tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaichukia Tanzania haipendi Tanzania hawapendi watanzania anaiombea mabaya nchi yetu

    Anahamasisha Vita kila anakopita anasema damu itamwagika Anahubiri vita kila anakopita anataka hata watanzania wanyonge wauae kwa vita Anahubiri nchi yetu iwekewe vikwazo vya kiuchumi bila kujua watakaoumia ni watanzania wa Chini ndugu zake wa Singida watakosa madawa Huyu mtu ni hatari sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeanza siasa za misimamo mikali?

    Kuna movement kubwa ya chinichini naiona Tanzania. Tofauti na mwaka 2016 kuna mabadiliko makubwa matatu 1. Wananchi hawaogopi tena vyombo vya usalama kama zamani wala kesi za kubambikizwa. Na badala yake Mahakama, polisi na hata Jeshi haviheshimiki kama zamani kwasababu ya kuingizwa kwenye...
  3. Parabora

    JamiiForums Tanzania Mwinjuma Muumini ndiye mwanamuziki wa Dansi mwenye uwezo wa juu zaidi kiutunzi na arrangement ya muziki hapa Tanzania

    Wakuu huyu jamaa ni kipaji japo now kapotea kabisa hasikiki, mnaokumbuka majina ya nyimbo zake wekeni hapa tujikumbushe utamu wa nyimbo za huyu jamaa. Tupieni hapa zote alizoshirikishwa na zile alizoomba akiwa kwenye muungano wa bendi mbalimbali. Karibuni wakuu
  4. Corporate News

    JamiiForums Tanzania Scania iko tayari kuleta mabasi yanaoyotumia gesi ya asili nchini Tanzania

    SCANIA IKO TAYARI KULETA MABASI YANAYOTUMIA GESI YA ASILI NCHINI TANZANIA. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Scania Tanzania Lars Eklund akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu utayari wa kampuni hiyo kuleta mabasi yanayotumia nishati ya gesi asilia...
  5. Masinki

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa mahakama za Tanzania mnatenda haki, na haki imeonekana kutendeka pale Kisutu

    Penye ukweli watanzania lazima tuseme. Pongezi nyingi Sana kwa Mahakama za Tanzania na watumishi wake haswa Mahakimu,waendesha mashtaka,karani na wengineo.Hakika mnastahili kuwa hapo. Pongezi kubwa zaidi na za kipekee ziende kwa Jaji Mkuu wa Tanzania unafanya kazi kubwa sana,sote tunajua kazi...
  6. Mag3

    JamiiForums Tanzania Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

    Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee... Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaelekea kuwa failed state?

    Coronavirus imesababisha uchumi wa nchi kadhaa duniani kuyumba. Serikali mbali mbali duniani zinahaha kutafuta njia za ku-mitigate athari za ugonjwa huu (Italia sasa hivi nchi nzima ipo kwenye karantini). Njoo kwetu sasa; nini kinafanyika? Obsession juu ya CHADEMA (wasifanye shughuli zao...
  8. Geeque

    JamiiForums Tanzania Faini ya Milioni 350 dhidi ya viongozi wa Chadema itumike kuwalipa fidia wazazi wa Akwilina

    Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
  9. Informer

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

    The conviction of @ChademaTZ members, incl. @freemanmbowetz, on spurious charges, is more evidence of deteriorating political space & freedoms in #Tanzania. The govt's efforts to criminalize the opposition further undermines the possibility of democratic polls later this year. === Seneta wa...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 ya Tundu Lissu kutokuwepo Tanzania

    Najua ulishambuliwa ili wengine tukate tamaa kutetea haki pia ili kuwakatisha tamaa mawakili wanaotetea haki za upinzani Tanzania ndi maana miaka 3 ambayo haupo mahakama imewekwa mfukoni hakika usingekubali ungekuwepo nchini. walitaka kukuua ili zile hoja zako mahakamani zisiwepo. Maono yako...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania acheni kukurupuka na kufanya kazi kwa mihemuko (sensationalization). Mangula kuwa na sumu mwilini sio lazima mtu alitaka kumuua

    Ni pale tu Polisi wanapotoa matamko kama kusema Mangula amekutwa na sumu mwilini na hivyo kuna mtu alitaka kumuua watamtafuta kwa udi na uvumba, ndipo unagundua tuna jeshi la polisi lisilo professional, linakurupuka na kufanya kila njia kutaka kujikomba kwa CCM na uongozi uliopo madarakani...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, wayafahamu majukumu ya msingi ya Benki Kuu ya Tanzania

    Jukumu la Msingi na Kazi za Benki Kuu Jukumu la msingi la Benki Kuu ya Tanzania ni kuandaa na kutekeleza sera ya fedha inayolenga kudhibiti mfumuko wa bei na kujenga mfumo wa fedha ulio imara na unaofaa kwa ukuaji endelevu wa uchumi wa taifa. Kazi Zingine za Benki Kuu > Kutoa sarafu ya nchi...
  13. CONSULT

    JamiiForums Tanzania WHO ARE THEY ? Educated, Skilled, Experienced Corporate CEO's In Tanzania compare to our neighbors ?

    WHO ARE THEY ? Educated, Skilled, Experienced Corporate CEO's In Tanzania compare to our neighbors ? Moja ya changamoto kubwa tulionayo kwenye maendeleo ya ujasriamali hatimaye uchumi ni kukosekana kwa hawa watu muhimu (local content)kwa ngazi ya kitaifa na wawe kama role models kwa jamii...
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hivi ibada za kingereza makanisa ya Tanzania hua zina umuhimu gani?

    Naomba kuuliza waumini wa baadhi ya makanisa kama sio yote, hua naona kwenye matangazo au mbao za matangazo zimewekwa ratiba za ibada ya kiswahili na ibada ya Kingereza, hii ibada ya kingereza hua ni ya nini au ina umuhimu gani? Nimeuliza hivyo kwa sababu zaidi ya 98% ya watanzania wanaongea...
  15. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia inatarajiwa kuidhinisha mkopo wa $500M kwa Tanzania baada ya Tanzania kutoa utetezi wake

    Bak ya Dunia inatarajia kuidhinisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola za kimarekani millioni mia tano ($500M) sawa na pesa za kitanzania Trillion 1.3 ambao ulisitishwa hapo mwezi January 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kuingilia kati. Hayo yamejiri baada ya serikali ya Tanzania kwenda...
  16. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna natural hot springs ngapi?

    Naomba kuuliza, je Tanzania tuna visima vya maji ya moto vya asili vingapi? Mimi najua kuna Majimoto iko Katavi na Majimoto iko Serengeti ila nasikia kuna nyingine iko Manyara na nyingine Moshi, sasa sina hakika kuhusu hizo mbili za Manyara na Kilimanjaro maana hii nchi hizo taairfa haziko...
  17. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, kwa hili la mkonge nikikuwaza natamani muwe 10 Tanzania tungefika mbali sana

    Kama kunaa kitu kimenifurahisha n hilii swalaa LA mkongeee Niliwahii fanyaa naooo kaziii baaadhi kwa Kwelii niwaambiee wale jamaaa walichokuwaa wanafanyaa n kukimilikisha kila mtu ama kwa majina Yaoo ama nduguzaooo sisemi mengi tusiaribu uchunguzii.... Mh PM MAJALIWA Nalitamaani watuu kumii...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Assistant Secretary of State (USA) reassured of a free and fair election in Tanzania

    All is well and Tanzania is cool. Mr Kabudi who is a Foreign Minister of Tanzania has done his job of telling the truth to the International community by reassuring that our next election will be free and fair. It is our tradition as Tanzanians to honour and assure peaceful elections. This...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Upinzani Tanzania: Epukeni kujibizana hadharani, wapuuzeni wapambe

    Mada inahusika. Katika kipindi hiki kwenu kilichojaa fitina na majungu na nia ya dhati ya kutaka kusambaratishwa na watawala, umakini unahitajika sana. Kwanza ukomavu wenu ni muhimu na mapitio yenu yawaunganishe kama kundi moja lenye common intrest Tumieni uzoefu mlioupata kwenye UKAWA 2015...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
Back
Top Bottom