tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina mzee mmoja tu kwa sasa

    GT Huyu ndo mzee pekee ambaye anaweza kusimama na kusikilizwa Lakini siyo hawa.
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeiponza META kwa kukubali kufungia akaunti za wanaharakati. Elon Musk kaanza kuwasagia kunguni

    Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao. Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa mkono wa chuma na mauwaji. Mnakumbuka META ilishawahi kufunga account ya Trump na wengine wengi kisha...
  3. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wakuu vipi huko Tanzania, JF mnaipata bila pipieni au bado haipatikani?

    familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Migahawa midogo ya Tanzania kuna shida, mtu unalazimishwa kutumia kitu usichokitaka

    Nimefika leo asubuhi mji wa madini Shinyanga nikataka supu tu wala si chochote wanakwambia supu bila chapati hawauzi. Ina maana hata ukitaka wali dagaa watakwambia dagaa ni wa ugali tu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je, una mshauri nini Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania?

    Wadau nyote karibuni tumshauri Mheshimiwa jambo ambalo unaweza mshauri. Kwangu mimi namshauri adumishe hekima kubwa aliyonayo.
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwa macho ya kawaida utaona ni haki inagombaniwa, ila kwa taarifa za uhakika kinachopikwa ni Tanzania kuwa Congo ya pili

    CCM imekuwa chama imara sana katika kupigania nchi hii, toka 1961 msimamo wake haujawahi kupinda kutetea maslahi ya wananchi wake, kwa nje utaona ni vita ya kugombania haki ila kuna watu waliisubiri sana hii siku waonyeshe rangi zao halisi, Kinachoendelea ni vita kubwa ya kiuchumi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Commonwealth Ministers Place Tanzania on Formal Agenda Following Election Violence Concerns

    December 05, 2025 LONDON/VALETTA – The Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) has officially placed the United Republic of Tanzania on its formal agenda, citing "deep concern" over breaches of fundamental values, including human rights, freedom of expression, and the rule of law...
  8. kagoshima

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ninacho kiona ni CCM kuamini wao ndio wamiliki wa Tanzania

    Hii inchi ilikuwepo kabla ya ccm na TANU hivyo itaendelea kuwepo hata ccm itakapokua imekufa kabisa, maana sasa iko ICU ikishikiliwa na vyombo vya dola. Hivyo, ni kosa kwa ccm kuamini kwamba wao ndio wamiliki wa Tanzania na vyote vilivyomo. Na hivyo kujifanyia wanavyotaka hadi kuvuruga...
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania Sweden kusitisha Ushirikiano wa Kimaendeleo na Tanzania ifikapo Agosti 31, 2026

    Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe 31 Agosti 2026. Kwa sasa ushirikiano utaendelea hadi wakati huo. Sweden imesema uamuzi huu...
  10. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Uongozi Uliochoka na Taifa Lililogawanyika: Uchambuzi wa Kiuchumi, Kisiasa, na Kijamii wa Hali ya Tanzania

    Katika historia ya mataifa, kuna vipindi ambavyo misingi ya utawala imara huonekana kufifia, taasisi zikaishiwa nguvu, na kauli za viongozi zikaanza kutengeneza mipasuko ndani ya jamii badala ya kuijenga. Tanzania, katika miaka ya karibuni, imeingia katika kipindi cha aina hiyo kipindi ambacho...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Financial Injustice in Tanzania

    THE ISSUE Peachy Village Company Limited, based in Dodoma, Tanzania, has recently faced a dire financial crisis due to unauthorized bank accounts opened in its name. This has led to substantial financial losses, severely impacting the livelihood of its employees, stakeholders, and the local...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania nchi huru, nyie mnaosubiri Trump na vi organizations uchwara viwasaidie kukaa Ikulu imekula kwenu

    Mnakumbuka kipindi cha Magufuli vimemo vya vi organizations mbalimbali vilivyotolewa na majibu ya MAGUFULI? Baadaye wakijua kuwa unajiamini na hitishiki wanaendelea kumwaga pesa maisha yanasonga. Hata wasipotoa pesa tutaishi vivyo hivyo ingawa wewe mwananchi ndiyo tutakuminya zaidi kwenye...
  13. P

    JamiiForums Tanzania DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania NGOs 30 za kimataifa zimeliandikia Baraza la Haki za Binadamu UN kuitisha kikao Maalumu kuzungumzia hali inayoendelea Tanzania

    Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi. Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Raisi ajaye tanzania: Sheria ni siasa zinafanyika mwaka wa uchaguzi tu, baada ya uchaguzi watu waonekane wanafanya kazi nothing more or less than that

    Marehem John Pombe alikua na njia nzuri sana ya kuendesha nchi, mwaka wa uchaguzi fanyeni siasa ila baada ya hapo watu waonekane wapo kazini, izi mambo za kila mtu anaongea hili ama lile akidhan anaielewa siasa ipigwe marufuku, kipindi cha magu alivooa amri ya siasa kipindi cha uchaguzi nchi...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania DEFENDDEFENDERS: The international community should act to prevent further violations in Tanzania

    In a letter released today, 30 NGOs draw UN Human Rights Council Members’ and Observers’ attention to Tanzania’s deteriorating human rights situation. They suggest several steps to address the crisis, including a public briefing by the High Commissioner for Human Rights and, if needed, the...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawakosha Watanzania. Waomba irudiwe kwenye vyombo vya habari kwa mwezi mzima mfululizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa kwelikweli. Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Na Rais Samia kitini. Tuna kila sababu ya kusema asante...
  19. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo tumehamia TEC vs BAKWATA and TEC vs GOVERNMENT? HALI MI MBAYA

    Serikali mpaka sasa zimebaki siku 4 tuu kufikia 9 dec Watanzania wenzangu tusiandamane maana sasa hivi vita ni kati ya TEC na serikali ya Tanzania, BAKWATA NA TEC hii vita vya udini ni mbaya sana In God we Trust
  20. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Picha kubwa kwa kinachoendelea Tanzania

    Kinachoendelea Tanzania ni mgogoro wa kikanda(East Africa) sababu kubwa ikiwa ni rasilimali zilizopo katika nchi hizo hasa pale DRC. Kwa yanayoendelea Tanzania kutekwa mauwaji etc ni mbinu au mikakati ya ki-intellijensia ku- counterattack mipango ya ki-intellijensia. Diplomasia ya awamu ya nne...
Back
Top Bottom