tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Hii hali ya corona Tanzania tumejifunza

    Hatuko huru kuchagua viongozi tunaowapenda. Mfano tu uchaguzi wa marudio wa Mbunge wa Kinondoni. Uchakachuaji ulikuwa dhahiri. Ilipelekea maandamano yaliyofanywa na raia kuonyesha jinsi ambavyo hawakubaliani na matokeo. Polisi walivamia maandamano yale na kifo cha Akwilina kilitokea...
  2. JamiiForums Tanzania Mazingira ya kazi kwa wanaharakati Tanzania ni magumu, HRW

    Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu nchini Tanzania umesema katika mwaka 2019, watetezi wa haki za binadamu nchini humo walifanya kazi za utetezi katika mazingira magumu zaidi. Kulingana na ripoti wa shirika la Human Rights Watch kuhusu hali ya haki za binadamu mwaka uliopita, miongoni...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

    Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo. Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Expressions of Interest – Technical Leads for Tanzania

    About the role Education Development Trust is inviting expressions of interest from experienced technical experts to join the implementation team of an anticipated six-year programme, Shule Bora, to improve quality, inclusivity, and safety of learning for all 11.5 million children in government...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiona mpaka huyu Gwiji la Burudani nchini Tanzania analalamika hadi kutia Huruma hivi basi jua kwa wengine hali ni mbaya zaidi

    " Sasa hivi kumbi na baa zimefungwa hatupigi muziki kwa sababu ya Corona, nimewasaidia kuwalipa mshahara wanamuziki wangu kwa mwezi mmoja na mimi nimeishiwa nina wasanii zaidi ya 40, wengine wameuza simu ili wajikimu kimaisha " Asha Baraka, Mkurugenzi Bendi ya Twanga Pepeta. Mateso yote haya...
  6. JamiiForums Tanzania Face Masks (Barakoa) ziwe lazima kwa watu wote

    Nchini singapore ni kosa mtu kutoka bila kuvaa barakoa/ mask ! endapo hili litakiukwa mtu atalipishwa faini ya $300 na akirudia atalipishwa $1,000 Czech republic na slovakia ni nchi nyingine ambazo zimepitisha sheria ya kila mtu lazima avae barakoa ili kupambana na ugomnjwa huu wa COVID19...
  7. JamiiForums Tanzania Katika awamu zote za Utawala hapa Tanzania, Utawala upi kwako ni bora. Wa kwanza, pili, tatu, nne...

    Kwangu, orodha yangu napanga kama hivi: Wa kwanza: - Rais Ali Hassan Mwinyi. Huyu jamaa ni mwana sana, ndio maana bado anaishi hadi sasa sababu hakuwa na madhambi ya kijinga! Kwa mtazamo wangu huyu ndie aliyetoa nchi kwenye lock down ya kiuchumi. Wananchi walikuwa na mawe balaa enzi zake! Wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

    Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede. Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
  9. JamiiForums Tanzania Kujiandaa kupeleka bidhaa nje, unahitaji kujua mambo haya

    Watu wengi wamekuwa wakisikia nje ya mipaka ya Tanzania kuna soko kubwa la bidhaa mbali mbali zinazozalishwa nchini Tanzania lakini hawajui nini cha kufanya ili kupata wanunuzi walio nje ya Tanzania na ni hatua gani zinatakiwa kufatwa ili kuweza kuuza bidhaa nje ya nchi. Kujiandaa kupeleka...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  11. JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Mabohora Tanzania wamkabidhi RC Makonda vifaa vya kujikinga na Corona

    Jumuiya ya Dawoodi Bohora Tanzania leo imekabidhi vifaa mbalimbali vya kujikinga na corona vyenye thamani ya Shilingi Milioni 27 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa lengo la kuwakinga wananchi wa Mkoa huo. Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Mganga Mkuu wa Mkoa...
  13. JamiiForums Tanzania Twitter siku hizi imevamiwa na 'wapwa' na 'mabloo', imekuwa ya hovyo sijawahi kuona

    Mimi niko kwenye mitandao ya kijamii kadhaa kkiwemo Twitter kwa muda mrefu kidogo. Hivyo kwa muda nilikua nikifurahia michango ya watanzania wenzangu ya kisomi kabisa Twitter na JF ila sasa Twitter imekua ya hovyo sijawahi kuona. Twitter ya sasa imevamiwa na makundi ya wavuta bangi wanajiita...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

  15. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu yatoa njia za kujikinga na COVID-19

    Hivi ndio namna ya Tanzania kupambana na corona
  16. H

    JamiiForums Tanzania Baada ya Covid-19 kuimiza sana Tanzania, pia itaumia sana Kiuchumi

    Huwezi kuficha Moshi kwa kufunga milango kwasababu, mambo mawili yatatokea; Kwanza, Utaumia sana wewe uliyeko ndani kwasababu ya Suffocation na PILI Moshi utachafua sana NYUMBA wakati MOSHI unatafuta pa kutokea na Lazima utatoka tu. Raisi Mh Magufuli ni binadamu wa kawaida na pia hajui kila...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nje unaweza ukamdharau ila kama kuna Mwanasiasa ambaye ni Genius Tanzania huyu anastahili na namkubali

    " Sikusema ifungwe nchi nzima, unaweza ukafunga nchi kimkakati Unafunga mashule/vyuo ila unaaacha makanisa na misikiti ambako wazazi wakipata maambukizi wanawaletea watoto nyumbani Hizo ni akili gani? " Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema. Ni Mtu ambaye kila nikipata bahati ya Kumsikiliza...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie mawasiliano ya wizara ya Afya ama Mwenye mawasiliano ya waziri wa Afya Tanzania

    Wakuu tujipe pole na tuendelee kujikinga na maambukizi ya corona tuendelee kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka ,moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu jamani Ninaomba kwa mwana jf yeyote yule mwenye mawasiliano ya staff wa wizara ya Afya au mawasiliano ya waziri wa Afya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya e-Learning/Online Learning kwa shule za msingi, secondary na vyuo mbalimbali nchini Tanzania

    Kwa nyakati kama hizi ambapo janga la COVID-19 limeikumba dunia, shule na vyuo mbalimbali havina budi kubuni njia mbadala za kutoa elimu kwa wanafunzi wao. Hata hivyo taasisi mbalimbali za elimu duniani tayari zilishapiga hatua kubwa katika maendeleo ya kutoa elimu kwa njia ya mtandao - -...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Tokea Tanzania ianzishe mfumo wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa rahisi kwa CCM na itashinda kwa 100% ngazi ya urais

    Ukilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa almanusra wachukue nchi. Ukaja uchaguzi wa mwaka 2000 CCM walijipanga kivingine hivyo walishinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…