Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Holili
17 Mei 2020
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kupita katika mpaka wa Holili.
Katika muongozo mpya unaolenga malori ya mizigo ya mataifa mengine...
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi
a
Kuna baadhi ya wadau walifikia hatua ya kusema tuweke pazia kubwa mlima Kilimanjaro kama la dirisha ili kuzuia usionekane bali tu kwa kutokea upande wa Tanzania, ila hicho kitakua kituko.
Sasa tutafakari, kama ni ndege kubwa za kuketa watalii kwa direct flights tumeshanunua, kama ni kiwanja...
Ndugu zangu,
Ni kweli historia ndio mhimili wa usuli wa taifa lolote. Tumesoma na kufunzwa mengi kuhusu, Nyerere, lakini pia tumechokonoa mengi kuhusu Kambona. Je, hivi leo, najiuliza, kama Kambona angelipewa nafasi ya juu. Nchi yetu ingekuwa na picha gani?
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM,
TANZANIA
Dear Mr. President,
First of all I would like to thank the god for the life he has given us.
Allow me to congratulate you personally and on behalf of the citizens from Tanga Region and Tanzanian as whole on your...
Kabla ya yote naomba kukiri kwamba mimi na makampuni yangu tumeshiriki maonesho ya kibiashara ya kimataifa kwa zaidi ya miaka 10 , tukijikita zaidi kwenye local products kwa ajili ya export ( yaani bidhaa za kitanzania za kuuza nje ya nchi ), 90 % ya bidhaa zetu tunauza Ulaya na Marekani...
Leo tarehe 10/05/2020 Rais wa Zambia Edgar Chagwa lungu ametoa amri ya kufunga mpaka wa Zambia na Tanzania (Nakonde) na kupiga marufuku mtu yeyote pamoja na magari au treni kuingia na kutoka Mji wa nakonde.
Mji wa nakonde umepakana na mji wa tunduma ambapo ndo mpaka wa Tanzania na zambia ulipo...
There is a country which is known as " Little Tanzania Republic"
To Tanzania, this country is like what Toto Africans Football Club is to Dar Es Salaam Young Africans".
They love us so much. To them we are what the Europeans are to us.
Ukienda kwenye mji mkuu wao ni kama upo Kariakoo.
Hata...
Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda, Dkt. Vincent Biruta amesema, Tanzania iliomba kutokushiriki mkutano wa EAC uliofanyika hivi karibuni. Burundi wao walisema hawatashiriki kwakuwa wana uchaguzi.
Tarehe 11 ilinilazimu kusafiri toka Shinyanga hadi Dar-es-Salaam kuhudhuria msiba wa ndugu yangu. Nilifika usiku na bahati mbaya tayari alishazikwa na ushiriki wa ndugu kwenye msiba wake uliwekewa masharti na uongozi wa Serikali.
Washiriki wa mazishi na hata msiba kwa ujumla walitengenezewa...
Leo nimewiwa niandike machache kuhusu hili janga la COVID-19. Ni ukweli usiopingika kwamba huu ugonjwa umelipuka kukiwa hakuna maandalizi makubwa ya kukabiliana nao duniani. Mambo mengi hayajulikani na hata jinsi ya kukabiliana nao bado ni mtihani mkubwa.
Nchi nyingi duniani zimeanza kupata...
FILE PHOTO: Children walk past a signage at the border crossing point between Kenya and Tanzania in Namanga, Tanzania. REUTERS/Njeri Mwangi/File Photo
The Kenyan government on Wednesday classified Namanga, the border town with Tanzania, as a COVID-19 high-risk area following a surge in numbers...
Nimeona tangu juzi kupitia luninga ya ITV naibu waziri wa afya wa Kenya akitangaza maambukizi mapya ya Corona kwa raia wa Tanzania ambao ni madereva.
Msingi wa swali langu ni kwanini Kenya inawatangaza ilhali haiwatibu?
Kwa mfano leo wametangaza kuwapima madereva nane ambao wamekutwa na Corona...
Janga la corona limetikisa dunia kwa kusababisha taharuki na vifo vya watu zaidi ya laki tatu, kusababisha mdororo wa uchumi kwa kusimamisha uzalishaji, kupunguza ajira na madhara mengine mengi kwa binadamu.Hizi ndizo athari za muda mfupi tunazoweza kuziongelea kwa sasa,athari za muda mrefu...
Tanzania hii ambayo ilibadilika ikawa na watu amabao waliishi maisha ya kula bata kuliko hata watu wa ughaibuni, leo imebadilika katika kila nyanja.
Kuna watu walikuwa wanajilipa mishahara hewa hadi ya watumishi 10. Na mitaani huku ilikuwa ni kula bata na kutanua na vimada leo hawapo...
Nimetafakari sana na nimewaza sana huu mlima tumeujenga na sasa unageuka kuwa maporomoko au kizingiti chetu na dunia ya kwanza.
Tulianza kama masihara na abiria kiukweli tulimsifia dereva anajuwa kuendesha kilimani gari ila pamoja na yote sasa huu mlima unataka kitufunika na safari yetu kuingia...
Katika episode hii ambayo imeangazia 'MEGA CITIES' ama ukipenda majiji ambayo yako developed na yenye mvuto. Jiji la Dar ni miongoni mwa majiji haya 7.
itazame video yenyewe unipee maoni yako.
DISCLAIMER: Maelezo yamefanywa kwa lugha ya Kiingereza 👇
The Most Beautiful & Developed African mega...
Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania?
Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi...
Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi: Zambia haijafunga mpaka wake na Tanzania eneo la Nakonde bali ilisimamisha shughuli ktk mpaka huo kwa siku tano > Waziri wa Afya wa Zambia, Chitalu Chilufya alisema Rais Edgar Lungu aliagiza mpaka huo ufungwe kuanzia Mei 11, 2020
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.