teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Mkuu: Sayansi na teknolojia nguzo ya uchumi shindani

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inaendelea kutambua sayansi, teknolojia na ubunifu kama nguzo muhimu za mabadiliko ya kiuchumi na kijamii. Amesema kuwa katika kuelekea uchumi shindani unaotegemea maarifa, Serikali imeweka mazingira wezeshi ya kuimarisha tafiti, ukuzaji...
  2. Kuna mambo mengine mnaweza kusema iran anavyo jitamba kumbe teknolojia ya nyuklia alipewa zamani na marekani kabla ya mapinduzi.

    Nimeshindwa kuweka hapa makala video fupi. Ila wachumbuzi wale wakina zungu hata hii teknolojia ukiuliza ilifikaje iran watabaki na kusema maandiko ya dini. Marekani alikuwa rafiki mkubwa iran mpaka kumpa teknolojia kubwa na kuna mataifa walipewa hii teknolojia kwa lengo la kufua umeme. baada...
  3. Israel yaongoza kwa teknolojia mbalimbali zenye manufaa kwa ulimwengu wote na Waarabu waongo za kwa mauaji ya kikatili duniani!!

    Hongera sana kwa Taifa Teule la Israel kwa kuwa wavumbuzi wa vitu mbalimbali ambavyo vina said Ila watu kote duniani. Na inasikitisha sana kwa watu wanaojiita Eti Wapalestina kwa wao kugundua Ugaidi, kuteka nyara watu na kuua watu kikatili na mambo mengine ya ajabu kuwafanya watu wengine!! Kwa...
  4. Teknolojia inaweza kukutajirisha leo, lakini ikakusaliti na kuua biashara yako kesho (Tukumbushane enzi za VHS hadi 5G)

    Habari za wakati huu wana JamiiForums. Leo nimepitia nyumbani kwa marehemu baba yangu. Wakati napekua vitu vya zamani, nimekutana na kanda moja ya video (VHS) ikiwa imefunikwa na vumbi. Kuitazama tu ile kanda, kumbukumbu za mbali zikanirudisha nyuma na kunipa somo kubwa sana kuhusu maisha...
  5. N

    Uwekezaji wa Teknolojia Nchini Unapaswa Kuendana na Uhalisia wa Sekta ikiwemo kwenye AI

    Wakuu kwema ? Serikali imetenga shilingi bilioni 5 kupitia mpango wa mikopo kwa teknolojia japo mimi sio mmoja wa hao watakao kopa. Huu ni mwanzo wa juhudi za kuwezesha ukuaji wa teknolojia nchini, lakini ni muhimu kutofautisha kati ya upatikanaji wa mikopo na uwekezaji wa kimkakati unaolenga...
  6. Teknolojia imebadilisha maisha yetu kwa kiwango gani?"

    Wakuu, Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamebadilisha kwa kiasi kikubwa namna binadamu tunavyofahamiana, kuwasiliana, kufanya biashara na kuendesha maisha yetu ya kila siku. Miaka kadhaa iliyopita, kumfahamu mtu aliyeko Marekani, Nigeria, Uingereza au hata mkoa mwingine wa Tanzania...
  7. Hivi ingekuwaje mikutano yote ya Injili na mihadhara ya Kiislam vikawa makongamano ya Sayansi, Teknolojia na AI?

    Wazo hili ni la kufikirisha sana na linafungua picha mpya kabisa ya jinsi jamii yetu ingeweza kubadilika kwa kasi ya ajabu. Katika nchi zetu za Afrika Mashariki, mikutano ya Injili na mihadhara ya Kiislamu ni miongoni mwa matukio yanayovuta idadi kubwa zaidi ya watu (mass mobilization), yenye...
  8. ๐—›izi hapa Websites ๐Ÿฑ za nguvu wengi hawazijui kabisa

    Unatumia intaneti kila siku, lakini je, unazijua website hizi zinazoweza kukurahisishia maisha? ๐Ÿ‘€๐Ÿ“ฑ Hizi hapa website 5 ambazo ukizijua, unaweza kujiuliza kwa nini hukuzigundua mapema! ๐Ÿคฏ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ”ฅ Hizi si website za kupoteza muda, bali ni zana zinazoweza kukusaidia kufanya mambo mengi kwa urahisi...
  9. ๐—ช๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—น๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐˜€๐—น๐—ฎ

    Wakenya hii balaa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Wakenya bhana wamebaki midomo wazi baada ya gari lenye muonekano wa kipekee kama Tesla Cybertruck kuonekana likipita katika barabara za Karatina! ๐Ÿš˜๐Ÿคฏ Kinachowafanya watu washangae zaidi ni madai kwamba gari hilo limetengenezwa nchini Kenya! ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‘ Je, kweli mafundi wa Kenya...
  10. Damu hadi Teknolojia -COBALT

    Naona wengi hapo mlipo mnahofia Betri kuisha sio ? ila tambua kuna watoto wadogo umri hadi miaka 6 wanachohofia ni kifusi kuwaangukia wanapokuwa kwenye machimbo yanayosababisha hapo ulipo uhofie betri kuisha. Bado unahofia betri kuisha ? Najua unainjoi life kwa kuslide kidole na kugusa gusa...
  11. Kabla ya teknolojia tuliamini gold ndio ulinzi wa pesa ila kwa sasa jifunzeni cryptocurrency

    Hii dunia sio mwamwedi ngamia kuishi congo au nguruwe kuishi jangwani. Maisha ya dunia yana badilika na kubadilika kila siku. Leo ulijua kuna mobile money wakati enzi za zamani ulikuwa unatuma pesa kwa kutumia basi. Hata barua posta ziliogopa email na leo njia ambazo kwa sasa dhahabu au...
  12. N

    Jamiiafrica inapaswa kuwa mstari wa mbele kukuza teknolojia za ndani wao ni walezi na wakongwe kwenye tasnia

    JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
  13. F

    Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba. Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba Mitaa tunayokazita kadhilika Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii Makutano yote yana alama hii Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
  14. F

    Kwa maendeleo ya teknolojia na sayansi bado tunahitaji vipaza sauti misikitini na makanisani kweli?

    Hoja iko wazi. Naomba niwasilishe.
  15. > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Habari wakuu, Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira. Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB. Akaenda...
  16. ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐— ๐—˜๐—ฆ๐—ฆ๐—”๐—š๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข ๐— ๐—”๐—ฃ๐—ฌ๐—”

    Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi. Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02 Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa...
  17. Dunia ya 2035 Itahitaji Kijana wa Aina Gani?

    Tunapofikiria mwaka 2035, ni rahisi kufikiria magari mapya, majengo marefu na teknolojia kubwa. Lakini swali muhimu zaidi ni mtu wa kawaida atakuwa anahitaji skills gani? Teknolojia inaweza kuwa imebadilisha kazi nyingi. AI inaweza kuwa sehemu ya kawaida ya ofisi, shule, hospitali, biashara na...
  18. Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Kwa ufupi tu kuhusu...
  19. ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ซ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ผ๐˜€๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐Ÿซก

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? ๐Ÿค” Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa โ€œUnder the Hoodโ€ ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ