tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Report ya UNDP yaitaja Tanzania kuwa na Low Human Development index

    Human development index(HDI) inawezekana kuwa msamiati mpya kwa walio wengi kama moja ya kiashiria cha maendeleo ya nchi. Kwa walio wengi itakuwa tumesikia mara nyingi kuhusu ukaji wa uchumi (GDP) lakini GDP haikuwahi kuwa kiashiria cha maendeleo ya kiuchumi bali ni quantitative increase ya...
  2. JamiiForums Tanzania Magufuli is driving Tanzania further from human rights

    Baada ya kuona ndege imeachiwa mabeberu wametoa hii 👇... KWA UFUPI NI... Rais wa Tanzania John Magufuli anaendelea kuiongoza nchi yake mbali na utawala bora, demokrasia na haki za binadamu. Hatua yake ya hivi karibuni ilikuwa kuondoa tamko la Tanzania likiruhusu Mtanzania mmoja mmoja...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

    Kawaida mtu ukiingia hotel muda unaoingia ndio kesho yake unatakiwa uwe muda wako wa kutoka sababu unalipia kwa siku yaani masaa 24 Mahotel ya Tanzania yamejiwekea utaratibu wa wizi kuwa muda wa kutoka lazima uwe saa nne asubuhi bila kujali umeingia saa ngapi. Nilikuwa Nigeria niliingia saa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ruksa makampuni binafsi Tanzania kununua mabehewa ya reli

    December 13, 2019 Kemondo Bay, Tanzania Serikali Kuanza Kuruhusu Makampuni kununua Mabehewa na Vichwa vya treni Hatimaye serikali kupitia Waziri wa Uchukuzi Mh. Isaack Kamwelwe imetoa kauli kuwa itaruhusu kampuni binafsi kununua mabehewa / rolling stock na vichwa vya treni / Locomotives ili...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Aman iwe nanyi wakuu Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana. Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake Tanzania ni Duni/Dhaifu Kiongozi, Kama Si Duni/ Dhaifu na Wana Uwezo Sawa na Wanaume, Viti Maalum vya Nini?

    Wanabodi, Nimeiangalia hii picha ya wanawake hawa wa wenzetu, na age zao, nikajiuliza sana kuhusu sisi Tanzania na wanawake wetu katika nafasi za uongozi wa kisiasa, tatizo ni nini?. Jee wanawake wetu Tanzania ni duni au dhaifu Kiongozi wa siasa?. Kama wanawake wetu si duni na si dhaifu na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania CNN: Tanzania yatoa kivutio namba 1 cha kutembelewa kwa mwaka 2020, yazishinda nchi nyingine 30

    With its expansive landscapes and formidable animal life, the world's second-biggest continent is arguably the best for photographers. Throw in that sense of being in a place that hasn't changed for centuries, and sometimes millennia, and you get some of the most inspiring, and inspired...
  8. JamiiForums Tanzania Uchunguzi : Mamlaka zavuruga biashara ya dawa za binadamu nchini Tanzania , Wenye vibali halali wakandamizwa wasionavyo wapeta

    Nchini Tanzania iko sheria inayosimamia uendeshaji wa biashara ya dawa za binadamu , inaitwa Pharmacy Act , humu imewekwa miongozo na utaratibu wa namna ya kufanya biashara hii. Nikiri kwamba mimi si mtaalam kabisa kwenye sekta hii lakini nilipata msukumo wa kuchunguza sekta hii baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

    Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa). “Ndege yetu...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Tanzania Government Flight Agency (TGFA)

    Ref.No.EA.7/96/01/K/134 11th December, 2019 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Government Flight Agency (TGFA), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 3 vacant posts as mentioned below;- 1.0...
  11. JamiiForums Tanzania Je, majasusi kutoka ughaibuni wanatumia NGOs za Afya kuja kupeleleza nchi za kiafrika?

    Haya ni mambo fikirishi kutokana na experience yangu ya kuona mambo mbalimbali. Je kama watanzania tumejiandaa vipi kukabiliana na uwezekano wa hali hii? Ieleweke kuwa Afya ni eneo nyeti katika mustakabali wa nchi na wananchi. Aidha ni muhimu kujua kuwa vita baridi vinaweza kutumia mbinu...
  12. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wakoloni Tanzania yetu hawakuiibia kitu!

    Si Wajerumani wala Uingereza walioiba chochote hapa kwetu, kwanza hata walipoteza zaidi kuliko walivyowekeza Wajerumani walijenga reli, barabara, mipango miji, geographical survey ya nchi yote, walifanya utafiti wa udongo na kupima matone ya mvua na kuamua wapi palimwe nini, walileta mazao...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kenya Mahakama ya mafisadi ipo kazini, Tanzania tunafeli wapi?

    Niko naangalia mubashara mwenendo wa kesi ya ufisadi inayomkabili Gavana Sonko wa jiji la Nairobi na wenzake wanaotuhumiwa kufisadi fedha za serikali kwenye manunuzi ya umma. Tukio hili linarushwa live kupitia Citizen Tv. Hapa Tanzania tunayo mahakama ya mafisadi lakini sijaisikia ikiendesha...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini siipendi Halotel Tanzania

    Halotel mnawahi sana kureplace number. I bet with you kwamba within a month or two mnakuwa mshagawa namba kwa mwingine kama muhusika haitumii, sielewi mna matatizo gani. Unakuta umesajili simcard mpya na kisha unatafutwa na watu wanaodai wanaifahamu hiyo number ikiwa ni mtu wao Wa karibu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA wanaweza kutupa sababu za msingi kwa nini bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara kumi ya bei ya internet Rwanda?

    Bei za internet ya wastani kwa Tanzania na baadhi ya nchi zinazotuzunguka ni kama ifuatavyo: Source: Worldwide mobile data pricing: The cost of 1GB of mobile data in 230 countries Reference: Worldwide Mobile Data Pricing League | Cost of 1GB in 230 countries - Cable.co.uk Hivi TCRA wanaweza...
  16. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei nchini Tanzania umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 ya mwezi Oktoba, 2019

    Imeripotiwa kuwa Mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi Novemba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 ya mwezi Oktoba, 2019. Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ruth Minja ameyasema hayo leo Jumanne Desemba 10, 2019 mjini Dodoma...
  17. C

    JamiiForums Tanzania The Disneyland in Tanzania!

    The Simiyu Regional Commissioner managed to convince investors to replicate the world’s famous American facility to by-pass mega cities such as Cairo, Lagos, Johannesburg or Cape Town. === Simiyu Region to host Africa’s pioneer Disneyland theme park Simiyu Regional Commissioner Anthony Mtaka...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons wa biashara Tanzania wanakufa sana?

    Nimekuwa nikiujiuliza mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons/Matajiri au ukipenda wenye Hela zao wanakufa sana? Napatwa na wasiwasi wa kutikisika kwa sekta binafsi. Rejea 1. Sir Andy Chande 2. Reginald Mengi. 3. Rugemalila/Ruge Mutahaba 4. Ally Mufuruki 5. Ndesamburo/Ndesapesa 6. Ongeza wengine...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Al Muntazir Schools Tanzania

    Overview The AI Muntazir Schools are managed under the auspices of KSIJ Central Board of Education, a Non-Profit Organization, providing quality education to students from multicultural backgrounds and comprises several schools spread over many campuses, providing education at Toddlers, Nursery...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji tafiti nyingi za wanataaluma wake ili kubaini hali yake ilivyo kiuhalisia

    Nimestushwa sana na Utafiti uliofanywa na Benki ya Dunia na kuonesha hali ya umasikini kupungua Nchini kwa vigezo kama umiliki wa simu na mali nyingine.... najiuliza hivi kweli vigezo hivyo ndiyo vinazuia picha halisi ya maendeleo yetu? Kuna haja ya wanataaluma wa Nchi hiii kuwajibika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…