tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ukweli: 'Tuilete Maldives hii kwetu Tanzania!'

    Wakati nachakura chakura mitandaoni nimebahatika kupata clip kutoka kwenye Channel ya YT ya Kara and Nate. Clip inaonyesha sehemu ya kupumzika na mashamsha ya ufukweni huko Maldev. Maldev ipo bara la Asia. Clip hii inafikirisha mengi ila sehemu yenyewe inavutia kutazama na ikipendeza mmoja...
  2. JamiiForums Tanzania Vituo vya utangazaji vyatakiwa kuomba kibali TCRA kurusha matangazo ya Vyombo vya Habari vya Nje

    Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020. Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
  3. JamiiForums Tanzania Digital Finance Officer at the Savings and Credit Cooperative Union League of Tanzania (SCCULT)

    Introduction: The Savings and Credit Cooperative Union League of Tanzania (SCCULT) is the umbrella organization for SACCOS in Tanzania mainland. It was established in 1992 under Cooperative Act No. 15 of the year 1991 and was given registration no. 5480. The Union was established to promote and...
  4. JamiiForums Tanzania Pamoja na kukandamizwa sana kwanini wanachama wa upinzani nchini Tanzania bado wamejawa na furaha tele?

    Hili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe. Wanachama na viongozi wa upinzani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wamenyanyaswa kuliko miaka yote ya ukoloni nchini Tanganyika enzi zile, wameteswa , wamepotezwa, wamepigwa risasi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Otoplasty surgery inafanyika Tanzania?

    Je otoplasty surgery inafanyika Tanzania? Kama ndio, ni hospitali gani na kiasi gani cha fedha? kwa yeyote anayefaham tujuzane. Nawasilisha
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuikabidhi Msumbiji uenyekiti wa SADC 17/08/2020!

    Tanzania itakabidhi uenyekiti wa SADC kwa nchi ya Msumbiji 17/08/2020 Kabla ya hapo vitaanza vikao vya makabidhiano kwa makatibu wakuu na basdaye baraza la mawaziri chini ya mwenyekiti wake Prof Palamagamba Kabudi jijini Dodoma. Source Channel ten.
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

  8. JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nikiapishwa kuwa Rais wa Tanzania viongozi wote wa dini (mashekhe) watarudishwa Zanzibar

    Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar. Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao? Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka...
  9. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Kwanini mnataka kunisitishia huduma ya kukopa M-PAWA halafu tena mnaniuliza kama ninahitaji mkopo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  10. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi mlima Kilimanjaro unavyoonekana ukiwa nchi jirani

    Zifuatazo ni picha zikionyesha muonekano wa mt Kilimanjaro ukiwa nchi ya Kenya mbuga inaitwa amboseli, hizi picha zinapatikana kwenye tovuti yao yao ya matangazo kwa uelewa wangu mdogo tumeshindwa hata kuweka haki miliki? Kumbuka watalii wakiwa mbuga ya Amboseli wana uwezo wa kuangalia wanyama...
  11. JamiiForums Tanzania Orodha ya mambo ya uongo na uzushi kwenye siasa za Tanzania

    Hapa tutakua tunaweka mambo ambayo yalivuma mno baadae tukaja kugundua kumbe ni uzushi mtupu.. kwenye siasa zetu za Tanzania... Nitaanza na haya: 1. Riziwani Kikwete akamatwa na madawa huko China. Hili lilivuma hadi watu usiotarajia nao kuchotwa. 2. Sumaye ni bilionea anamiliki hadi kampuni...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunafeli wapi kwenye elimu

    Tuna wahitimu kila mwaka kutoka kwenye vyuo vikuu i.e. UDSM, SUA, UDOM, DIT, AIT, Hata kwenye project zao hakuna wanachovumbua hata concept tu Duuh!! Au wanaenda kukariri na kujibu mitihani, na nasikia eti huwa kuna Tuition kwa wanafunzi wa University! SHAME!!!! Kenyan school girls’...
  14. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Sumu kwa nchi, ambayo wananchi wasithubutu kuionja hata, inaua

    Habarini tena ndugu zangu wanabodi... Baada ya kuwaeleza kuwa TANZANIA KAMA ULAYA INAWEZEKANA leo asubuhi hapa hapa kwenye jukwaa letu hili pendwa. Nimerudi tena kuja kuwaeleza mambo mengine mawili matatu yanayotuhusu sisi sote moja kwa moja. Ninayeandika sasa, ni mimi Sauti ya Mdodomia...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania: GDP Soars Under President Magufuli Tenure

    TANZANIA's annual adjusted GDP rose by 76.5 per cent during the last four years of President John Magufuli's administration, according to an estimate announced by the Chief Government Spokesman, Dr Hassan Abbasi. In his address to members of the press, at which he touched on the economic growth...
  16. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania acheni upendeleo kwa chama tawala, Mtaligawa taifa? Hivi hamuelewi?

    Nimejaribu kufuatilia jinsi coverage unavyofanywa na hizi local media zetu kuhusu matukio mbali mbali yanayofanywa na chama tawala CCM, hakika inasikitisha. Hakuna balance kabisa kwenye matukio ya kisiasa kati ya chama tawala na Upinzani. Hivi vyombo vimeamua kua upande wa Chama Tawala hata...
  17. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Tanzania yahimiza wananchi kuendelea na tabia ya unawaji mikono katika maeneo mbalimbali

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa wito kwa wananchi kuendeleza tabia ya unawaji mikono katika maeneo mbalimbali ya shughuli ili kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya kuambukiza kama kipindupindu, kuhara damu na minyoo. Wito huo umetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Siku 13 za Tundu Lissu tangu aingie nchini Tanzania

    Wasalaam, Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na tunatarajia TBC itakuwa mbashara kuonesha maonesho na hotuba za viongozi mbalimbali wa kiselikali...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

  20. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

    Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli. Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…