teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Habari wakuu, Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira. Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB. Akaenda...
  2. ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐— ๐—˜๐—ฆ๐—ฆ๐—”๐—š๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข ๐— ๐—”๐—ฃ๐—ฌ๐—”

    Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi. Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02 Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa...
  3. Dunia ya 2035 Itahitaji Kijana wa Aina Gani?

    Tunapofikiria mwaka 2035, ni rahisi kufikiria magari mapya, majengo marefu na teknolojia kubwa. Lakini swali muhimu zaidi ni mtu wa kawaida atakuwa anahitaji skills gani? Teknolojia inaweza kuwa imebadilisha kazi nyingi. AI inaweza kuwa sehemu ya kawaida ya ofisi, shule, hospitali, biashara na...
  4. Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Kwa ufupi tu kuhusu...
  5. ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ซ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ผ๐˜€๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐Ÿซก

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? ๐Ÿค” Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa โ€œUnder the Hoodโ€ ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
  6. Algorithm vs AI(akili mnemba) kwenye ugumu wa maisha kwa sasa.

    Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia? Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
  7. ๐—ช๐—ฎ๐˜a๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—œ ๐— ๐—ฎ๐—ฎ๐—น๐˜‚๐—บ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—ผ๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐Ÿง‘โ€๐Ÿฆฏ

    Tanzania imeamua kuigusa sekta ya Teknolojia kwa njia ya kipekee ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Wabunifu wa Tanzania wamekuja na miwani yenye AI inayolenga kuwasaidia watu wenye ulemavu wa kuona kutambua na kuelewa mazingira yanayowazunguka. ๐Ÿง ๐Ÿ‘€ Miwani hii inaweza kutumia teknolojia kama kamera, AI na sauti kusaidia...
  8. N

    Fursa adimu kwa vijana ya kujifunza AI, kukuza ujuzi wa kiteknolojia jiunge na team yetu leo

    Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing Social Media Specialist Content Management Moderation (Mods) Graphic Design Tunathamini mtu anayejua...
  9. E

    Tanzania yawalenga wawekezaji wa Ujerumani kwa teknolojia, ajira

    Serikali imesema uwekezaji kutoka kwa makampuni ya kigeni, hususan Ujerumani, haupaswi kuangaliwa kwa mtazamo wa mtaji unaoingia nchini pekee, bali pia teknolojia, ajira na fursa kwa wafanyabiashara wadogo na vijana wanaojihusisha na teknolojia. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga...
  10. Ufaransa Yapunguza Utegemezi wa Teknolojia Zinazodhibitiwa na Marekani

    Ufaransa imeanza kuchukua hatua za kupunguza utegemezi wake kwa programu na teknolojia zinazomilikiwa na makampuni ya Marekani, hasa katika taasisi za serikali. Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Ufaransa wa kulinda โ€œuhuru wake wa kidijitaliโ€, yaani kuhakikisha taarifa muhimu za nchi na mifumo...
  11. Leo ni siku ya Programmer's Tanzania

    Leo ni siku ya watu wanaogeuza mistari ya code kuwa teknolojia inayotumika kila siku. โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ Kutoka kwenye Apps ๐Ÿ“ฑ, Websites ๐ŸŒ, Games ๐ŸŽฎ hadi AI ๐Ÿค– nyuma ya kila teknolojia nyingi tunazozitumia kuna programmer aliyekaa chini na kuandika code. Na cha kushangaza? ๐Ÿ˜ฎ 256 si namba tuโ€ฆ ni siku...
  12. Huduma za ardhi Kigoma kunufaika na teknolojia ya mfumo wa e-Ardhi

    HUDUMA ZA ARDHI KIGOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA YA MFUMO WA e-ARDHI KIGOMA Hatua ya Serikali ya kuendelea kuboresha utoaji huduma za ardhi kwa njia za kidijitali imezidi kuimarika baada ya mfumo wa e-Ardhi kutua mkoani Kigoma, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo. Wataalamu...
  13. Leo nmeshuhudia utitiri wa watu kutumia teknolojia ya ai kwenye mitandao ya kijamaa wakitracy maisha ya miaka ya 80,s

    Ukweli teknolojia imekua nmeona watu na cerebraters wengi wakipost maisha ya miaka hiyo,ukweli nmefurahi sana nmekumbuka mbali sana.
  14. TikTok kiboko imeweka voice note kwenye Comment

    Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok ๐Ÿ˜„. TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ”ฅkwa kuongezea Vipengele vipya kama vile: ๐ŸŽ™๏ธ Voice Comments โ€” badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde...
  15. Habari mbaya kwa Wapenzi wa Samsung Galaxy ulimwenguni

    Samsung itaweza kuachia Teknolojia mpya ya Privacy Display kwenye Baadhi ya model ya Simu mpya ya Galaxy S27 sio zote. Kwa ufupi tu Privacy Display Ni teknolojia ya ndani ya OLED inayo punguza sana kile ambacho mtu aliye pembeni anaweza kuona kwenye screen yako. Tofauti na privacy glass ya...
  16. Ukweli Nyuma ya Teknolojia za Kisasa

    Zamani zadi ya miaka 2,000 iliyopita, Socrates, mwanafalsafa maarufu wa Kigiriki, alipinga maandishi akidhani yataharibu uwezo wa binadamu wa kukumbuka mambo kichwani. Hofu kama hii imejirudia kila teknolojia mpya inapokuja na uwezo ambao watu hawajawahi kuuona. Internet, radio, upigaji picha...
  17. Serikali kuimarisha matumizi ya teknolojia usimamizi wa bandari

    Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za dijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya kutambua kuwa Uchumi wa Buluu wa kisasa unahitaji wataalamu wenye ujuzi, ubunifu na uwezo wa kutumia...
  18. K

    Wakongwe wa JF mlitumia teknolojia gani kuandika bandiko refu?

    Salamu kwa maveteran wote back in 20 years mlitumia teknolojia gani kuandika mabandiko marefu? 1.Nyuzi zenu hazichoshi kuzisoma 2.Nyuzi zenu zimejaa logical consistency 3.Nyuzi zenu zina marumbano ya hoja 4.Nyuzi zenu hazina udaku wala utoto 5.Nyuzi zenu ni urithi wa dhahabu kwa kizazi...
  19. M

    Serikali kuanza kutumia teknolojia ya mionzi kuchapisha taarifa katika tabaka kwenye kitambiulisho cha Taifa

    Hayo yamesemwa leo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa leo 1, Septemba 2026 kwenye uzinduzi wa Septenba ya Utambulisho Amesema kuwa, "Ni kuboresha teknolojia ya kuchapisha vitambulisho. Tumekuwa na maoni mengi kutoka kwa wananchi juu ya uboreshaji wa kitambulisho. Sasa ndugu zangu waandishi...
  20. ๐—ช๐—”๐—ฃ๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—˜๐—™๐—ง๐—ข๐—ข๐—•๐—”๐—Ÿ๐—Ÿ ๐——๐—œ๐—ฉ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ข๐—ก ๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—จ โšฝ

    Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani ๐Ÿ˜ nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio ๐Ÿ‘‹. Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa ๐Ÿ˜€. Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ