tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Otoplasty surgery inafanyika Tanzania?

    Je otoplasty surgery inafanyika Tanzania? Kama ndio, ni hospitali gani na kiasi gani cha fedha? kwa yeyote anayefaham tujuzane. Nawasilisha
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuikabidhi Msumbiji uenyekiti wa SADC 17/08/2020!

    Tanzania itakabidhi uenyekiti wa SADC kwa nchi ya Msumbiji 17/08/2020 Kabla ya hapo vitaanza vikao vya makabidhiano kwa makatibu wakuu na basdaye baraza la mawaziri chini ya mwenyekiti wake Prof Palamagamba Kabudi jijini Dodoma. Source Channel ten.
  3. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

  4. Dam55

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nikiapishwa kuwa Rais wa Tanzania viongozi wote wa dini (mashekhe) watarudishwa Zanzibar

    Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar. Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao? Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Kwanini mnataka kunisitishia huduma ya kukopa M-PAWA halafu tena mnaniuliza kama ninahitaji mkopo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  6. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi mlima Kilimanjaro unavyoonekana ukiwa nchi jirani

    Zifuatazo ni picha zikionyesha muonekano wa mt Kilimanjaro ukiwa nchi ya Kenya mbuga inaitwa amboseli, hizi picha zinapatikana kwenye tovuti yao yao ya matangazo kwa uelewa wangu mdogo tumeshindwa hata kuweka haki miliki? Kumbuka watalii wakiwa mbuga ya Amboseli wana uwezo wa kuangalia wanyama...
  7. The Boss

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mambo ya uongo na uzushi kwenye siasa za Tanzania

    Hapa tutakua tunaweka mambo ambayo yalivuma mno baadae tukaja kugundua kumbe ni uzushi mtupu.. kwenye siasa zetu za Tanzania... Nitaanza na haya: 1. Riziwani Kikwete akamatwa na madawa huko China. Hili lilivuma hadi watu usiotarajia nao kuchotwa. 2. Sumaye ni bilionea anamiliki hadi kampuni...
  8. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunafeli wapi kwenye elimu

    Tuna wahitimu kila mwaka kutoka kwenye vyuo vikuu i.e. UDSM, SUA, UDOM, DIT, AIT, Hata kwenye project zao hakuna wanachovumbua hata concept tu Duuh!! Au wanaenda kukariri na kujibu mitihani, na nasikia eti huwa kuna Tuition kwa wanafunzi wa University! SHAME!!!! Kenyan school girls’...
  10. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Sumu kwa nchi, ambayo wananchi wasithubutu kuionja hata, inaua

    Habarini tena ndugu zangu wanabodi... Baada ya kuwaeleza kuwa TANZANIA KAMA ULAYA INAWEZEKANA leo asubuhi hapa hapa kwenye jukwaa letu hili pendwa. Nimerudi tena kuja kuwaeleza mambo mengine mawili matatu yanayotuhusu sisi sote moja kwa moja. Ninayeandika sasa, ni mimi Sauti ya Mdodomia...
  11. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Tanzania: GDP Soars Under President Magufuli Tenure

    TANZANIA's annual adjusted GDP rose by 76.5 per cent during the last four years of President John Magufuli's administration, according to an estimate announced by the Chief Government Spokesman, Dr Hassan Abbasi. In his address to members of the press, at which he touched on the economic growth...
  12. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania acheni upendeleo kwa chama tawala, Mtaligawa taifa? Hivi hamuelewi?

    Nimejaribu kufuatilia jinsi coverage unavyofanywa na hizi local media zetu kuhusu matukio mbali mbali yanayofanywa na chama tawala CCM, hakika inasikitisha. Hakuna balance kabisa kwenye matukio ya kisiasa kati ya chama tawala na Upinzani. Hivi vyombo vimeamua kua upande wa Chama Tawala hata...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Tanzania yahimiza wananchi kuendelea na tabia ya unawaji mikono katika maeneo mbalimbali

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa wito kwa wananchi kuendeleza tabia ya unawaji mikono katika maeneo mbalimbali ya shughuli ili kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya kuambukiza kama kipindupindu, kuhara damu na minyoo. Wito huo umetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi...
  14. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku 13 za Tundu Lissu tangu aingie nchini Tanzania

    Wasalaam, Kheri ya sikukuu ya nanenane kwa wapambanaji wote, Kama mjuavyo, leo Tundu Lisu anatimiza siku 13 tangu aingie nchini Tanzania akitokea nchi ya Ubeligiji, pia Ni sikukuu ya nanenane na tunatarajia TBC itakuwa mbashara kuonesha maonesho na hotuba za viongozi mbalimbali wa kiselikali...
  15. cblhbn

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

    Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli. Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Dar: Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi, Yeremia Kulwa Maganja ateuliwa kuwania Urais Tanzania

    Heshima kwenu Wakuu, Leo nccrmageuzihq Wanafanya MKutano Mkuu ambao unafanyikia katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar Es Salaam. Mwaka huu NCCR wamejipanga kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kikamilifu. Dira na Madhumuni ya NCCR ni Kuwa chama chenye nguvu kinachofuata itikadi ya...
  18. Freddie Matuja

    JamiiForums Tanzania Tanzania soon tunawapiga bao Kenya kwenye kupata mizigo mingi zaidi EA

    Ijumaa Karim ndugu zangu Watanzania. Tanzania kupitia bandari ya Dar kwa sasa imevutia kupitisha mizigo mingi hasa toka Burundi kwa ku-charge bei ambayo wateja wanaweza kumudu. Kwa mujibu wa gazetu la the East African ninanukuu "On average it costs $1.80 per kilometre per container to transport...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ADC, Queen Curthbert Sendiga achukua fomu ya kuteuliwa kugombea

    Mgombea wa Chama cha ADC, Queen Curthbert Sendiga amefika katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 7,2020 kuchukua fomu ya kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania. Chama hicho kinakuwa cha sita kuchukua fomu na Queen amekabidhiwa fomu hizo na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
  20. demigod

    JamiiForums Tanzania Je, ni kuna ulazima wa kuwatoza kodi wananchi wanyonge watumiapo mitandao ya Kijamii?

    Tumepata kusikia ndugu Andrew Kisaka (Mkuu wa Kitengo cha Leseni za Mawasiliano TCRA) akibainisha kuwa kuna haja ya watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania waanze kutozwa kiwango fulani cha pesa ili Mamlaka ya TCRA iweze kugharamia huduma ya kudhibiti Maudhui yanayojadiliwa mitandaoni...
Back
Top Bottom