Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Shirika la ndege la ndege la South Africa, lenye jumla ya ndege karibu 50 kubwa, za kati na ndogo, liko katika hali mbaya kiuchumi kiasi linakaribia kuwa mufilisi.
Shirika hili kwa miaka mingi limekuwa likijiendesha kwa kutegemea ruzuku za serikali bila kuwa na uwezo wa kusimama kwa miguu yake...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga amekanusha taarifa za Serikali kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR)
Akifafanua zaidi kuhusu dai hilo, Dkt. Mahiga anasema serikali haijajitoa katika Mahakama hiyo isipokuwa imeiandikia barua Mahakama hiyo kuondoa...
Unahitaji kufungua kampuni au biashara nchini Tanzania?
Karibu VA Business Consultants tunatoa huduma za kusajili kampuni, jina la biashara, nembo za biashara (trade marks) na kutoa ushauri wa biashara katika hatua za kukamilisha urasimishaji wa biashara yako BRELA na mamlaka zingine.
Wasiliana...
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.
TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.
Hawa wawili ndio mashetani...
Hawa Jamaa kila ' Promo ' yako lazima itakuwa na Kishindo Kikubwa. Hongera sana Kwao Clouds Media Group kwani inaonyesha kuwa wana Vichwa hatari katika Masuala mazima ya ' Promo ' na sishangai Kuona kila Tamasha ambalo huwa wanaliandaa Wao basi ni lazima tu ' Nyomi ' lake litakuwa Kubwa na...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la maswali yenye facts
Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?.
Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...
Habari wanajamii,
Haki ni kitendawili ambacho kimewaandama wanafalsafa wakubwa waliowahi kutembea kwenye uso wa dunia hii tangia enzi hizo watu walipoanza kufikirisha mbongo zao huko UGIRIKI.
Kwa kufwata mtiririko ntaeleza yaliyowahi semwa juu ya haki.
Ntaanza na plato yeye alifika hitimisho ya...
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on...
Wakati tunasikia kuwa jiwe ni Rais anayetamaniwa na mataifa ya nje kwa kufanya kazi zilizotukuka. Hebu sikiliza contribution ifuatayo kuhusu standards za elimu na afya Tanzania.
Mataga karibuni kwa hoja. Na ikitokea nikapata jibu lenye mantiki kuanzia saa hiyo nitaacha ku-prove umbumbumbu mlio nao.
“Heri tuwe na vyombo vya habari viwili kuliko utitiri wa vyombo ambao waandishi wa habari hawajui kesho yake watakula nini,” - Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe.
Chanzo Habari: Mtanzanianews, MtanzaniaDigital leo tarehe 29 November 2019
Haya ameyaongea leo Bwana Tundu Lissu hii leo kupitia chaneli ya KTN Kenya!
Amewashukuru sana wakenya kwa kujitolea kumchangia damu!
VIVA TUNDU!
Baada ya miaka miwili tangu kupigwa risasi, Tundu Lissu amsema amefika Nairobi kwakuwa hali yake ya kiafya imetengemaa, na kwamba madaktari wake...
Tanzania na Rwanda zinakamilisha mchakato wa ujenzi wa reli itakayounganisha mataifa hayo mawili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Hayo yamesemwa Jana Jumatano November 27, 2019 na Rais Magufuli wakati akizungumza na wananchi wa Isaka Mkoani Shinyanga.
“Nimeshazungumza na Rais Kagame...
Position Manager: Resourcing and Development - HRLDOE
Role purpose:
Delivering an employee experience that unlocks personal growth & business performance by creating a strong community that everyone is proud to be part of.
Responsible for acquiring and developing skills and capabilities...
The Tanzania Revenue Authority (TRA) was established by Act of Parliament No. 11 of
1995, and started its operations on 1st July 1996. In carrying out its statutory functions, TRA is regulated by law, and is responsible for administering impartially various taxes of the Central Government.
Job...
Katika viwango vipya vya soka vilivyotolewa na FIFA leo vinaonesha kuwa Tanzania imeshuka nafasi moja katika hivyo na kufikia nafasi ya 134, kutoka 133. Aidha, Kenya imepanda nafasi mbili na kufikia 106, huku Uganda ikipanda nafasi mbili na kufikia 77. Kutokana na viwango hivyo vipya orodha ya...
Ilikuwa ni siku ya aibu kubwa sana ambayo ni wachache wenye macho waliona jinsi Tanzania tulivyoaibika.
Tanzania, ambayo ni hivi karibuni tu tumetoka katika uchaguzi unaonuka uvundo mkali, ambapo jitihada za makusudi zilifanywa kupora uchaguzi mchana kweupe kwa mbinu mbalimbali chafu (kufunga...
Nadhani kama Siku ya Hukumuy Kwake Mungu Sebuleni Kwake Mbinguni Wanaume wote tutahukumiwa na hii Dhambi ya Kudanganya / Kuongopa. Huwa nikikaa Mwenyewe na Kujitafakari kwa aina ya Uwongo ambao nimekuwa nikiwadanganya na bado naendelea Kuwadanganya Wanawake ili tu ' niwabandue ' najiona kabisa...
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally ameyaonya mashirika ya kimataifa akiyataka kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania.
Dk Bashiru ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Novemba 28, 2019 wakati akizungumza na wajumbe wa chama hicho mkoa wa Magharibi mjini Unguja, Zanzibar.
Amesema ni marufuku ofisi...
Position: Tanzania Communication Officer
Location: Arusha & Moshi
Job Summary
The Frankfurt Zoological Society (FZS) is an international conservation NGO based in Germany. FZS is active in biodiversity-rich areas on four continents. The Africa Program includes projects in five focal...
Tanzania ni moja ya nchi 10 masikini zaidi Duniani, hii ni rekodi ambayo Tanzania tumeishikilia kwa miaka mingi na wala hatuna mpango wa kuachia nafasi yetu hii adhimu kwa sababu kwa miaka yote tumekua tukifabya kila jitihada ili tuendelee kubakia pale pale au angalau kwenye 10 bora.
Kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.