tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Rockcity native

    JamiiForums Tanzania Kwa hili TFF hamtoibeba tena Kitayosce FC

    Juzi zimetoka taarifa za upangaji matokeo kati ya mwenyekiti wa timu ya kitayose bw. Yusufu Kitumbo na baadhi ya wachezaji wa Fountain gate. Clip za maongezi hayo zimesambaa pamoja na miamala ya fedha kwa njia ya simu zimeonekana. Najua Uongozi wa Fountain ushapeleka vielelezo hivi takukuru na...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

    Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine. Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ateuliwe tena kukamilisha kazi aliyotumwa na Watanzania

    Tuliona kazi iliyotukuka iliyofanywa na Tume ya kukusanya maoni juu ya Katiba mpya mwenyekiti wa Tume hiyo akiwa Mzee Warioba. Walikuwepo wazee kama Mzee Sitta walioshiriki katika mchakato huo katika ngazi mbalimbali, pamoja na kuwa na afya njema enzi hizo, Leo hatunao tena Duniani lakini Mzee...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna CHADEMA kama chama cha siasa au ni chawa wa chama kilichopo madarakani?

    Ukifuatilia nyendo za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa Hayati Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini eti aliwanyanyasa kwenye harakati zao wakati yeye alipokuwa na Mamlaka 😄. Binafsi, napatwa na...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Dah, ila ndoto zingine; sasa kuota unakula chakula juu ya choo ndo nini tena hiki?!!!!!

    Imenitokea hivi punde tu. Nilijikuta napata chakula juu ya ukuta wa choo kilichowazi. Ajabu ni kuwa chakula chenyewe nimenunua kwa mama n'tilie anayeuzia nyumbani kwake na hapo juu ya choo ndipo nilipojikuta nimechagua kukaa. Yaani nimeamka ghafla hapa, hata sielewi. Hata habari za makolo...
  6. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kesi kutupiliwa mbali kisheria?,na je ikiwa imetupiliwa mbali haiwezi kufunguliwa Tena?

    Ninaomba ufafanuzi wa kisheria maana ya kesi kutupiliwa mbali na je ikitupiliwa mbali haiwezi funguliwa Tena?,na kama ikifunguliwa tena mnaanzia pale mlipoishia au inaanza upya Tena.?.Asante I.
  7. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Feisal Salum Feitoto hatumsikii na hatumuoni tena?

    Nafikiria kwa ile form aliyokuwa anaionesha kipindi mpaka anaacha kucheza Yanga, hivi sasa kwenye Robo Fainali za CAF CC si angekuwa ni katika wanaotajwa vizuri kuliko akina Mwamnyeto na Bacca? Feisal angekuwa sasa hivi ni lulu Africa, naamini miamba ya nchi za Kaskazini na zingine za Kiarabu...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wauza Majeneza na Dawa Pharmacies wakituambia Karibu tena tunachukia na kuwaelewa vibaya?

    Na kwa mfano kama ukija Kwangu GENTAMYCINE Muuza Majeneza na nikakuuzia unataka nikuambie neno gani zaidi ya Karibu tena? Mnajua kabisa Mimi nafanya Biashara na moja ya Kanuni Kuu yoyote ya Mfanyabiashara ni kuwa na Customer Care hivyo nijuavyo hata ukija Kununua hilo Jeneza Kwangu ni lazima tu...
  9. econonist

    JamiiForums Tanzania Tusirudie tena Makosa Kwenye mchakato wa Katiba Mpya

    Waziri wa katiba na sheria ameshatangaza rasmi kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza mwezi wa Saba mwanzoni. Nilikuwa na ushauri kwamba makosa yaliyopelekea mchakato wa katiba mpya mwaka 2014 kukwama yasijirudie. Nimeanisha makosa Kama yafuatayo: 1. Tume ya katiba ndio ipewe mamlaka ya...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Amekuja tena kuomba pesa. Wajuba naomba ushauri wenu

    Huyu binti ni shemeji yangu. Anaomba pesa mara kwa mara, nilimsaidia kulipia kodi awamu mbili na kampani zingine ndogondogo. Sasa nilipoona anazidi kunipiga virungu nikamwomba nyapu akakataa katakata. Iliniuma sana maana ndo nilikuwa nimetoka kumlipia kodi kama wiki moja hivi iliyopita halafu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Mawaziri, Wakurugenzi, wakuu wa Idara, mikoa na wilaya' wengine Serikali iwaagizie baiskeli ili kuokoa uchumi unaokufa

    Shalomu Tanzania' Kwanza, itasaidia sana, pesa nyingi zilizoelekezwa kununua magari ya viongozi, bajeti yake ielekezwe kwenye maendeleo. Bajeti ya kunywesha mafuta magari hayo kwa mwaka mzima, pia ielekezwe kwenye maendeleo na bajeti hiyo itumike kama nyongeza ya mshahara kwa wafanya kazi...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Tanzania hii yote hakuna fundi simu wala compyuta!

    Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi. Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine? Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

    Waziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 . Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya...
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Waislam hizi sheria mbona hamzifuati tena, au kuna agano jipya?

    1. Kukata kucha siku ya Alhamisi. 2. Kutokula kwa kutumia kijiko. 3. Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti. 4. Kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu. 5. Kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini. 6...
  16. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Dini hizi ndo zitakazotupeleka Motoni tena kilahisi fuatilia Mahojiano yangu na huyu Shekhe

    Asante Muumba wangu na watu wote muumba Arshi,Mbingu na vilivyomo. ... Karibu mpenzi Mwanajukwaa leo nimekuletea mambo baadhi yaliyokuwako na mwisho wakakopy na kuingiza kwenye utaratibu wa dini zao na kutumia majina ya wakwao pamoja na viongozi wao wakidai ni maagizo toka Kwa muumba wetu ila...
  17. ngome1838

    JamiiForums Tanzania Hakuna tena ujirani

    Nimelala zangu geto hapa lakini hadi sasa hakuna hata sahani ya makande imeletwa. Nikikumbuka miaka ya huko nyuma muda kama huu ni hodi tu za kuletewa chakula. Sababu ni nini, hofu ya Mungu imepungua au hali ngumu ya uchumi?
  18. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Wakristo, tena nyie Roman mbona padri akipanda madhabahuni anakuwa hajavaa viatu?

    Naomba jibu, waumini wa Roman Catholic. Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani. Mnajifanyaga mko na akili sana.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanasema dunia duara kweli nitakuja kukuona tena?

    Habari wana jamii forum poleni sana na majukumu ya kila siku na harakati za kutokomeza hili zimwi jipya la nga'mbo linalotuandama..kwa waliofunga asalaaam aleikum mola aendelee kupokea dua zenu..haya niende moja kwa moja kwenye mada..ilikuwa mwaka 2015 sikumbuki mwezi wala terehe wakati nikiwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mapigano ya Sudan yaonyesha tena kuwa nchi za Afrika hazitakiwi kuwa wahanga wa umwamba wa Magharibi

    Mapigano nchini Sudan yamedumu kwa siku kadhaa, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na kujeruhiwa. Licha ya wito wa kusimamisha vita wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, hadi sasa, pande zinazopigana za jeshi na kikosi cha usaidizi wa...
Back
Top Bottom