teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗪𝗮𝘁a𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗠𝗶𝘄𝗮𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗔𝗜 𝗠𝗮𝗮𝗹𝘂𝗺 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗼𝗼𝗻𝗮🧑‍🦯

    Tanzania imeamua kuigusa sekta ya Teknolojia kwa njia ya kipekee 🔥🔥🔥 Wabunifu wa Tanzania wamekuja na miwani yenye AI inayolenga kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona kutambua na kuelewa mazingira yanayowazunguka. 🧠👀 Miwani hii inaweza kutumia teknolojia kama kamera, AI na sauti kusaidia...
  2. N

    Fursa adimu kwa vijana ya kujifunza AI, kukuza ujuzi wa kiteknolojia jiunge na team yetu leo

    Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing Social Media Specialist Content Management Moderation (Mods) Graphic Design Tunathamini mtu anayejua...
  3. A

    KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kutoka kwa Miundo ya Mitihani ya Kidato cha sita kwa mtaala mpya

    BARUA YA MALALAMIKO Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, S.L.P. 10, DODOMA. YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA Ndugu Katibu Mkuu, Tunakuandikia kuwasilisha...
  4. E

    Tanzania yawalenga wawekezaji wa Ujerumani kwa teknolojia, ajira

    Serikali imesema uwekezaji kutoka kwa makampuni ya kigeni, hususan Ujerumani, haupaswi kuangaliwa kwa mtazamo wa mtaji unaoingia nchini pekee, bali pia teknolojia, ajira na fursa kwa wafanyabiashara wadogo na vijana wanaojihusisha na teknolojia. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga...
  5. Mhaya

    Ufaransa Yapunguza Utegemezi wa Teknolojia Zinazodhibitiwa na Marekani

    Ufaransa imeanza kuchukua hatua za kupunguza utegemezi wake kwa programu na teknolojia zinazomilikiwa na makampuni ya Marekani, hasa katika taasisi za serikali. Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Ufaransa wa kulinda “uhuru wake wa kidijitali”, yaani kuhakikisha taarifa muhimu za nchi na mifumo...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    Leo ni siku ya Programmer's Tanzania

    Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. ❤️‍🔥 Kutoka kwenye Apps 📱, Websites 🌐, Games 🎮 hadi AI 🤖 nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code. Na cha kushangaza? 😮 256 si namba tu… ni siku...
  7. Wizara ya Ardhi

    Huduma za ardhi Kigoma kunufaika na teknolojia ya mfumo wa e-Ardhi

    HUDUMA ZA ARDHI KIGOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA YA MFUMO WA e-ARDHI KIGOMA Hatua ya Serikali ya kuendelea kuboresha utoaji huduma za ardhi kwa njia za kidijitali imezidi kuimarika baada ya mfumo wa e-Ardhi kutua mkoani Kigoma, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo. Wataalamu...
  8. Kyambamasimbi

    Leo nmeshuhudia utitiri wa watu kutumia teknolojia ya ai kwenye mitandao ya kijamaa wakitracy maisha ya miaka ya 80,s

    Ukweli teknolojia imekua nmeona watu na cerebraters wengi wakipost maisha ya miaka hiyo,ukweli nmefurahi sana nmekumbuka mbali sana.
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    TikTok kiboko imeweka voice note kwenye Comment

    Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok 😄. TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! 😮‍💨📱🔥kwa kuongezea Vipengele vipya kama vile: 🎙️ Voice Comments — badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    Habari mbaya kwa Wapenzi wa Samsung Galaxy ulimwenguni

    Samsung itaweza kuachia Teknolojia mpya ya Privacy Display kwenye Baadhi ya model ya Simu mpya ya Galaxy S27 sio zote. Kwa ufupi tu Privacy Display Ni teknolojia ya ndani ya OLED inayo punguza sana kile ambacho mtu aliye pembeni anaweza kuona kwenye screen yako. Tofauti na privacy glass ya...
  11. bless on

    Ukweli Nyuma ya Teknolojia za Kisasa

    Zamani zadi ya miaka 2,000 iliyopita, Socrates, mwanafalsafa maarufu wa Kigiriki, alipinga maandishi akidhani yataharibu uwezo wa binadamu wa kukumbuka mambo kichwani. Hofu kama hii imejirudia kila teknolojia mpya inapokuja na uwezo ambao watu hawajawahi kuuona. Internet, radio, upigaji picha...
  12. Parabolic

    Serikali kuimarisha matumizi ya teknolojia usimamizi wa bandari

    Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za dijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya kutambua kuwa Uchumi wa Buluu wa kisasa unahitaji wataalamu wenye ujuzi, ubunifu na uwezo wa kutumia...
  13. K

    Wakongwe wa JF mlitumia teknolojia gani kuandika bandiko refu?

    Salamu kwa maveteran wote back in 20 years mlitumia teknolojia gani kuandika mabandiko marefu? 1.Nyuzi zenu hazichoshi kuzisoma 2.Nyuzi zenu zimejaa logical consistency 3.Nyuzi zenu zina marumbano ya hoja 4.Nyuzi zenu hazina udaku wala utoto 5.Nyuzi zenu ni urithi wa dhahabu kwa kizazi...
  14. M

    Serikali kuanza kutumia teknolojia ya mionzi kuchapisha taarifa katika tabaka kwenye kitambiulisho cha Taifa

    Hayo yamesemwa leo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa leo 1, Septemba 2026 kwenye uzinduzi wa Septenba ya Utambulisho Amesema kuwa, "Ni kuboresha teknolojia ya kuchapisha vitambulisho. Tumekuwa na maoni mengi kutoka kwa wananchi juu ya uboreshaji wa kitambulisho. Sasa ndugu zangu waandishi...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗪𝗔𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗘𝗙𝗧𝗢𝗢𝗕𝗔𝗟𝗟 𝗗𝗜𝗩𝗜𝗦𝗜𝗢𝗡 𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗜 𝗡𝗚𝗨𝗠𝗨 ⚽

    Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio 👋. Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa 😀. Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
  16. Parabolic

    Tanzania yatumia UNCCD COP17 kutafuta teknolojia na uwekezaji wa kurejesha ardhi

    Tanzania imesema ushiriki wake katika Mkutano wa 17 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP17) unalenga kuimarisha juhudi za kurejesha ardhi iliyoharibika, kuhifadhi malisho na kuongeza ustahimilivu wa jamii dhidi ya ukame...
  17. M

    Nikiona vijana waliopiga pesa kwenye tech miaka ya 2000–2010 leo wanahangaika, najifunza kuwa hakuna ujuzi unaopitwa haraka kama wa teknolojia

    Wapo waliokuwa na nidhamu ya fedha waliwekeza au kupanua biashara zao nyingine wanakula maisha hadi leo lakini kuna hawa wengine ambao walidhani ujuzi wao utawabeba hadi kuzikwa, maisha yao yameshuka. Baadhi ni hawa Website designers - Ilikua deal sana enzi hizo, nakumbuka nikiwa nimepada...
  18. Allen Kilewella

    Teknolojia inawafuta CCM kwenye siasa za Tanzania

    Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya. Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee...
  19. Titicomb

    Wito: Tuweke tafiti za kilimo za Tanzania kidigitali ili zitumike na watafiti, wakulima, Serikali na teknolojia kama AI

    Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha. Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa ========================== Tanzania ina hazina ya maarifa Iliyofichwa—Kwa nini tusiifungue? Tanzania imefanya tafiti nyingi za kilimo kwa miaka mingi...
  20. OMKEIT 93

    Je, AI itakuwa hatari sana siku zijazo AU hii ni stori ile ile ya teknolojia?

    Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema: “Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!” Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu...
Back
Top Bottom