tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania The United Banana Republic of Tanzania!

    Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa. Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi. Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 MaRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025

    01 November 2025 Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan : "Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SADC yaitaka Serikali ya Tanzania kutafuta suluhisho la kumaliza kadhia inayoendelea kwa njia ya amani

  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Star Link watoa Free Interent kwa Tanzania

    Kuna taarifa kuwa Star Link wametoa free internet kwa Tanzania ili kuwezesha mawasiliano na uhuru wa maoni. Naomba Maxence Melo confirm hili na tuwataarifu Watanzania wote muda huu
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 ANC waisagia CCM, wasema walifika Tanzania lakini hawakuweza kufanya uangalizi wa Uchaguzi

    Soma barua yao:
  6. kalou

    JamiiForums Tanzania UN Secretary General Statement on Tanzania situation

    On his official X page ,UN secretary General ( António Guterres ) wrote "Deeply concerned by the situation in Tanzania, including reports of deaths & injuries during demonstrations. I call on all to exercise restraint, reject violence & engage in inclusive & constructive dialogue to prevent...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Canada na Norway waungana kulaani kinachoendelea Tanzania. Wataka Mamlaka kuzingatia mikataba ya Kimataifa

  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano

    Tanzania yasitisha zoezi la kuhesabu kura kufuatia ghasia na maandamano yanayopinga utawala wa Samia https://m.youtube.com/watch?v=HtoIA-AVb18
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umoja wa Mataifa: Kamisheni ya Haki za Binadamu yasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania

    Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Chanzo kutoka UN: Samia yupo mpaka wa Tanzania na Uganda. Jeshi malizeni kazi, mkamateni mkabidhini kwa Wahaya wamalize kazi

    Inaelezwa kuamkia jana Samia alikimbilia Uganda na kuhifadhiwa kwa Museveni. Chanzo kutoka UN kimedai amehifadhiwa mpakani mwa Uganda na Tanzania. Wazalendo wetu mliotukuka JWTZ tunaomba kikamateni hicho kikaragosi na mkikabidhi kwa Wahaya wakishughulikie kwa damu alizomwaga za kina Mdude...
  11. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasaliti Wakuu Wa Taifa la Tanzania Waliolitumbukiza Kwenye Machafuko ya Mwaka 2025!

    Kwa maoni yangu, wafuatao ndio wasaliti wakuu waliolitumbukiza taifa letu kwenye machafuko lililomo hivi sasa. Wapo wengi, lakini mchango wa hawa ndio mkubwa zaidi. 1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Samia Suluhu Hassan 3. Hamza Johari (Attorney General) 4. Francis Mutungi (Msajili, Vyama Vya Siasa)...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tutakuwa na Tanzania bora, leo hatuna nchi imejaa mafisadi wanajitajirisha wao wenyewe. Tupiganie nchi yetu

    Viongozi wote tuliowaamini wakishirikiana na wezi na mafisadi kama akina Rostam Aziz na wengineo wamemaliza utajiri wa nchi, hawana uchungu na nchi yetu, wakati wananchi wa kawaida wanateseka wanakosa hata jinsi ya kupata matibabu. Hao ndiyo wanaotuua kwa sababu wanaogopa maslahi yao...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hawa Wakenya, Wana nini na Tanzania?! Wanatutukania Rais Wetu kuwa She Was Nobody na Kumuita Dikiteta Iddi Amini Mama!, Tusikubali na Tusiwanyamazie!

    Wanabodi Hebu msikilizeni huyu jamaa, Mkenya anaitwa Rodgers Kakasungura https://youtu.be/FFVNsTEI690?si=g-1g15frbAOn6yYz Anatema uongo kumhusu Rais Samia, anamtukana na kumuita Dikteta Iddi Amini Mama, pia amemtukana rais wake Ruto kuwa ni Dikiteta Iddi Amini Baba, na kusema Uganda kulikuwa na...
  14. U

    JamiiForums Tanzania INEC - Tanzania: Nani kampigia kura Samia Suluhu? Nani kapiga kura? Acheni ujinga huo mara moja wa kutangaza hayo mnayoita "matokeo ya uchaguzi"

    Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau... Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...? Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania amani na utulivu vimesamia

    Sasa hivi, ukijikuta kwenye hali ambayo hukutarajiia ujue umesamia. Usitafute suluhu bila kuwa ngangari na ngunguru. Hilo ndilo wazo la leo. Msikubali kusamia wala kusamiwa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya kisiwa cha amani iliisha rasmi jana tarehe 29/10/2025

    Inasikitisha sana ila ndo tukubali ukweli kuwa ile Tanzania ya watu wapole, wapenda amani wasiotaka fujo iliisha rasmi jana tarehe 29/10/2025. Hakutakuwa tena na kubembelezana kwenye mambo ya haki. Kila kitu kimeanza upya kuanzia jana. Raia wamevumilia toka awamu ya kwanza hadi leo awamu ya 6...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jeshi la Polisi Tanzania ni wepesi kiasi hiki!🤣🤣

    Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana. Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania UE Statement: Elections in Tanzania were neither free nor fair

    Elections in Tanzania were neither free nor fair October 30, 2025 In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights. “As Tanzanians went to the polls today, the...
  19. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kila mtu kwa imani yake aiombee Tanzania 🇹🇿

    UMEVUKA SALAMA? Kama umevuka kipindi hiki kigumu, tafadhali tujulishe kwamba uko salama na tuendelee kuwaombea wenzetu. Watu wengi wameumia na kupoteza wapendwa wao, Kwa imani yako na bila kujali itikadi za kiasiasa, tuiombee Tanzania 🇹🇿 yetu! Tuwaombee wenye madaraka wapewe busara na...
  20. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania mmenifurahisha, Samia aondoke la sivyo akikamatwa atatafunwa kama karanga. Tumechoka na hawa CCM

    Tumechoka na huyu Samia na wapumbavu wenzake, Huyo hana hata ile elimu ndogo ya form IV, amefeli kama walivyofeli police wake wauaji, wafiraji na wabakaji. Leo mmetutambua kuwa enough is enough, ameshaharibu na hatutaishia hapo, serikali ya CCM imetunyanyasa sana.....tumechoka. Niwatahadharisha...
Back
Top Bottom