tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kubadilisha Marais & vyama vingi ndio sababu pekee ya kukua kwa uchumi wa Tanzania

    Pamoja na mambo mazuri mengi ambayo Mwalimu Nyerere aliyeyafanya ambayo pengine hayatakuja sahaulika hata kizaizi na kizaizi lakini Tanzania imerudi nyumba sana kipindi cha Mwalimu Nyerere kutokana na kukaa muda mrefu madarakani. Laiti kama Nyerere angeachia madaraka mapema na kuruhusu vyama...
  2. JamiiForums Tanzania Sijawai kuona weledi wa Polisi wa Tanzania

    Ni jambo gani polisi waliwai onesha we led I hapa nchini? Wapo kusakizia watu, na kuwafungulia mashtaka kwa niaba ya CCM! Wapo kula Rushwa!! Wapo kutekeleza Mauaji!!! Nasikia na wengine wameanza kuuza miadarati na mirungi!! Polisi wanakodisha waarifu silaha!!! Polisi wanawarubuni wake za watu...
  3. JamiiForums Tanzania Bajeti ya mwaka huu itashindwa kutekelezwa kwa sababu ya Political risk inayoikumba Tanzania kwa sasa, Prof. Mpango anajua ila kaogopa kuliongehili

    Kwanza niisifu bajeti ya Jana kwa sababu Tu inaenda kuniongezea Ka mshahara kangu angalau kwa sh. 100,000. Msishangae eti nasifia bajeti "Binadamu asili yake ni ubinafsi, siku zote husifia pale kwenye maslahi yake Tu" Ndo tulivo binadamu. Nikienda kwenye mada ya bajeti ya Jana, kuna Jambo...
  4. JamiiForums Tanzania Egypt’s project in Tanzania refutes Ethiopia’s accusations

    ''The project to build a dam on the Rufiji River in Tanzania, which is being carried out by a joint venture of Egyptian companies, proves wrong Ethiopia that has been claiming Cairo is standing in the way of development projects in Africa. Read more: Egypt’s project in Tanzania refutes...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mbowe Marekani na Umoja wa Ulaya wamejitia aibu, ni rasmi sasa kuna kitu wanakitafuta Tanzania

    Tangu mwanzo walio wengi walianza kuwa na shaka juu ya haya mataifa ya nje namna yanavyoitazama Tanzania. Tukio la kuumia kwa mh Mbowe kama inavyodaiwa kuwa alishambuliwa lilileta taharuki kubwa kiasi cha mataifa haya makubwa kuja na matamko mengi. Jambo la kushangaza ni kitendo cha Marekani...
  6. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara yarejea kwa kishindo

    VS Ni miezi mitatu imepita toka ligi yetu pendwa isimamishwe kutokana na janga la corona. Ni rasmi sasa kesho ligi inakwenda kuendelea ili kumalizia mechi zilizobakia, miamba kutoka mkoani Shinyanga Mwadui fc watakapo wakaribisha mabingwa wa kistori wa ligi kuu Tanzania bara, Dar young...
  7. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Tanzania Bara: Wachezaji 5 kubadilishwa katika mchezo mmoja. Usajili kuanza Agosti Mosi

    Shirikisho la Soka Nchini (TFF) limezingatia maelekezo ya FIFA katika kukabiliana na changamoto za #COVID19 ambapo katika mchezo mmoja timu itaruhusiwa kubadili hadi Wachezaji watano badala ya watatu Limesema marekebisho hayo yamefanyika katika Kanuni ya 14 (25) ya Ligi Kuu, Kanuni ya 14 (25)...
  8. JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Watu 8 wakiwamo Watumishi 7 wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kushitakiwa kwa makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi

  9. JamiiForums Tanzania IMF Yaipa Rwanda Dola Milioni 111.06 zaidi ili kupambana na COVID-19

    Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF), limeipa serikali ya Rwanda dola milioni 11.06 sawa na Tsh billioni 257 ili kuongeza nguvu katika kupambana na COVID19 Uchumi wa Rwanda uliathirika na baadaya kupigwa na COVID19, ukuaji wa uchumi wake ulitarajiwa kushuka kutoka 5.1 hadi 2.0 IMF imesema...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Vituo vya Udhibiti wa Magonjwa Afrika: Tunatumaini Tanzania itashirikiana nasi na kutoa takwimu mpya za COVID-19

    Mkuu wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika anasema "tunaendelea kubaki na matumaini" kwamba Tanzania itashirikiana kwa kutoa takwimu zake za COVID-19 hata kama Rais wa nchi hiyo alishatangaza ushindi dhidi janga hilo. John Nkengasong anasema "wanaelewa hali hatarishi na...
  11. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kidijitali inavyoleta mapinduzi ya kiuchumi Tanzania

    Katika miaka ya karibuni ukuaji wa teknolojia ya kidijitali umezipa nchi nyingi faida mbalimbali za kibunifu ambazo zinazochochea maendeleo ya watu na ukuaji wa uchumi. Moja ya teknolojia hizo bunifu ni huduma za afya kidijitali (m-health). Katika nchi nyingi huduma hii imekuwa muhimu ikisaidia...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya tamko lingine la Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania; Je, ni wakati muafaka kwa Serikali kutathimini upya mahusiano yake na taifa hilo?

    Tarehe 11/06/2020 Ubalozi wa Marekani umetoa tamko lingine linaloelezea ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Tanzania, na kuwashauri raia wake kukaa ndani na kuachana na mizunguko isiyo ya lazima. Taarifa hii inafuatia tahadhari mbali mbali ambazo imekuwa ikizitoa tangu ugonjwa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mwongozo wa Taifa katika kuendesha Shughuli za Utalii nchini wakati huu wa janga la Corona

    Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji wa Shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la Corona na kuwataka wadau sekta hiyo kuzingatia matakwa yaliyo katika mwongozo huo ili kulinda usalama wa Watanzania na watalii wanaowasili nchini kutembelea vivutio vilivyopo. Akizindua...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

    Dodoma ndio kila kitu, kwahiyo wewe Mkurugenzi (Kunambi), ni Mkurugenzi wa Jiji la Makao Makuu hata kama ni mdogo, ila utafute Mwanamke uoe, kwani hawapo Wanawake wanaotaka kuolewa na Mkugenzi jamani!?, nimekutangazia uanze kutafuta ndoa, DED unajipikia wakati Wagogo wapo wengi”-JPM “Mkuu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ilishindwaje kunusa ugonjwa wa Nkurunziza na familia yake na kumsaidia? Sasa tuichunge hali ya kiusalama ya Burundi mpaka mteule aapishwe

    Burundi na Nkurunziza ni marafiki zetu na ambao tangu enzi ya JK tumehakikisha Burundi imekuwa salama. Juhudi za kuifanya Burundi kuwa salama zilimfanya PK asimpende JK, na Burundi imekuwa nasi bega kwa bega. Wakati huo huo PK akiwa na chuki kubwa kwa Nkurunzinza Ilipokuja awamu mpya, urafiki...
  16. JamiiForums Tanzania Siasa zetu na Hatma ya Tanzania: "Tungewawahi mapema Kuwanyonga"

    Tanzania ni nchi ambayo pengine inadhani ipo salama sana au ya kipekee kuliko nchi nyingine. Katika miaka yetu yote TZ imeshindwa kujifunza toka Rwanda,Burundi,Uganda,Kenya, Somalia,Sudan,Msumbiji n.k Hakuna mtanzania anayehangaika kufahamu na kujifunza nini kilisababisha kabila moja kuuawana...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania wamesamehewa deni Tena

    LDC to the core. This is now the nth time Tanzania wameshindwa kulipa deni. This is total embarrassment. ====== IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust June 10, 2020 The IMF...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Yagundulika kuwa Tanzania tumepiga ramli kujua kuwa hatuna tena wagonjwa wa Covid-19 nchini na kuutangazia ulimwengu hivyo

    Njia pekee ya kutoa matangazo rasmi kwamba mikoa ya Tanzania haina tena watu walioathirika na virusi vya Covid-19 ni kama tumeenda kuwauliza waganga wa kienyeji na wao ndio wakatupa huo uhakika. Haingii akilini katika karne hii ya 21 kwamba tunajua kwamba mtu anaweza kuwa na virusi vya Covid-19...
  19. JamiiForums Tanzania IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

    Kama inavyojieleza hapo ======= IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3...
  20. JamiiForums Tanzania Aidan Eyakuze: Tanzania kuna lockdown ya takwimu katika vita dhidi ya Corona

    Sweden imekuwa ikisemwa vibaya kwa kujaribu kufuata kinga ya kundi "Herd Immunity" katika mapamabano dhidi ya COVID-19 na kulipa gharama ya vifo vingi zaidi. Uingereza ilijaribu kufuata mlengo huu kwa kipindi kifupi na kuuacha baada ya ongezeko kubwa la idadi za vifo vilivyotegemewa pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…