Nimeshindwa kuweka hapa makala video fupi.
Ila wachumbuzi wale wakina zungu hata hii teknolojia ukiuliza ilifikaje iran watabaki na kusema maandiko ya dini.
Marekani alikuwa rafiki mkubwa iran mpaka kumpa teknolojia kubwa na kuna mataifa walipewa hii teknolojia kwa lengo la kufua umeme.
baada...
Hongera sana kwa Taifa Teule la Israel kwa kuwa wavumbuzi wa vitu mbalimbali ambavyo vina said Ila watu kote duniani.
Na inasikitisha sana kwa watu wanaojiita Eti Wapalestina kwa wao kugundua Ugaidi, kuteka nyara watu na kuua watu kikatili na mambo mengine ya ajabu kuwafanya watu wengine!!
Kwa...
Habari za wakati huu wana JamiiForums.
Leo nimepitia nyumbani kwa marehemu baba yangu. Wakati napekua vitu vya zamani, nimekutana na kanda moja ya video (VHS) ikiwa imefunikwa na vumbi. Kuitazama tu ile kanda, kumbukumbu za mbali zikanirudisha nyuma na kunipa somo kubwa sana kuhusu maisha...
Wakuu kwema ?
Serikali imetenga shilingi bilioni 5 kupitia mpango wa mikopo kwa teknolojia japo mimi sio mmoja wa hao watakao kopa. Huu ni mwanzo wa juhudi za kuwezesha ukuaji wa teknolojia nchini, lakini ni muhimu kutofautisha kati ya upatikanaji wa mikopo na uwekezaji wa kimkakati unaolenga...
Wakuu,
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadilisha kwa kiasi kikubwa namna binadamu tunavyofahamiana, kuwasiliana, kufanya biashara na kuendesha maisha yetu ya kila siku.
Miaka kadhaa iliyopita, kumfahamu mtu aliyeko Marekani, Nigeria, Uingereza au hata mkoa mwingine wa Tanzania...
Wazo hili ni la kufikirisha sana na linafungua picha mpya kabisa ya jinsi jamii yetu ingeweza kubadilika kwa kasi ya ajabu. Katika nchi zetu za Afrika Mashariki, mikutano ya Injili na mihadhara ya Kiislamu ni miongoni mwa matukio yanayovuta idadi kubwa zaidi ya watu (mass mobilization), yenye...
Unatumia intaneti kila siku, lakini je, unazijua website hizi zinazoweza kukurahisishia maisha? 👀📱
Hizi hapa website 5 ambazo ukizijua, unaweza kujiuliza kwa nini hukuzigundua mapema! 🤯👇
🔥 Hizi si website za kupoteza muda, bali ni zana zinazoweza kukusaidia kufanya mambo mengi kwa urahisi...
Serikali ya Marekani imetoa onyo kuhusu wadukuzi wameanza kutumia mapungufu makubwa ya kiusalama kwenye PHP, Hii ni Teknolojia inayotumika kuendesha mamilioni ya tovuti Duniani. 🌍
Kupitia mapungufu haya, wadukuzi wanaweza kuingia kwenye seva zilizoathirika bila ruhusa ya mmiliki, jambo...
Wakenya hii balaa 😃😃
Wakenya bhana wamebaki midomo wazi baada ya gari lenye muonekano wa kipekee kama Tesla Cybertruck kuonekana likipita katika barabara za Karatina! 🚘🤯
Kinachowafanya watu washangae zaidi ni madai kwamba gari hilo limetengenezwa nchini Kenya! 🇰🇪👏
Je, kweli mafundi wa Kenya...
Naona wengi hapo mlipo mnahofia Betri kuisha sio ?
ila tambua kuna watoto wadogo umri hadi miaka 6 wanachohofia ni kifusi kuwaangukia wanapokuwa kwenye machimbo yanayosababisha hapo ulipo uhofie betri kuisha.
Bado unahofia betri kuisha ?
Najua unainjoi life kwa kuslide kidole na kugusa gusa...
Hii dunia sio mwamwedi ngamia kuishi congo au nguruwe kuishi jangwani.
Maisha ya dunia yana badilika na kubadilika kila siku.
Leo ulijua kuna mobile money wakati enzi za zamani ulikuwa unatuma pesa kwa kutumia basi.
Hata barua posta ziliogopa email na leo njia ambazo kwa sasa dhahabu au...
JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani
JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba.
Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba
Mitaa tunayokazita kadhilika
Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii
Makutano yote yana alama hii
Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
Habari wakuu,
Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira.
Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB.
Akaenda...
Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi.
Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02
Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa...
Tunapofikiria mwaka 2035, ni rahisi kufikiria magari mapya, majengo marefu na teknolojia kubwa. Lakini swali muhimu zaidi ni mtu wa kawaida atakuwa anahitaji skills gani?
Teknolojia inaweza kuwa imebadilisha kazi nyingi. AI inaweza kuwa sehemu ya kawaida ya ofisi, shule, hospitali, biashara na...
Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥.
Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥
Kwa ufupi tu kuhusu...
Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? 🤔
Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa “Under the Hood” ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake 🇹🇿 au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia?
Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.