukiondoa ile ya uhujumu uchumi miaka ya 80.
Belive me or not matokeo ya tume yanaenda kuzalisha vikundi vya uasi kama M23 vitakavyopambana na serikali kudai Tanganyika.
Tume haitaangalia wewe ni mpinzani hasa Chadema au wewe ni...
Wananchi wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wamehamasishana kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Uchunguzi wa vurugu na uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Soma pia: Jaji Lila Awaita Wananchi Wa Ilala Kutoa Ushahidi Kwa Tume Ya Uchunguzi Wa...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando amewataka wananchi wa Ubungo kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Jaji Lila ambayo ipo katika Wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja.
Soma pia: Tume ya Jaji Lila yaanza kazi, yapewa hadidu tano za kuchunguza wahusika wa ghasia...
Tanzania na Msumbiji Kuimarisha Usalama wa Mpaka na Maslahi ya Kimkakati ya Ukanda
Na GULATONE MASIGA
Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji, uliofanyika Dar es Salaam tarehe 4–7 Oktoba 2026, una umuhimu unaozidi masuala ya...
TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise
Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.
Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.