teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    CCM na vita ya Upepo Teknolojia imekuwa kasi kuliko ukandamizaji, Kwenye video hii umemtambua nani?

    Niliwahi kupost kuwa kukamata mtu kwa sababu ya anachopost mtandaoni ni kufukuza upepo, Tazama namna AI imekuwa
  2. Jamii ya binandamu kusaidiwa kufikiri na akili mnemba(AI) siyo tu ni suala la maendeleo na teknolojia ila ni janga jingine kubwa la kibinadamu

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo. Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
  3. L

    Mkulima wa Kenya atumia teknolojia ya China kupambana na ugonjwa wa mnyauko wa nyanya

    Kwa karibu mwaka mmoja, Hellen Rono, mkulima kutoka Kaunti ya Bomet magharibi mwa Kenya, amefanikiwa kuzuia ugonjwa wa mnyauko wa nyanya kwa kutumia teknolojia ya kupandikiza iliyoanzishwa kupitia ushirikiano wa kilimo kati ya China na Kenya, baada ya miaka mingi ya kuona mazao yake yakiharibika...
  4. L

    CCM Tulimuacha Msigwa ajikaange Kwa Mafuta Yake Mwenyewe na Ndio Maana tulimzungusha Maeneo Mbalimbali Nchini. Ogopa Mungu na Teknolojia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
  5. X

    China yaingia rasmi soko la memory chip (DDR5) na gaming GPU. Samsung, SKhynix, Nvidia, Micron na AMD tumbo joto

    Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani. Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata. Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
  6. Hivi kama sayansi na teknolojia zingeweza kuwa afrika ingekuwaje kama jambo la kukosolewa na ukweli kwenye mambo ya maisha afrika ni hatari

    Hii mada nitakuwa na rudia sana. Nimeona kuna mdaharo fulani shaikh fulani kaenda kulazima anacho kiamini yeye ,basi jamaa baada ya kumpa fact tena anatoa kwenye kitabu anachokitumia kilicho tokea yule sheikh alimuita chizi na watu wamuondoe. Hii ni kwa Afrika ambapo mambo kama sayansi na...
  7. Mafunzo ya AI na DATA analytics Monitoring and evaluation in local government

  8. X

    China yaiburuza Marekani kwenye vita vya madini muhimu kwenye ulimwengu wa teknolojia

    Kila mara Marekani inaposhindana na China kwenye vita vya kiuchumi na kiteknolojia China inakuwa na karata za ushindi dhidi ya Marekani. Hasa kupitia uwezo wake wa kusafisha na kuchakata (processing/refining) madini muhimu yanayotumika kwenye teknolojia, silaha, magari ya umeme, na vifaa vya...
  9. N

    Je, ni halali kwa vijana wa leo (Gen Z) kuwekeza zaidi katika teknolojia na starehe kuliko kuwekeza katika kilimo na biashara?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wa kizazi cha 2000 (Gen Z) kuelekeza nguvu, muda, na rasilimali zao katika starehe na teknolojia; ikiwemo mitandao ya kijamii, gaming, mavazi, kamali(kubeti), na ajira za mtandaoni, badala ya sekta za uzalishaji kama kilimo na biashara ambazo zilikuwa uti wa...
  10. N

    Mdau je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya kujifunzia?

    Katika ulimwengu unaoendeshwa na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matumizi ya Akili Unde (AI) yameanza kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, ikiwemo katika malezi na elimu ya watoto. Wazazi na walezi wanakabiliwa na uamuzi muhimu: je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya...
  11. ๐—›๐—ถ๐—ถ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

    Tunajua simu zetu zinakuja na apps ambazo haziwezi kufutika sio ๐Ÿ˜‚, Sasa 2026 bhana hakuna kinachoshindikana aiseeh. Leo nakupa app inayofuta kila kitu kwenye simu yako haijalishi hiyo app imekuja na simu au umeikuta tu hata zile ambazo ume download zinakataa kufutika ila kupitia hii apps...
  12. ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ฐ๐—น๐—ผ๐˜‚๐—ฑ ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ

    Wengi tumezoea ukitaka kuhifadhi data zako zilizopo kwenye Whatsapp lazima uwe na Google Drive au icloud sio ๐Ÿซข. Jambo linalopelekea ukipoteza email ndo basi Tena huwezi kuzipata data zako kirahisi, Sasa jambo ilo linakwenda kufa. Kwani watumiaji wengi wa Android wanatumia Google drive kuweza...
  13. Mabadiliko ya Teknolojia na Nafasi ya AI katika Software Development.

    Kadri mabadiliko ya teknolojia yanavyozidi kushika kasi, ndivyo yanavyozidi kuleta athari chanya au hasi katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Katika uwanja wa software development, mabadiliko haya yamejidhihirisha wazi wazi, hasa kupitia ujio wa Artificial Intelligence (AI) na ndio...
  14. Whatsapp kuacha kufanya kazi kwenye simu za zamani

    Whatsapp itaacha kabisa kufanya kazi kwenye simu zenye matoleo ya Zamani jiandae ๐Ÿ‘‹. Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kujua kuwa Meta imesema itaweza kuzuia Whatsapp kufanya kazi kwenye matoleo ya simu ya kizamani. Ambapo kuanzia Mtumiaji wa Android version 6.0 hiyo simu haitaweza ku...
  15. Je router gani inafaa kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani !!!

    Watu wengi wanakimbilia kununua router za Airtel, Vodacom, Tigo au Ttcl kwa Matumizi mbalimbali bila kujua utofauti wao uliopo kuhusu hizo router. Sasa Leo nakupa maujanja kutokana na ripoti mbalimbali za mitandaoni nakuambia router gani nzuri kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani ili kuwa salama...
  16. N

    Website ya BRELA ni mbovu sana na haendani na ukubwa wake wala teknolojia ya kisasa

    BRELA inatazamiwa kama kitu kikubwa sana na ukubwa wa juu yenye bajeti nzto sana lakini website yake ndio mbovu hivi maandishi yempandiana pandiana kiasi kwamba inatoa user experience mbovu sana. MDAU Je, unafikiri shida ni bajeti ndogo au wataalamu wa website hawana uwezo ? Vitu vimewekwa...
  17. M

    Heche: Bila teknolojia tusingesikika kokote kule

    Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari leo baada ya kuondolewa zuio la kutofanya siasa, Aprili 15, 2026 amesema kuwa Bila Teknolojia tusingesikika kokote kule, tunashukuru Teknolojia ilitufanya tuendelee kusikika maana tulikuwa tunajirekodi na kurusha mitandaoni. Nguvu ya Teknolojia ni...
  18. Video: Wanu Hafidh Ameir, Naibu Waziri Wa Elimu Akieleza Mikakati Ya Serikali Kuhusu Teknolojia Ya AI Katika Elimu

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amefafanua Mikakati mbalimbali ya Serikali kuhusu Matumizi ya Akili Unde (AI) kwenye elimu akibainisha kuwa kuna mikakati iliyopo na ambayo tayari imeanza kutekelezwa kwenye ngazi mbalimbali za elimu. Naibu Waziri ameeleza...
  19. K

    Teknolojia itakavyosaidia kuepusha kupandisha nauli kwenye usafiri wa umma pale mafuta yanapopanda

    TEKNOLOJIA ITAKAVYOSAIDIA KUEPUSHA NAULI KUPANDA KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA UMMA BEI YA MAFUTA IKIPANDA. Najaribu kuwaza miaka ya baadae jinsi teknolojia itakavyosaidia kuepusha nauli kupanda kwa watumiaji wa usafiri wa Umma pale kunapotokea mabadiliko ya bei za mafuta Duniani. Nawaza kwa...
  20. Upinzani waitaka IEBC iachane na teknolojia ya Smartmatic kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027

    Viongozi wa Upinzani Wote wametaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iachane kabisa na teknolojia ya Smartmatic kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao, wakiwemo Kalonzo Musyoka wa Wiper Patriotic Front, Justin Muturi wa DP, na Eugene Wamalwa wa DAP-K, pia waliwaomba Mahakama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ