tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania ina sheria basi Mume wa Zamaradi atafungwa miaka mitatu, ila pesa na kujuana ni zaidi ya sheria

    Ndio, kila mtanzania anajua mume wa zamaradi anapaswa kwenda jela, na pia kila mtu anajua kuwa hatoenda jela na ataachiwa, na kila mtanzania anajua ni kwanini hatoenda jela, hii ndio tanzania mtu anabaka ushaidi upo ila hafungwi, huku uingereza ninapoishi sasa huwezi kukuta mambo hizo. Asante...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni vigumu kwa Tanzania kupata wawekezaji wapya katika mazingira ya sasa

    ..hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions. South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ugonjwa wa Ebola tulioambiwa na Mabeberu upo Tanzania umeishia wapi?

    Mimi nilikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanafuatilia kwa makini sana sakata la Ebola tanzania. Hawa mabeberu waliuaminisha ulimwengu kuwa tz kuna Ebola na kushindana katika kutoa matamko kwa raia wao. Mimi nijuavyo Ebola kama pembe la ng’ombe halifichiki cha kushangaza mpaka leo sijackia...
  4. JamiiForums Tanzania Maoni yangu binafsi kuhusu kusimamia na kuendesha ATCL (Air Tanzania)

    * Maoni haya ni yakwangu binafsi, mtu asitukane tuheshimiane kwenye maoni* Tumeshawahi miliki Hisa na Ndege zikanunuliwa na badae ikaonekana zina tutia hasara badae zikauzwa/ binafsishwa au zikapotea kwenye anga la biashara. Biashara hii ya ndege hahihitaji hasira, ndio tumeanza lazima...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wasio kuwa na sifa za kuwa raia wa Tanzania upo uwezekano wa Wao kupata vitambulisho vya NIDA

    Kama kichwa cha Habari ulivyo soma hapo juu.Ni kwamba kuna changamoto katika utoaji wa Vitambulisho vya Taifa,hasa kwa Mikoa inayo pakana na Nchi jirani. Mfano ni Mkoa wa Kigoma, unakuta baadhi ya Watu wana wamiliki Warundi kwa miaka mingi na kuwafanyisha kazi za Majumbani,Mitaani na...
  6. JamiiForums Tanzania Bandari za Tanzania bado zitabaki kuwa suluhisho kwa waagizaji wa mafuta Afrika

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (Tanzania Ports Authority) ni shirika la umma linalofanya kazi zake chini ya Wizara ya Miundombinu. Na ina jukumu zima la kuongoza na kuendesha bandari za bahari na maziwa ya nchini Tanzania. Mamlaka hiyo ipo mjini Dar es Salaam na ni bandari mwanachama wa Jumuia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ujenzi, ipi tofauti ya ubora kwenye Gypsum?

    Wakuu!! Kuna hizi Gypsum, ni teknolojia mpya tofauti kabisa na siling boards tulizozizoea. Naomba kujulishwa, kuna tofauti gani ya ubora kati ya Gypsum ya Tanzania( inayouzwa Tsh 13,500/-), China (Tsh 15,000), Kenya (Tsh 15,000), Malaysia (Tsh 18,000) na Touch boards za kampuni ya Ando (Tsh...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mkoa unaoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini Tanzania?

    Kutokana na utafiti uliofanywa na NBS (National Bureau of Statistics) HBS 2017/18, Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini (1,184,188 + 321,978 = 1,506,166) sawa na asilimia 42.6 ikifuatiwa na Kigoma huku Njombe ikiongoza kwa idadi ndogo zaidi. Ikumbukwe kuwa Mkoa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Matrafiki wa Tanzania hawajui wanachokifanya

    Traffik Tanzania ni wajinga na wapumbavu. Nasema hivyo kwasababu hawajui wanachokifanya. Nipo mataa ya mwenge toka saa 11 jion na sasa ni saa 1 usiku. (31 oct 2019) Traffik wewe mpumbavu unaruhusu gari za kutoka mjini kwenda Tegeta na kusababisha foleni ndefu sana ya magari yanayotokea ubungo...
  10. JamiiForums Tanzania Jobs Opportunities at Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)

    ICT OFFICER I (Data Scientist/Engineer)- 6 Positions The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a quasi-independent Government body responsible for regulating the Communications in Tanzania. It was established under the Tanzania Communications Regulatory Act No. 12 of 2003 to...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Kenyan vs Tanzanian musicians

    Kama unaona Kenya au Tanzania ipo juu katika upande wa music and entertainment market, let us know with evidence na nchi gani musiki unalipa kati ya hizo nchi mbili.
  12. JamiiForums Tanzania Ni kabila gani linaloongoza kuwa na watu wabunifu, wagunduzi wa vitu na wenye akili

    Nipo kwenye sehemu hapa kuna watu wanabishana eti ni kabila gani hapa tanzania lenye vijana ambao wabunifu,wenye akili sana na wenye vipaji vya ugunduzi wa vitu..... Mfano / kuna wanasema sisi kabila ...yy tumegundua vitu xx jee wewe unasemajee
  13. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaishauri Tanzania kuwekeza kwenye elimu na afya

    Wakati serikali hii ya Rais Magufuli inajisifia kununua ndege na white elephant projects nyingine, World Bank wametoa ushauri kuwa mkazo uwe kwenye elimu na afya ili kuboresha human resources. Jisomee hapa: ==== Tanzania Needs to Urgently Invest in the Health and Education of its Youth – New...
  14. JamiiForums Tanzania New Job Vacancies at Vodacom Tanzania, Administrator: M-PESA Agents | Deadline: 01st November, 2019

    Jobs in Tanzania: New Job Vacancies at VODACOM Tanzania, 2019 AJIRA TANZANIA 2019 / NAFASI ZA KAZI 2019 Position: Administrator: M-PESA Agents - MPESAN JOB PURPOSE The M-PESA Agent Administrator will be responsible to assist the M-PESA support Managers deliver against M-PESA revenue targets...
  15. JamiiForums Tanzania New internships opportunities at International Organization for Migration (IOM) - Tanzania

    New Internships Vacancies at International Organization for Migration (IOM) - Tanzania | Deadline: 06th November, 2019 AJIRA TANZANIA 2019 / NAFASI ZA KAZI 2019 CVAC Intern - [1 Position] Dar es Salaam, United Republic of Tanzania] TERMS OF REFERENCE I. POSITION INFORMATION Vacancy...
  16. JamiiForums Tanzania Ex-soldiers na elimu yetu ya Tanzania

    Asalam wakuu Kwa wale waliobahatika kusoma elimu ya sekondari nchini mwetu kuna somo moja la historia, ndani yake kuna sura moja maarufu ya harakati za kudai uhuru barani Afrika ikiwemo Tanzania/Tanganyika. Harakati hizi zilichochewa na sababu kadhaa za ndani ya nchi na nje ya nchi, mojawapo...
  17. JamiiForums Tanzania Piga kura kuchagua jina la sayari-nje ya Tanzania

    Piga kura kuchagua jina linalofaa kwa sayarinje ya Tanzania Sayarinje ni sayari zinazozunguka nyota ambazo zipo nje ya mfumo wa Jua. Tanzania tumepewa fursa ya kuipa jina sayarinje mojawapo iliyogunduliwa karibuni. Wanafunzi wa shule na wanavikundi mbalimbali wameshindanishwa kupendekeza...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia ‘Top Ten’ mazingira bora uwekezaji Afrika

    TANZANIA imeshika nafasi ya saba, katika nchi 20 zenye mazingira bora ya uwekezaji barani Afrika. Anaripoti Faki Sosi . Akizungumza na wanahabari leo tarehe 28 Oktoba 2019, Geofrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) amesema, utafiti huo huria uliofanywa na Kampuni...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania Q2 GDP growth rises to 7.2 pct v 6.1 pct

    Tanzania Q2 GDP growth rises to 7.2 pct v 6.1 pct -statistics bureau (Reporting by Fumbuka Ng’wanakilala Editing by Maggie Fick) Huwezi ukabeza juhudi za JPM anayeongoza Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya chama shupavu cha CCM. Hapa Kazi Tu. === Tanzania Q2 GDP growth...
  20. JamiiForums Tanzania 16 New Government Job Vacancies UTUMISHI at Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) | Deadline: 07th November, 2019

    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/96 25th October, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 16 vacant...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…