tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania COVID-19 yaendelea kuleta kizaazaa: Tanzania yazuia kampuni tatu nyingine za ndege kutoka Kenya kutua nchini

    Mgogoro wa majirani unazidi kupamba moto, Covid19 inaendelea kudhihirisha nyufa nyingi zilizokuwepo kwenye ukuta wetu. Leo mamlaka ya anga imeshusha rungu jingine Kenya kwa kuzuia kampuni tatu zaidi baada ya Kenya Airways ya awali. ======== Kampuni tatu zaidi za ndege kutoka Kenya zimezuiwa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bandari ya Kisumu yaongezeka kwa 62% shukrani DRC, Uganda, Tanzania, Rwanda n.k.

    Huu ndio mwendo wenyewe, pale ziwa Victoria mambo yanazidi kunoga, Kenya inapepea kwenye pembe zote za nchi. Kisumu port on August 13,2019. FILE PHOTO | NMG The refurbished Port of Kisumu handled 62 per cent more cargo in 2019 due to improved efficiency and a surge in trade, new statistics...
  3. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kidijitali inavyoweza kuboresha Elimu Tanzania

    Wiki hii serikali imetangaza mpango wa kutekeleza mkakati mpya unaolenga kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa elimu jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo alieleza dhamira ya serikali wa...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 6 za mwanzo kutoka Afrika Raia wake kuruhusiwa kuingia China kuanzia Septemba

    Kiambatanisho hapo chini kinajieleza. Sijui ndugu zetu Kenya, Uganda na Rwanda watasemaje sasa. Maana wamekuwa wanatunanga sana sisi na Burundi, Burundi nao wamo. Picha iliyotolewa hapa ni kwamba kuiga western countries kwa kila kitu sio dili tena kwa sasa. Wale waliosema Tanzania itatengwa...
  5. JamiiForums Tanzania Pigia kura vivutio vya utalii Tanzania, ili kuongeza idadi ya watalii

    Onyesha uzalendo pigia vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania kwenye link hiyo hapo chini tusaidie kuvutia watalii nchini kwetu. Ni rahisi tu. Wakenya huwa wanatupiga bado eneo hili. Tupende vyetu. Vote – World Travel Awards
  6. JamiiForums Tanzania Job Opportunities at Medical Teams International Tanzania

    1. OFFICE ASSISTANT (1) POSITION Medical Teams International Tanzania Department Operations Reports to Snr Human Resources Technical: NA Location DAR ES SALAAM Work Days & Hours Monday-Friday, 40-48 hours/week Supervises Direct: NA Technical: NA MTI Calling Daring to love like Jesus, we boldly...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania: The National Elections Regulations(2020) - Mambo muhimu ya kuzingatia

    Tuangalie kwa karibu vipengele vya kuzingatia: Kwanza, kwa wote wanaojaribu kutoa elimu kwa wapiga kura waelewe kuna kifungu hiki 4.-(1) A person shall not provide voters’ education without prior approval of the Commission (2) Any person who intends to conduct voters’ education using material...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania: Ruling party plans to lock out opposition candidates as they did in local elections

    The country’s main opposition party CHADEMA’s candidate, Tundu Lissu, and other opposition leaders have repeatedly claimed that there’s a likelihood that they’ll be blocked from running in this year’s general elections in October. “The biggest date now is August 25th and 26th when we submit our...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Wakati wapigania uhuru na ukombozi wa Afrika waliwapinga wazungu, wapinzani wa Tanzania wanasema eti tusiwabeze wazungu maana wanatulisha

    Hii ndiyo tofauti ya Mwanafrica Mzalendo. Wapigania uhuru babu zetu hawakuwatetea wazungu, bali waliwasema hadharani na hata kuuawa ndipo tukapatata uhuru ambao sasa tunautumia kuongea hovyo, kutetea mimba za utotoni, kutetea wezi wa rasilimali zetu, kutetea wanaume koana wao kwa wao Nk...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe aitahadharisha Tume ya Uchaguzi kuhusu tuhuma za kupanga njama ya kumuengua Lissu kwenye mbio za Urais

    Hili hapa andiko lake Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania tuongeze wigo wa Biashara na Congo DRC

    Katika gazeti la The Citizen la leo Agosti 24,2020 habari iliyopo ukurasa wa mbele inasema "Nchi za Afrika Mashariki zinapoteza fursa ya biashara na Congo DRC inayofikia Dola za Marekani Bilioni 10. Hii ni hasara kubwa kwa Tanzania (Sitaki nizisemee nchi nyingine za E.A). Awali ifahamike...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa wa Tanzania kuanzia Ubunge wanaingia nyumba za ibada na walinzi? Nchi haina amani au kwao Mungu si kinga?

    Wagombea Ubunge wengi safari hii walijiwekea walinzi bunafsi. Baadhi ya Walinzi Hawa uwakuti kila sehemu ila uonekana pale mgombea anapokwenda maeneo walipo wanahabari. Mzee baba akiwa kwenye nyumba ya ibada asilimia kubwa ya waumini uwa ni Walinzi, Jana nimemwona Gwajima na Abbass wakiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Uandishi wa Sheria zetu Tanzania

    Nadhani wanasheria wa mahakama zetu hufanya kazi ya ziada kusoma na kuzielewa sheria za Tanzania kwani nyingi zimeandikwa kwa kiingereza kibovuambacho kinaweza kuharibu maana ya sheria yote. Nadhani huwa inawafanya wanasheria wazichuje kwa makini kujua malengo yake. Kwa mfano hii snapshot ya...
  15. JamiiForums Tanzania Duniani kote huwa vigumu wanaharakati kushika dola sababu huwa hawawezi kufanya kazi na kuiva na makundi yote katika jamii ikiwemo Tanzania

    Ukiwa mfuatiliaji wa wanadiasa washika dola duniani kote ni vigumu mno kwa wanaharakati kushika dola sababu huwa hawana uwezo kabisa wa ku mobilize makundi yote katika jamii yswapende na yawaunge mkono kuwapa dola Makundi hayo Ni Kama viongozi wa kiserikali, mahakama,taasisi za kidini,vyombo...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli Ndie Mesiah wa Tanzania, Tumpe Kura Nyingi Oktoba 2020

    Mathayo 11:2-26 Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Anachotakiwa Lissu ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu

    Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi. Hakuna ubishi kuwa aliposema anarudi na siku ya kurudi Tanzania alisindikizwa na vyombo...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inahitaji juhudi ili kurusu uchaguzi kuendelea

    Tangia tumeanza process ya kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kumekuwepo maneno mengi yanayoashiria uvunjifu wa Amani, vitisho kutoka nje ya nchi hasa pale mgombea fulani anapomshutumu mwenzake kuwa serikali yako ndiyo ilinipiga risasi, serikali yako imeteka na kuua Watu nk. Tumeona barua...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi huru hatupaswi kuingiliwa mambo yetu

    Kauli hi imechukua kasi Sana. Tanzania ni nchi huru haipaswi kuingiliwa katika mambo yake hasa demokrasia. Kauli hi imekua I kitumiwa sana na baadhi ya wanna CCM na Lumumba B7. Nashangaa kuwa CCM hii ni tofauti na CCM ya akina Nyerere? Maana akina Nyerere walikua mstari wa mbele kuwatetea watu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Taznania kuwekewa vikwazo baada ya uchaguzi

    Katika historia za chaguzi Tanzania, Zanzibar mara nyingi ndio huwa inaleta utata. Kama mnakumbuka uchaguzi wa 2015, alioporwa Maalim Seif, ulisababisha wadau wa maendeleo kukisusia kisiwa hiko. Marekani iliondoa msaada kwa Tanzania wa takribani trillion moja, huku wadau wengine kama UK na nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…