tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. TDSF

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kuhusu Coronavirus #COVID-19 Kwa Lugha ya Alama ya Tanzania (LAT)

    Habari! Kupitia Ukurasa Huu utaweza Kupata taarifa mbalimbali Kuhusiana na Ugonjwa wa Coronavirus #COVID-19. Lengo ni kuhakikisha hakuna kundi litakaloachwa nyuma katika kupatta taarifa.
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeikosea nini Marekani?

    Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani...
  3. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Sekta binafsi Tanzania inavyosaidia kupambana na kirusi cha Corona

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Katika siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona. Wiki hii serikali ya Tanzania imetangaza mpango kujenga hospitali ya kupambana na magonjwa ya mlipuko kama homa hii ya...
  4. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Wenye Mamlaka nchini Tanzania mnatuhangaisha mno Wananchi wenu hasa kuhusu Uvaaji wa Mask na CORONA

    Kuna Tangazo la Redioni nalisikia karibu katika Redio zote Kubwa nchini ambalo linatoka katika Mamlaka husika linasema kuwa Uvaaji wa Barakoa ( Masks ) ni kwale Walioathirika tu na Maambukizi ya COVID-19 na Wanaowahudumia na si kwa Watu wengine na kwamba wakifanya hivyo watakuwa wanajihatarishia...
  5. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ni Corona ipi serikali ya Tanzania inapambana nayo? Wapi? Kwa kina nani?

    Nimefanikiwa kusikiliza "audio clip" ya mtu anayedaiwa kuwa ni Gloria Michael ambaye bila shaka ni mtangazaji wa TBC. Katika hiyo sauti iliyorekodiwa inaonekana dada huyu anakiri wazi kuwa amejiridhisha kuwa ana kila dalili inayoonyesha anaugua COVID 19 na kwa sasa yanaendelea vyema. Dada...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

    Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo. Ni mzuri Ana exposure Si mjivuni Social Mambo Safi Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake. Baby kabae jua kabisa katika watu wanaokupenda hapa duniani superbug yupo top three. Kama upo humu jf basi like hii post...
  7. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Covid 19 imemrudisha sana nyuma Rais wetu Magufuli kwa aliyoyatarajia kuifanyia Tanzania

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza na tunavyojionea kwa sasa kutokana na huu ugonjwa wa Corona matarajio ya Rais wetu mpendwa kutaka kuifikisha nchi yetu katika uchumi bora imefifia kutokana na tatizo hili. Japo mpaka sasa bado namuona Rais wetu akiwa bado ana matumaini hayo ya kuifikisha...
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tanzania kuwa na electronic league chini ya usimamizi wa bodi ya michezo?

    Nimejaribu kufuatilia hii michezo, japo inaonekana Kama special kwa watu wa betting, Ila ikilasimishwa, inaweza changia pakubwa kuongeza ajira na Kodi kwa serikali, zichaguliwe timu nzuri za ligi kuu, na ratiba, matokeo na msimamo wa ligi unawekwa Kama kawaida. Huo Ni mtazamo WANGU, mnaweza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wengi wa Television na Radio hapa Tanzania wanagangamala sana utafikiri wanakula cement, na wanatumia sauti zisizo zao (artificial)

    Yaani kuna kitu kinanikera mno kuangalia stesheni nyingi za TV Tanzania. Ni kwamba watangazaji wengi sana wa TV, wanawake kwa wanaume, wanapofanya matangazo wanakuwa wamengangamala utafikiri wanaishi kwa kula cement. Unakuta mwili umejikaza hawako natural kabisa, wako very conscious kwamba...
  10. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania IMF yazisamehe madeni nchi 25 kama hatua ya kuzisaidia katika juhudi za kupambana na Covid-19. Yatabiri mdororo mkubwa wa Kiuchumi duniani

    IMF Executive Board Approves Immediate Debt Relief for 25 Countries Washington, DC – Ms. Kristalina Georgieva, Managing Director of the International Monetary Fund (IMF) issued the following statement: “Today, I am pleased to say that our Executive Board approved immediate debt service...
  11. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Matarajio ya Ukuaji wa Uchumi wa Tanzania 2020

    Hii ni kabla ya janga la Corona.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni Siasa za sasa za Tanzania ndizo zinawakwaza IMF na WB hadi hawatujali tena Watanzania au kuna 'Kirusi' Kimewakwaza sana?

    Mpaka leo najiuliza hili Swali ni kwanini Taasisi Kubwa na Muhimu kabisa za Masuala ya Fedha Duniani (Ulimwenguni) za WB (Benki ya Dunia) na IMF (Shirika la Fedha Duniani) kwa Siku za karibuni na niweke tu wazi tokea 2016 hadi huu wa 2020 wamekuwa ' Wazito ' mno Kuisaidia Tanzania kwa Pesa...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yakanusha kuipongeza Tanzania

    Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo. Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia...
  14. bahati93

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Tanzania linapaswa kusitisha misa

    Habari wanajamii, Katika kipindi hiki cha wasiwasi na sintofahamu juu ya coronavirus ndani ya taifa letu viongozi wa taasisi mbalimbali yapaswa kuonyesha umahiri na umadhubuti kukabiliana na janga hili. Nitaongelea taasisi za kidini kwani kwa macho yangu naona zimevurugwa zaidi Mpaka sasa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi kama Tanzania mtu wa kijijini akifa kwa coronavirus kama hajaenda hospitali serikali inajuaje?

    Hizi takwimu za serikali ni maigizo. Hivi Tanzania kuna utaratibu wa kufanya autopsy kwa kila mtu anaye kufa ukoje? Hili baraa la coronavirus litauwa wengi Africa na wengi hawata ripotiwa. Kwasababu hatuna utaratibu wa kila anaye kufa kufanyiwa uchunguzi wa kujuwa chazo cha kifo chake. Watu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Uhamiaji Tanzania inalizungumziaje suala kama hili langu?

    I was born in Tanzania from both Tanzanian parents but when I was around 10years, a family member took me to study in kenya.we crossed the boarder illegally may be he bribed the officials at the boarder. I came back last year with a Kenyan passport. After it expired I went to the village to...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Buyer at Airtel Tanzania PLC

    Airtel Tanzania PLC is looking for a suitable candidate for the Buyer Position .The incumbent will be responsible for executing procurement activities in the best practice and be a link between supplies and internal customers, while ensuring value for company money spend. Key deliverables...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona. -- ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI) Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
  19. T

    JamiiForums Tanzania COVID-19 Imetukuta Watanzania kipindi kibaya sana. Pray for the nation

    Ndugu Watanzania na taifa kwa ujumla, mimi leo nakuja mbele yenu kuwaambia jambo moja zito sana na kiukweli naomba mnielewe. Nawaomba tuliombee taifa letu na viongozi wetu wasasa na wazee pia. Hakuna asiyejua tunapita kipindi gani kama taifa na hakuna asiyejua kwa wakati huu mezani kwa Rais...
  20. abdulkarim harub mzee

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    Athari za Salafi -Jihad kuenea katika nchi yetu ya Tanzania, Kwanza ningependa kuchukua nafasi hii kumshukuru MwenyeziMungu mwingi wa Rehma na mwenye Kurehemu, Kabla ya hili janga la Corona tunalopitia hivi sasa mwanzoni mwa mwaka 2019 kulikua kuna matukio mbalimbali ya Ugaidi yaliyokua...
Back
Top Bottom