tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kuna siku Somalia itakuja kuwa nchi ya amani na Tanzania kuwa Somalia ya zamani

    Kwa haya matukio na wakizidi kutawala kwa mkono wa chuma. Najaribu kuwaza kwa jinsi wanavyofanya matendo ya ovyo wakijichia jina la AMANI. Kibaya zaidi hawa somi alama za nyakati kuwa vipofu wanaokula nao wamewashika kwenye steji ngumu na watakuja kutoa maamuzi hatari.
  2. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vimenishangaza

    Tarehe 29/10/2025 ilikuwa kama vile hakuna vyombo vya habari Tanzania. Matukio yote yaliyotokea na siku zilizofuata hayakuonekana kwenye vyombo vyetu vya habari na wala mjadala haukufanyika. Lakini Jana mpaka Leo vyombo vyetu vya habari vimetumia muda mwingi kutuhabarisha kuwa hakuna...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uhalisia wa mitandao Tanzania: Namna 'Jeshi la amani kwanza' linavyozima hoja za haki

    Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia kwenye zama mpya ambako mitandao imekuwa uwanja mkuu wa siasa. Na kadri wananchi wanavyozidi kuuliza maswali kuhusu uhuru, gharama za maisha, ajira, rushwa, na usimamizi wa rasilimali—ndivyo kundi fulani la “walinzi wa amani” linavyozidi kuonekana...
  4. JamiiForums Tanzania Kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka Tanzania kuendeleza operesheni DRC

    Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shukran vijana wa Tanzania aka Gen Z kwa kugomea maandamano ya 9/12

    Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!! IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Is Tanzania headed for deeper upheaval?

    Dah! This guy Palamagamba Kabudi takes shilling to a whole ‘nother level! It’s hard listening to him spew his nonsense propaganda. Anywho, ni kipindi cha leo Al Jazeera. https://youtu.be/5y4rd7_adv4?si=Wwj0jD1booFZtkJp
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania sasa ni zaidi ya somalia

    Huko Mwanza kuna taarifa watekaji wameteka familia ikiwemo watoto miaka mitano baada ya kumkosa mlengwa mamayao
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu! Nipeni report kipi kimejiri Tanganyika kwenye siku yake ya uhuru, ndio naamka saizi

    Vipi sherehe za uhuru wa tanganyika zimefanyika ipasavyo na watu kweli wamekumbuka mashujaa waliopigania hili Taifa hadi kuwa huru? Na kama hazijafanyika, vipi mmepewa maelekezo ya kutosha bajeti iliyotengwa kwa ajili ya hii sherehe ilikuwa kiasi gani na imeenda kufanyia nini na huku...
  9. JamiiForums Tanzania Tafakuri na Kandaka binti wa ardhi ys Nubia, Tanzania imekataa

    Hali ya ukungu na baridi kiasi ulioitawala June 6 2019 haikuzuia misafara isiyoisha ya magari ya jeshi katika mji wa khartoum. na kila walipopita nyuma waliacha miili ya mamia ya raia imelala katika Kila Kona ya mji huo ikiwa imeondokewa na baraka ya uhai. Hapa wananchi wakaanza kuiona adha ya...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi Tanzania na Afrika ni mfumo kwa kuwaibia Mabeberu

    Wandugu Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk. Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa saa 4 asubuhi Serikali 3 : Wafuasi wa Mange 0. Hii ndiyo Tanzania isiyoyumbishwa na mtu yeyote

    Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee. Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Figusi tayari: TikTok haipatikani Tanzania hata uweke VPN

    Naona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook. Tanzania yangu nakupenda
  14. JamiiForums Tanzania Kama kweli Ligi Ya Tanzania ni Bora kuliko Kenya, kwenye mapato kuna vitu tunafichwa!

    Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14. Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu. Sasa nikiwaza kwa Mkapa na ile capacity ya 60,000 waliokaa bado waliosimama kwenye Derby si inamaana inaingia...
  15. JamiiForums Tanzania Analysis of Current Leadership Challenges for the President of Tanzania

    An assessment of the major pressures and opportunities currently facing the Executive Office. 1. Executive Summary The President is navigating a highly complex and contradictory period. On one hand, there is a strong drive to pursue bold, expansionist policies and secure visible victories. On...
  16. JamiiForums Tanzania Utabiri raisi ATAKAE tawala Tanzania kwa Muda mfupi Dr Samia or Magufuli?shekhe Yahaya njooo duniani!

    Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi? Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili? Mbinguni kunani?
  17. JamiiForums Tanzania Kesho Tanzania inaenda kutoa somo duniani D9

    Sina hofu na vijana Gen z Hofu ni adui wa maendeleo millenia hofu zao zinapoishia wao Gen Z ndo ujasiri wao unapoanzia Mpaka ukaone Gen z anahofu basi mellenia muda huo kashafukiwa futi 6 chini ya udongo 😂, Kesho watu wenye mapenzi mema na nchi yao wanaenda kutimiza haki yao kikatiba ya...
  18. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Tanzania yanafurahisha sana

    Haya yanayoendelea Tanzania kwasasa kuna muda natamani yasiishe. Vyombo vya ulinzi vinapiga kazi mpaka unasema yees walikuwa wapi muda wote? Yaani unamkuta mwanajeshi kasimama barabarani siku nzima kudadeki na mtutu🤣🤣 kuna namna naiona kodi yangu ikiliwa kihalali. Unajua mwanzo hawa maaskari...
  19. JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Tanzania: Kutoka fahari hadi sintofahamu

    Kwa miongo kadhaa, Tanzania imejengwa na kutambulika kama moja ya shule bora za diplomasia barani Afrika. Kuanzia harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, ushiriki thabiti katika Umoja wa Mataifa, hadi kusimama kama taifa lisilofungamana na upande, Tanzania iliweka alama yake...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani wakaribia kukamilisha makubaliano makubwa ya uwekezaji

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino, kuhusu kuendeleza maeneo muhimu ya ushirikiano wa pande mbili na kuthibitisha dhamira ya pamoja ya ushirikiano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…