tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwanini mapadri, maaskofu wapo kimya katika tukio la ushoga liliotokea?

    Mbona wapo kimya? Licha ya masheikh kukemea, upande wa pili wa dini wapo kimya kama hamna kilichotokea? Tulitegemea angalau mahubiri ya leo Jumapili tungalisikia kukemea yaliotendeka nchini.
  2. Way back kwasasa viboko vimeondolewa mashuleni je ni tukio gani unalikumbuka uliwahi tenda ukiwa shule mpaka kengele ya dharula kugongwa

    Kwasasa serikali kupitia zuio la mahakama kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi mashuleni ni tukio gani ulifanya ambalo lilisababisha kugongwa kengele ya dharula kwa ajili yako.
  3. Tukio kubwa sana la burudani linaandaliwa kuzima upepo wa Lissu

    CCM kwa sasa wapo bize kuandaa tukio kubwa sana kuwai kutokea Tanzania litalotumika kuzima upepo wa Lissu kufuatia hukumu ya tarehe 6 November 2026. Ni tukio litakaloiteka Africa nzima hakutakuwa na habari za Tundu Lissu mtaani wala mtandaoni. Tukio litafanyika uko pembezoni kwa walugaluga...
  4. M

    Hakuna jeshi jirani litakalowaweza watutsi kufikia 2050, Tukio la mwaka jana kuwazidi mbinu Jwtz na majeshi mengine limeonyesha walivyozidi kuimarika.

    Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi. Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
  5. Hii picha sio AI. Kuna video kamili ya tukio hili. Mama na mwanae walirushwa kwenye shimo and shortly after wakauliwa.

    mcTobby mwafrika atafanya haya kwa mwafrika nwenzake alafu kesho atakaa katika vyombo vya habari aseme "wazungu ndio mashetani"
  6. Nafikiri huu ni mwaka ambao visa na visasi vya issues za kimapenzi vimetia doa kubwa katika jamii. What is next tena baada ya hili tukio la arusha?

  7. TBT ; Tujikumbushe wimbo wa Salima, Seya ,na msela jela wa Ruta Bushoke na tukio la kupigwa virungu.

    Maisha yanaenda kasi sana , nakumbuka tukio la Papii Kocha & Nguza Viking kwenye wimbo wao wa Seya , baadaye series ikaendelea akatoa wimbo wa Salima . Mtu fudenge akamchapa mvua ya kutosha , sasa bwana Bushoke akaamua kwenda jela kumtembelea msanii mwenzake akapewa mkanda mzima wa kesi...
  8. Kesi ya Pambalu ihitimishe uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo

    Jeshi la polisi limeonesha linao uwezo wa kugundua chanzo cha vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi, hivyo hakuna sababu kuendelea na uchunguzi unaofanywa na tume iliyoundwa kuchunguza tukio hilo.
  9. C

    Uchunguzi waanza tukio la mbunge kugongwa na gari

    Mbunge wa Australia, Helen Haines amenusurika kifo baada ya kugongwa kwa makusudi na gari nje ya ofisi yake katika mji wa Wangaratta, takribani kilomita 200 kaskazini magharibi mwa jiji la Melbourne, leo Oktoba 19, 2026. Kaimu Msimamizi wa Polisi wa jimbo la Victoria, Ashley Mason amesema...
  10. Live From Sumbawanga: Kilele Wiki ya Vijana, Kuzimwa Mwenge na Nyerere Day, Sumbawanga Kuchele!, Ila Rangi ni Yanga!, As If ni Tukio la Chama Flani!

    Wanabodi, Mimi mwana Bodi mwenzenu niko hapa mjini Sumbawanga kwenye kilele cha Wiki ya Vijana, Kuzimwa kwa Mwenge wa Uhuru na Sikukuu ya Mapumziko ya Nyerere Day. https://www.youtube.com/live/7Skt4UMDoVs?si=WEikF_1rmCQaZX2k Karibuni Tufuatilie, Mzee Pasco Rejea; Hili la Vijana wa Chama...
  11. M

    Tunamsubiri Mange Kimambi kulaani hili tukio

  12. Tukio la kigaidi ya ndege fly Dubai ilikuwa vita ya miungu miwili.

    Watu Tik tok wanachekesha sana. Wanadai lile tukio la kigaidi la Fly Dubei kati ya marubani wawili raia wa Omani na India ilikuwa vita kali kati ya miungu wawili maarufu Krishna na Allah. Hatimae Krishna akaibuka mshindi baada ya Mungu wa kweli Yahweh kuingilia kati na kutuliza huo mpambano na...
  13. Utawala wa JF, pale inapokuja mtu kupost picha ya mfanya tukio au mhanga wa tukio ni vyema picha iwe yake mwenyewe na sio ikiwa na watoto wake wadogo

    Huu ndio utu. Hii ndio ethics Sio wema kabisa watoto hawa wawe exposed na kuwa targeted. Sio kila mtu anakili ya alfajiri, watu vichwa vyao vimejaa giza. Maxence Melo Cookie Payge Active 255Fixer
  14. Tukio la mke kuuawa kwa risasi kisa kikidaiwa ni mali, je, ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa?

    Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza? Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
  15. Tukio kama hili la kumpiga Kocha wa Gaborone Utd lingekuwa limefanywa na MwanaCHADEMA polisi wangekuwa wameshamkamata.

    Polisi wa Tanzania wapo very biased. Hawafanyi kazi kwa weledi. Wanafanya kazi kwa mihemuko na ushabiki Mtu anampiga mtu ambae ni kocha na alipaswa kupewa heshima na ulinzi.Anarekodiwa mbele ya kamera na anafamika lakini mpaka sasa hajakamatwa. Police wapo kwa ajili ya kukamata wanachama na...
  16. Kwa Tukio Hili Yanga Sijui Kama Atakwepa Rungu la CAF

    Hili tukio la kumshambulia Kocha wa Timu Gaborone sidhani kama Timu yetu ya Yanga itapona mbele ya panga kali la CAF. Hizi tabia za kijinga washabiki wataacha lini?
  17. Leo ni miaka 25 baada ya tukio la kuhuzunisha la September 11 mwaka 2001

    Ulikuwa wapi wakati Marekani iliposhambuliwa na magaidi katika tukio la September 11 mwaka 2001? Leo wamarekani wanatimiza miaka 25 (umri wa mtu mzima) baada ya mkasa wa kushambuliwa majengo ya biashara ya World Trade Centre na Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Ulinzi (Pentagon) Wengine...
  18. N

    Ushauri kwa Rais wa Tanzania na tukio la kigaidi la September 11, 2001 (25th Anniversary)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya tulio la kigaidi la September 11, 2001, Rais wetu wa JMT Samia S Hassan anaweza aka-post statement hii katika accounts zake za mitandao ya kijamii. ===== "As the friendly and peaceful people of the United States of America (USA)...
  19. D

    Trafiki andrew aliyehusika na tukio la ugomvi lugalo leo huwa anatabia ya kufokea madereva

    Ndugu zangu; Kila mtu anafahamu wazi, Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police! Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa usalama barabarani! Mfano: Askari Andrew aliyehusika na tukio la kupigana na dereva (Conrad A...
  20. Nilitoa utabiri mwezi wa nane wa tukio zito, limekuja now

    Nilitoa utabiri mwez wa nane wa tukio zito,limekuja now
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…