Mbona wapo kimya? Licha ya masheikh kukemea, upande wa pili wa dini wapo kimya kama hamna kilichotokea?
Tulitegemea angalau mahubiri ya leo Jumapili tungalisikia kukemea yaliotendeka nchini.
Kwasasa serikali kupitia zuio la mahakama kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi mashuleni ni tukio gani ulifanya ambalo lilisababisha kugongwa kengele ya dharula kwa ajili yako.
CCM kwa sasa wapo bize kuandaa tukio kubwa sana kuwai kutokea Tanzania litalotumika kuzima upepo wa Lissu kufuatia hukumu ya tarehe 6 November 2026.
Ni tukio litakaloiteka Africa nzima hakutakuwa na habari za Tundu Lissu mtaani wala mtandaoni.
Tukio litafanyika uko pembezoni kwa walugaluga...
Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi.
Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
Maisha yanaenda kasi sana , nakumbuka tukio la Papii Kocha & Nguza Viking kwenye wimbo wao wa Seya , baadaye series ikaendelea akatoa wimbo wa Salima .
Mtu fudenge akamchapa mvua ya kutosha , sasa bwana Bushoke akaamua kwenda jela kumtembelea msanii mwenzake akapewa mkanda mzima wa kesi...
Jeshi la polisi limeonesha linao uwezo wa kugundua chanzo cha vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi, hivyo hakuna sababu kuendelea na uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo.
Mbunge wa Australia, Helen Haines amenusurika kifo baada ya kugongwa kwa makusudi na gari nje ya ofisi yake katika mji wa Wangaratta, takribani kilomita 200 kaskazini magharibi mwa jiji la Melbourne, leo Oktoba 19, 2026.
Kaimu Msimamizi wa Polisi wa jimbo la Victoria, Ashley Mason amesema...
Wanabodi,
Mimi mwana Bodi mwenzenu niko hapa mjini Sumbawanga kwenye kilele cha Wiki ya Vijana, Kuzimwa kwa Mwenge wa Uhuru na Sikukuu ya Mapumziko ya Nyerere Day.
https://www.youtube.com/live/7Skt4UMDoVs?si=WEikF_1rmCQaZX2k
Karibuni Tufuatilie,
Mzee Pasco
Rejea;
Hili la Vijana wa Chama...
Watu Tik tok wanachekesha sana. Wanadai lile tukio la kigaidi la Fly Dubei kati ya marubani wawili raia wa Omani na India ilikuwa vita kali kati ya miungu wawili maarufu Krishna na Allah. Hatimae Krishna akaibuka mshindi baada ya Mungu wa kweli Yahweh kuingilia kati na kutuliza huo mpambano na...
Huu ndio utu.
Hii ndio ethics
Sio wema kabisa watoto hawa wawe exposed na kuwa targeted.
Sio kila mtu anakili ya alfajiri, watu vichwa vyao vimejaa giza.
Maxence Melo Cookie Payge Active 255Fixer
Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza?
Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
Polisi wa Tanzania wapo very biased. Hawafanyi kazi kwa weledi. Wanafanya kazi kwa mihemuko na ushabiki
Mtu anampiga mtu ambae ni kocha na alipaswa kupewa heshima na ulinzi.Anarekodiwa mbele ya kamera na anafamika lakini mpaka sasa hajakamatwa.
Police wapo kwa ajili ya kukamata wanachama na...
Hili tukio la kumshambulia Kocha wa Timu Gaborone sidhani kama Timu yetu ya Yanga itapona mbele ya panga kali la CAF.
Hizi tabia za kijinga washabiki wataacha lini?
Ulikuwa wapi wakati Marekani iliposhambuliwa na magaidi katika tukio la September 11 mwaka 2001?
Leo wamarekani wanatimiza miaka 25 (umri wa mtu mzima) baada ya mkasa wa kushambuliwa majengo ya biashara ya World Trade Centre na Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Ulinzi (Pentagon)
Wengine...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya tulio la kigaidi la September 11, 2001, Rais wetu wa JMT Samia S Hassan anaweza aka-post statement hii katika accounts zake za mitandao ya kijamii.
=====
"As the friendly and peaceful people of the United States of America (USA)...
Ndugu zangu;
Kila mtu anafahamu wazi,
Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police!
Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani!
Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.