tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Usalama Nairobi: Tukio la Mchana Linalowafanya Wakenya Kuuliza Maswali

    Hali ya usalama Nairobi inaendelea kuwa mbaya. Video hii inayosambaa mitandaoni inaonyesha mwanamke akipokonywa simu mchana peupe kwenye barabara ya Thika Super highway. Vijana wawili wanaonekana wakimbana kwenye ukuta na kuondoka na simu yake. Ni picha ya wazi ya jinsi uhalifu na vurugu...
  2. instinct desire

    Nchimbi alijipangia tarehe ya kujiuzulu rasmi ambayo ni 04/09/2026 huo muda angefanya kazi na nani? Au hajui athari za tukio alilolifanya?

    Alitoa barua ya kustaff tar 25/9/2026 na kujipangia kuwa atajihuzuru tar.4/9/2026 sijajua alitaka afanye nini ofsni huo muda na nani na wapi ? Ili Hali ashaonyesha usaliti mkubwa kwa Taifa na kwa chama au naye hajui athari za aliyoyafanya? Au tuseme uchawi upo 🤣 Nadhani naye Bado hajui amefanya...
  3. funaku

    Eti Msimamo?...hakuna msimamo wa tukio moja kupitia vyombo vya habari!

    Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio. Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu. sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye...
  4. Manyanza

    Kufukuzwa kwa Dkt. Nchimbi ni tukio kubwa sana kihistoria kwa siasa za Tanzania

    Ukubwa wa tukio hilo una sababu Kuu 3. 1. Cheo chake kilikuwa kikubwa sana Huyu si mbunge wa kawaida, Alikuwa: Katibu Mkuu wa CCM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Balozi Kumfukuza mtu aliyekaa kwenye viti hivyo 3 vikuu kwa muda mfupi, haijawahi kutokea mara nyingi. 2. Muda wake ni...
  5. T

    Mrembo Rushayna ashindwa kujieleza kwa kingereza katika tukio la Kimataifa la Mashariki creative Expo 2026

    Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026. Tukio hilo lilizua mshangao miongoni mwa waliohudhuria, huku Legend wa muziki Afrika, Vyonne...
  6. Jannatul Firdaus

    Tukio gani unalikumbuka kutoka kwa mtukutu balotelli?

    Mario Balotelli ni mshambuliaji wa Italia mwenye asili ya Ghana, aliyezaliwa 12 Agosti 1990, nchini Italia. Alianza kujulikana akiwa na Inter Milan, ambako alishinda mataji kadhaa chini ya José Mourinho, kabla ya kuhamia Manchester City mwaka 2010. Akiwa Manchester City, Balotelli anakumbukwa...
  7. Echolima1

    Kikosi cha Makomandoo wa IDF wajipenyeza ndani ya maeneo ya Hamas na kufanya tukio!

    Kikosi cha Makomandoo wasomi wa IDF kiliingia katika eneo linalodhibitiwa na Magaidi wa Hamas kusini mwa Gaza mapema Jumatano na kumkamata Sabri Abd al-Aal, afisa mkuu wa polisi wa Hamas mwenye cheo cha Aqid, sawa na kanali. Takriban saa saba usiku, kikosi cha takriban Makomandoo 15-20...
  8. Bei Rahisi Stationary

    Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004.

    Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004, mkazi wa Iriboru mkoani Arusha, ni miongoni mwa matukio ya kusikitisha yaliyowahi kusimuliwa katika eneo hilo na ambayo, kwa mujibu wa simulizi za watu waliolifahamu tukio hilo, yaliibua...
  9. Titicomb

    Yanga wana nyakua mchezaji kambi ya Simba kama tukio la Marekani kumnyakua Maduro, Ada ya kuuzwa Fei Toto italipa ya Seleman Mwalimu.

    Huyu Eng. Hersi anajikuta mbabe mithili ya Trump wa Marekani. Kavamia kambi ya Simba kamteka mshambuliaji wao tegemezi. Anawasubiria waingie kichwa kichwa kumnunua Feisal Salum (Fei Toto) kujipoza machungu au wanaita comeback, kumbe wanailipia Yanga ada ya Seleman Mwalimu kwa Wydad. Magori...
  10. ndege JOHN

    kwa wale ambao hatuamini uchawi tulielezeeje kisayansi tukio hili la mwizi kunasa akijaribu kuiba

    Kuna tukio limetokea Dodoma eneo la Chaduru, ambapo kijana aliyekuwa akijaribu kuiba kwenye duka la spare mkono wake ukanasa kwenye sehemu ya duka, na inaelezwa kwamba alikaa hivyo kwa zaidi ya masaa 8. Sasa mimi ni mmoja wa watu ambao hatuamini uchawi. Kwa hiyo sitaki kuanzia kwenye hitimisho...
  11. secretarybird

    Imetimia miaka 20 tangu tukio la kuabisha linitokee hadi nikahama Kijiji

    Leo nimetimiza miaka 20 tangu tukio lilinishushia heshima linitokee hadi nikahama Kijiji. Ilikuwa July 25, mwaka 2006 ambapo nilikumbwa na mkasa ambao sitoweza kuusahau. Mara baada ya kumaliza form six nilirudi Kijijini kwetu na Kwa kipindi kile mtu aliyefika advanced Level pale Kijijini...
  12. Koloko

    Nitasahau vyote ila sio tukio hili

    Habari zenu wakubwa Nimetoka zangu job nimechk narudi home kupumzisha fuvu ili kuwaza kesho mambo yanaendaje Nimepitia dukan kuchkua baadh ya vitu,kunadogo wakati me nafika dukani nilikuta anapimiwa unga muuzaji alipo maliza akampatia unga then akawa anani hudumia mimi sasa vitu vyangu...
  13. Zack Abdul

    Tukio la Jana Lisigeuze Mgawanyiko

    Tukio la jana lisigeuzwe kuwa mtaji wa kuongeza mgawanyiko. Kuna nyakati ambazo taifa hujaribiwa si kwa ukubwa wa tukio lililotokea bali kwa namna tunavyoamua kulitafsiri. Tukio la jana linaweza kuonekana tofauti kwa watu tofauti. Wapo watakaoona ni ishara ya uhuru wa maoni wapo watakaoona...
  14. Jumanne Mwita

    Sikugonga Kitu Chochote, Lakini Nilipata Ajali: Simulizi ya Tukio la Kushangaza Lililonibadilishia Eneo la Kazi

    AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE Utangulizi Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa safarini kuelekea Ushirombo kutoka Katoro. Kilichonishangaza zaidi siyo ajali yenyewe, bali mazingira...
  15. W

    Umewahi kukutana na tukio la kuagiza kitu mtandao halafu ulicholetewa ni tofauti na ulichoagiza?

    Mimi niliwahi kuagiza nguo Kariakoo ilikuwa suti niliiona mtandaoni. Itoshe kusema nilichokiona nikakiagiza na nilicholetewa ni vitu viwili tofauti. Ile nguo ikabidi niigawe hata sikuivaa na ilikuwa ni ya tukio. Mpaka leo siwezi kuagiza nguo mtandaoni mpaka nikajihakikishie mwenyewe. Majibu ya...
  16. Roving Journalist

    Mgomo wa Daladala Arusha, Dereva Daladala wailalamikia LATRA, wadai haiwatendei haki

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polis (ACP)Zauda Mohamed, amewaomba wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafirishaji maarufu kama “daladala” mkoani humo kukaa pamoja na mamlaka husika, ikiwemo Jeshi la Polisi, ili kutafuta...
  17. Davidmmarista

    Je hili tukio ni kweli au ni Igizo Tazama hii Video

    Kiranga Infropreneur
  18. H

    Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi

    Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi Kwanza kabisa, hoja ya kuunganisha “wheel cover” kutoka kwa Maria Sarungi ni dhaifu sana kimantiki. Hii ni correlation fallacy kuona vitu vinafanana halafu unahitimisha vina uhusiano bila ushahidi wa moja kwa moja. Tanzania kuna maelfu ya...
  19. X

    Moja ya tukio la kijinga na la kitoto ni kufanya sherehe ya HARUSI, ujinga ujinga mtupu

    Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale: Ingia ukumbini Cheza kidogo Kata keki Tambulisha ndugu Toa zawadi Nenda kwenye msosi Muziki Tuwaage maharusi wetu wakapumzike (wakaichape) Kweli miezi 3-4 watu wazima wanakaa vikao kwa ajili ya ujinga kama...
  20. Busu la Kenge

    The Final Farewell tukio la kuhuzunisha la Imam Hussain

    Tunapoelekea Ashura siku ya alhamis tarehe 25 June 2025 tunakumbuka matukio aliyopitia kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuulinda, kuutetea na kuupigania uislam dhidi ya dhulma, uonevu na ukandamizaji. Kwenye picha hapo chini...
Back
Top Bottom